Uchaguzi 2020 Sasa Basi hawa "wapinzani" wadhibitiwe lasivyo watamchosha Rais wetu

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,270
12,310
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Is ir possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
 
Its possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
Nimekuelewa mkuu.

Yaani haya 'mapinzani' yanakata pumzi Sasa!
 
19 Reactions
Reply
Back
Top Bottom