Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Jirani yangu anafanyia Lugalo anatoka na gwanda zake anaenda kuvalia kazini!

Yaani mimi ningekuwa yeye ningevalia hukuhuku mtaani ili nisilipe nauli😂
Wewe huo muda wa kumchunguza jirani yako unautoa wapi?! Kafanye kazi
 
Back
Top Bottom