Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,268
- 5,815
NdiyoMwanza ni kijijini?
NdiyoMwanza ni kijijini?
Wap ni mjini?Ndiyo
LumumbaWap ni mjini?
AyaLumumba
tutakua tutamiliki na kuishi maeneo ya wenyeji tutawaondoa na kuwapeleka mbali sana na mjini na kufanya himaya zetu huku wazee wetu nyumbani wakisherekea uwepo wetu nyumbani kila mwishoni mwa MwakaUkirudi nyumbani mwisho wa Mwaka kutumia hivyo vi laki 5 kunakuwa na impact gani? Anyways kila mtu huwa anarudi nyumbani! Hata mimi nipo nyumbani likizo!
Wenyeji ndo huanza kudaka fursa kwanza....wageni baadaye.tutakua tutamiliki na kuishi maeneo ya wenyeji tutawaondoa na kuwapeleka mbali sana na mjini na kufanya himaya zetu huku wazee wetu nyumbani wakisherekea uwepo wetu nyumbani kila mwishoni mwa Mwaka
Tuulize tukusaidie, tayari eneo limeshatafutwa watajenga makao makuu, litakuwa na gorofa 15, na ndio makao makuu yatakapo kuwa.Twiga itakuwa Mwanza kwa jina tu. Kutakuwa na ofisi zitakazoitwa ofisi ndogo ya DSM pale Bagamoyo Road au Masaki au Msasani au Oysterbay. Na zitakazokuwa practically head ofisi halafu ya Mwanza itakuwa practically representative office.
Hahaha, hao wenyeji unaowatoa kina nani? Probably you're brazing weed!!tutakua tutamiliki na kuishi maeneo ya wenyeji tutawaondoa na kuwapeleka mbali sana na mjini na kufanya himaya zetu huku wazee wetu nyumbani wakisherekea uwepo wetu nyumbani kila mwishoni mwa Mwaka
subiri time alone will tellTuulize tukusaidie, tayari eneo limeshatafutwa watajenga makao makuu, litakuwa na gorofa 15, na ndio makao makuu yatakapo kuwa.
Hahaha, hao wenyeji unaowatoa kina nani? Probably you're brazing weed!!
kitilya alishindwa uje wewe takataka?tutakua tutamiliki na kuishi maeneo ya wenyeji tutawaondoa na kuwapeleka mbali sana na mjini na kufanya himaya zetu huku wazee wetu nyumbani wakisherekea uwepo wetu nyumbani kila mwishoni mwa Mwaka
mkuu punguza jazba ni mambo ya kawaida tukitilya alishindwa uje wewe takataka?