Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani

Wapo mabishoo waliokua wanabeba nguo mwishoni wakachoka.

Waliotengeneza uniform makazini sio wajinga ni part and parcel ya branding ya kampuni ukiachana na uniformity kwa wafanyakazi
 
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini

Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani.

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira.

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani.

Kweli kila enzi na zama zake loo.

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
ajiriwa na wewe uvae sare mkuu
 
acha wavae, hata police walivaa uniform ikamrahisishia Hamza kuwamiminia risasi.
 
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini

Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani.

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira.

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani.

Kweli kila enzi na zama zake loo.

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
wengine wameanza kusajili line wanavaa tshet za makampuni ili tujue wanafanya kazi Voda.
 
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini

Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani.

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira.

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani.

Kweli kila enzi na zama zake loo.

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Mbona kamwaga na manara wanavaa jezi za yanga na simba mchana kutwa. Acha wajioneshe bwashee
 
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini

Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani.

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira.

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani.

Kweli kila enzi na zama zake loo.

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
Hapo uliposema "kuringishia" ndio penye shida zaidi kuliko hizo "uniform za kazini"
 
Bila picha hizi ni soga tu.
Sasa hivi watu wanavaa uniform za kazini mitaani kuturingishia kuwa wana kazi, zamani walikuwa wanavalia kazini

Maisha yamebadilika zamani mtu alikuwa anaona aibu kuondoka nyumbani akiwa kavaa uniform ya kazini na kurudi nayo kavaa .Walikuwa wakienda kubadlishia kazini na akitoka anaingia chooni anabadilisha ndio anarudi nyumbani.

Sasa hivi mtu anaondoka nyumbani anapanda daladala na uniform na kurudi akiwa na uniform yenye nembo ya kazini kwake kuringisha kote apitako Kuwa Yeye ana ajira.

Waajiri wa sasa hawana kazi kubwa kuhamasisha wafanyakazi kuvaa uniform tofauti na zamani.

Kweli kila enzi na zama zake loo.

Mnaofanya kazi wenye uniform karibuni mtaani kwetu mtukoge
 
Nna mwanangu anafanya kazi mabasi ya abood, basi akirudi na kipasta chake cha mchele tisheti yake ya abood afu kachomekea na dundo lake lina udongo udongo mwekundu, hapo atazunguuka mtaa mzima ili mjue kama karudi, kila mtu akimsalimia tu utasikia anaanza kusema, ndo narudi safari bwana, yani hata ujamuuliza, akibadilisha hiyo tisheti katia form six zote logo abood
 
Sasa siku akiacha kazi abood atafanyaje na hzo form six zakembona kajiaminisha sana
 
Back
Top Bottom