mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.
Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.
Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Is ir possible?
Yametumwa na mabeberu wallah