gwa myetu
JF-Expert Member
- Aug 18, 2014
- 4,473
- 4,671
Hawa wote wana majumba makali wana magari ya kutembelea lakini hawana show off za kijinga
Tatizo tukisha wasifia wanaharibu
Nafarijika kama uliloongea una uhakika nalo, maana huwa nawaonea huruma kama sanaa haiwalipi