Uchaguzi 2020 Sasa Basi hawa "wapinzani" wadhibitiwe lasivyo watamchosha Rais wetu

Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Its possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
HaaaHaaa
 
Inaitwa "kinyume nyume" story

Sent from my Infinix X606B using JamiiForums mobile app
 
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Its possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
Ninyi kweli ni vilaza,badala ya kuwashukru kwa kuwasaidia kuwaeleweza watanzania uzuri wa ilani yenu,ninyi mnataka wadhibitiwe,au mmeweka matango pori humo?
 
Mwaka huu! Penye ' mapinzani ' weka chama dola na kinyume chake. Kwa hisani ya Watanzania.

Mbona mambo magumu sana, huu upepo wa kisulisuli vipi? Ni mara mia ya kimbunga kus- kaz. Ila tutaelewana tu kwa lugha adhimu ya kiswahili.
 
Haa haaa just haa haaa..! Wapinzani hawana watu kama sie wenye bonanza la mziki., wanaweka picha za zamani sana Lissu akigomnea Urais 2015..haaa haaa..!

Kichaa moto umekata, alifikiria atapita bila kupingwa kama alivyokua anafanya jimboni kwake akigombea Ubunge.
 
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Its possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
Kwa hako kasentensi kako ka kiinglish ni wazi upo uwazi mkubwa Sana ndani ya ubongo wako! Yaani Kuna mwanzi ndani ya kichwa chako! Nani mwizi wa Sera za mwenzake Kati ya ccm na cdm?
Ni ccm ndio mwizi wa Sera za cdm kwa miaka yote hii. Kachunguze utabaini!
 
Back
Top Bottom