Uchaguzi 2020 Sasa Basi hawa "wapinzani" wadhibitiwe lasivyo watamchosha Rais wetu

Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Its possible?
Yametumwa na mabeberu wallah

Penye CCM waweza weka Chadema. Imeisha hiyo
 
Kwa hako kasentensi kako ka kiinglish ni wazi upo uwazi mkubwa Sana ndani ya ubongo wako! Yaani Kuna mwanzi ndani ya kichwa chako! Nani mwizi wa Sera za mwenzake Kati ya ccm na cdm?
Ni ccm ndio mwizi wa Sera za cdm kwa miaka yote hii. Kachunguze utabaini!
Kama hutomind soma btn lines
 
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Its possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
😂😂wamesikia mkuu
 
It's possible?? hili ni swali inapaswa kuwa, Is It possible??
 
20200519_131948.jpg
 
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Is ir possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
Dah huu uzi unawa expose sana Mataga, yaani uelewa wao ni mdogo sana wanakuunga mkono wakati umewapiga spana wao.
 
Back
Top Bottom