Uchaguzi 2020 Sasa Basi hawa "wapinzani" wadhibitiwe lasivyo watamchosha Rais wetu

Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Is ir possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
Wewe umesoma ilani Yao kwa mfano
 
wapinzani wauwawe kabisa
 
Rais wako gani wanaomchosha? Huyu anayeacha madonda mioyoni mwa raia ya kupigwa risasi, chuki, uzandiki, wizi, ubaguzi, ukanda, upendeleo, uonevu, udhalilishaji wa wanawake hadharani, nk kila kona ya nchi? Kuliko kuchoshwa, ni afadhali atoke kabisa ikulu.
 
Wapinzani kwasasa hawana 'hoja' wanaona ilani yetu ya 'CCM' ni 'nzuri' kila siku wanaisoma kwenye mikutano yao iwe ni kwa kuiba hoja au kwa kuponda baadhi ya zilipo kiufupi saivi wapinzani wamegeuka kuwa wachambuzi wa Sera za chama cha CCM na sio kunadi Sera zao.

Wito kwa time ya uchaguzi wawaonye ama kuwafuta kabisa wanaojaribu kupotosha ilani ya CCM kama alivyofanya moja huko Itigi kwa kutaja hadi page, manayake kaikariri kuliko yake, hii ni hatari na itapelekea kumpunguzia kasi Rais wetu.

Wito kwa polisi hawaoni huo uchochezi eti CCM itaweka rehani madini yetu.
Is ir possible?
Yametumwa na mabeberu wallah
Wakati sisi ndiyo tumechoshwa kiuchumi
 
Ujinga Kabisa Hamna hoja mnataka kubebwa na polisi subiri Oct hao police hawatatosha
 
Tatizo lenu huwa hamtaki kushughulisha mabichwa yenu hayo
Pamoja na kujenga reli ndege Barabara kufanya mikutano ma TV kila Siku lakini wananchi hawamtaki choka mbaya mnajidanganya pamoja na kubebwa na police u salama tume hakuna hata bango moja la Lissu bado mnacoverage ya mikutano yenu
 
Back
Top Bottom