Sasa Mizengwe ni zaidi ya ze Comedy

Sasa Mizengwe ni zaidi ya ze Comedy

Hawa wajamaa ni wakali kinyama na hawana muda wa kupoteza kujisifusifu ni commedian asilia hasa yule mzee kijana mwenye mvi na yule amabaye yupo siriaz
images
Mzee kijana ni noma
Hawa na wale akina cha uroho wa EATV ndio wakali wa comedy.
Wengine makanjanja tu.
 
Hawa wajamaa ni wakali kinyama na hawana muda wa kupoteza kujisifusifu ni commedian asilia hasa yule mzee kijana mwenye mvi na yule amabaye yupo siriaz
images
Yule mze mwembamba mwenye mvi anachekeshaga hatar
 
Nimekuwa nikiwaagalia hawa jamaa since day one. Sijawahi kuacha kuwaagalia
 
Binafsi nawakubali comedi zao zinatoa elimu na kuelezea maisha halisi kwa baadhi yetu katika jamii
 
Wanafanya vizuri sana wakitumia Hali halisi ya mazingira ya Kitanzania kwa kupitia social life zetu! Big up huwa nakosa raha nikipitwa na hiki kipindi
 
Hawa Jamaa wanakuja vizuri na michezo yao inachekesha + mafunzo

Mfano mchezo Wao wa leo jumapili kwa mlioshuhudia Wale akina Masanja wamebaki umaarufu tu,so kama walivyokuaga Eatv na pia Wanakosa reality hasa kwenye suala la kuigiza sehemu ya jinsia -ke,Kwa Sie wengine joti keshatuchosha na Yale mawigi na matiti.

Hongereni Mizengwe mpo vizuri kazeni buti pia elekezeni wapi tuwaletee ushauri kuzidi kujiboresha.
Upo sahihi sana, the rest(futuhi, orijino comedy, ze comedy) wameshindwa kutofautisha upuuzi/utoto na comedy wapo ili mradi walishakuwepo na kwa sababu wana nafasi kwenye ratiba.
 
Yule dogo anayeoongea kikongo nae balaa, njoo kwa dada wa nyumbani kwetu mnyalukolo anafunika balaa na Lafudhi yake ya kinyalu
 
Hawa jamaa hawajawah kukosea sema wana muda mfupi sana wa vipind vyao wangeongezewa dk nawapenda sana
mkuu kizuri siku zote huwa akifanywi kwa mda mrefu

mfano sikiliza zile nyimbo ambazo hazichuji all time za miaka hiyoo utakuta zimeimbwa kwa dakika mbili. sasa njoo hii singeli yetu hapa kizunguzungu kitupu
 
Hawa wote wana majumba makali wana magari ya kutembelea lakini hawana show off za kijinga

Tatizo tukisha wasifia wanaharibu
 
ivi futuhi ipo? Mana wao kila segment wanapigana tu..mizegwe hatar tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom