Hawa wote wana majumba makali wana magari ya kutembelea lakini hawana show off za kijinga
Tatizo tukisha wasifia wanaharibu
ulimuona jana cha uroho anaongelea fursa kwa vijana.? perfume ya pilau........alinivunja mbavu hatari...Mzee kijana ni noma [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa na wale akina cha uroho wa EATV ndio wakali wa comedy.
Wengine makanjanja tu.
hahahahah cha uroho jana aliongelea fursa kwa vijana.....Mi pale nampendaga tu cha uroho, lazma mtu ucheke
Wanajitahidi sanaHawa Jamaa wanakuja vizuri na michezo yao inachekesha + mafunzo
Mfano mchezo Wao wa leo jumapili kwa mlioshuhudia Wale akina Masanja wamebaki umaarufu tu,so kama walivyokuaga Eatv na pia Wanakosa reality hasa kwenye suala la kuigiza sehemu ya jinsia -ke,Kwa Sie wengine joti keshatuchosha na Yale mawigi na matiti.
Hongereni Mizengwe mpo vizuri kazeni buti pia elekezeni wapi tuwaletee ushauri kuzidi kujiboresha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] kwa nini mkuu..Duh!! Umetoka juzi kwa msamaha Wa raisi nini?
Zembwela aiondoka kitambo sana huku Mizengwe, ingawa yeye na marehemu Max ndio waanzilishi wa Mizengwe!Safi sana Zembwela kaza buti