Usiache kusoma physics kwa shinikizo la mwalimu wako au kutojua umuhimu wake. D (pass) ya physics inatosha kukupa fursa kibao

msafi WCB

Member
Jan 2, 2020
42
116
Wanafunzi wa sekondari (O level) hasa wale wanaopenda science msiache Somo la physics kwa shinikizo la mwalimu au bila kujua umuhimu wake.

Walimu wengi hasa wa shule za vipaji wanapenda kushinikiza wanafunzi waache kusoma physics ili wabaki na wale cream ili wasiharibu wastan wa ufauru katika masomo yao (hasa hasa physics).

Wanafunzi kwanza mfahamu kwamba mkipata D ya physics haujafeli hyo tunaita PASS. na ina umuhimu mkubwa kuliko kuikosa kabisa. Bora usome ufeli tu

Wanafunzi wengi wa olevel hawajui sifa za kujiunga na vyuo vya kati vya afya kabla ya kuhitumi. Unakuta mwanafunzi amemaliza form 4 amepata 2 yake safi ya 18 ana ndoto ya kua Nesi anataka kusoma Diploma ya Nursing lakini hajasoma physics na alkua hajui kama usiposoma physics huwezi kujiunga na nursing.

Kozi kama Clinical Medicine, Medical Laboratory science, Nursing, Physiotherapy, Radiography..n.k zina hijati physics na uwe umepata grade D tu.

Mdogo wang wa kike amemaliza mwakajana shule flani ya kipaji pale mji kasoro bahari . Wakati ana ingia form 3 mwalimu physics alimwambia aache physics hali ya kua form two alipata 1 ya point saba akiwa na A zote na B ya physics pekee, visiting day moja nlipokwenda kumuona akaniambia kaka nimeacha physics na akaniambia anaiogopa na hadhani kama atafaulu.... mm nkamuulza ina maana huwezi pata hata D ya physics kwa uwezo wako? Akanijibu anaweza ... Nilienda nae kwa mwalimu na nkahakikisha anarud kusoma physics.. na matokeo ya form 4 amepata B ya physics akiwa na 1 ya 8.

Nmeona niandike hii sababu nimekutana na binti anataka kusoma Nursing amepata 2 ya 18 ila alisoma single science Chemistry ana C bilogy B math D lakini hana physics namuulza sababu anasema mwalimu wa physics alkua ana wa intimidate kwamba physics sio makalio akaamua aache bila kujua madhara yake mbeleni sasa anajuta ina mbidi asome diploma ya pharmacy ambayo hii unaweza soma hatakama huna physics.
 
Kilakala (killey) toka lini wanafunzi wana opt masomo? Hasa import subjects?maana hata zamani wakati ule wa ku opt walikua hawa opt.

Kwani si serikali ilisema hakuna ku opt, ni kusoma yotee? Sasa hii imekuajeee?
 
Ndo ivo sasa hv wana opt unakuta mwanafunzi anakwambia anasoma single science! Bila kujua yajayo yanafurahisha.

Na wengi wakitoka hapo wanataka wakasome diploma za afya ambazo nyingi physics ni compulsory.

Nimekuwekea mchanganuo wa matokeo ya kilakala hapo ya mwaka 2023. Kuna wanafunzi 92 waliosajiliwa na kufanya mtihani wa chemistry lakini kuna wanafunzi 75 tu waliosajiliwa na kufanya mtihani wa physics... This means kuna wanafunzi 17 wamesoma single science .. ukisoma arts au business husomi masomo yote hayo mawili. Je ni nani hao wanaosoma chemistry bila physics .. ndo hao sasa.

Mi nimeona niandike haya sababu yalitaka kumkuta mdogo wang wakat ameanza form 3.

Lkn pia kwenye kikao k1 mzazi mmoja alilalamika sana kwann mtoto wake alisoma chemistry na sasa anataka kwenda diploma ya nursing hawezi kwenda
 
Attachments

  • IMG_7596.jpeg
    IMG_7596.jpeg
    412.9 KB · Views: 8

Haya mapyaa sasa, km kilakala wana opt je shule za kata hali ikojee? Woiiiih
 
Kilakala (killey) toka lini wanafunzi wana opt masomo? Hasa import subjects?maana hata zamani wakati ule wa ku opt walikua hawa opt.

Kwani si serikali ilisema hakuna ku opt, ni kusoma yotee? Sasa hii imekuajeee?
Nimeshangaa sana. Kama hali iko hivi basi kwa sasa nchi ina waalimu vilaza mno
 
Mimi nilipata Physics-D,Biology-D, Chemistry-F,,,,ndoto za kuwa Daktari zikapotelea hapo
 
Wanafunzi wa sekondari (O level) hasa wale wanaopenda science msiache Somo la physics kwa shinikizo la mwalimu au bila kujua umuhimu wake.

Walimu wengi hasa wa shule za vipaji wanapenda kushinikiza wanafunzi waache kusoma physics ili wabaki na wale cream ili wasiharibu wastan wa ufauru katika masomo yao (hasa hasa physics).

Wanafunzi kwanza mfahamu kwamba mkipata D ya physics haujafeli hyo tunaita PASS. na ina umuhimu mkubwa kuliko kuikosa kabisa. Bora usome ufeli tu

Wanafunzi wengi wa olevel hawajui sifa za kujiunga na vyuo vya kati vya afya kabla ya kuhitumi. Unakuta mwanafunzi amemaliza form 4 amepata 2 yake safi ya 18 ana ndoto ya kua Nesi anataka kusoma Diploma ya Nursing lakini hajasoma physics na alkua hajui kama usiposoma physics huwezi kujiunga na nursing.

Kozi kama Clinical Medicine, Medical Laboratory science, Nursing, Physiotherapy, Radiography..n.k zina hijati physics na uwe umepata grade D tu.

Mdogo wang wa kike amemaliza mwakajana shule flani ya kipaji pale mji kasoro bahari . Wakati ana ingia form 3 mwalimu physics alimwambia aache physics hali ya kua form two alipata 1 ya point saba akiwa na A zote na B ya physics pekee, visiting day moja nlipokwenda kumuona akaniambia kaka nimeacha physics na akaniambia anaiogopa na hadhani kama atafaulu.... mm nkamuulza ina maana huwezi pata hata D ya physics kwa uwezo wako? Akanijibu anaweza ... Nilienda nae kwa mwalimu na nkahakikisha anarud kusoma physics.. na matokeo ya form 4 amepata B ya physics akiwa na 1 ya 8.

Nmeona niandike hii sababu nimekutana na binti anataka kusoma Nursing amepata 2 ya 18 ila alisoma single science Chemistry ana C bilogy B math D lakini hana physics namuulza sababu anasema mwalimu wa physics alkua ana wa intimidate kwamba physics sio makalio akaamua aache bila kujua madhara yake mbeleni sasa anajuta ina mbidi asome diploma ya pharmacy ambayo hii unaweza soma hatakama huna physics.
Hiyo pharmacy akitaka kwenda degree atapata tabu pia, kuna vyuo wanataka D ya physics o level. Kuna kozi zinahitaji physics kidogo mfano pharmaceutical technology( industrial pharmacy)
 
Tatizo ni hao walimu uchwara wa masomo ya ku opt kujigeuza miungu watu kama vile wao ndio wamiliki wa hayo masomo
Sitaki kuamini mwanafunzi aliyeko Killey anaacha phys, akat pale kuna mazingira stahiki na nyenzo wezeshi ya kufaulu.

Hao wanafunzi ni wazembe, wanakubali vipii upuuzi huo?
 
Back
Top Bottom