Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four
Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake.
Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F.
Nimesikia ili uendelee form five unatakiwa kuwa na walau C masomo matatu (naona katimiza hapo)
Hivi anaweza kuchaguliwa kweli form five kwa score hizo? Anaweza kwenda combination gani, maana anasema alikua darasa la sayansi.
Hivi tukisema tumpeleke vyuo vya certificate ana qualify kusomea nini hapo, au chochote?
Huyo tayari amesha pangiwa uuguzi ngazi ya cheti.Kupata D chemia na Bios ni kichwa huyo.mpeleke uuguzi aje atusaidie.sema kama ni mvulana itamsumbua sana.wengi wa waauguzi ni wanawake.ijapo wanaume pia wapo