sasala
JF-Expert Member
- Oct 22, 2013
- 372
- 264
acha uongo Ct scan zipo kibao huku arudha ipo aga khan ipo seliani ipo Kcmc pia. iyo MRI ipo ocen road. wala hujui kilicho tokea. wala hujui gatama za izo machine kulingana na kampuni zinazo install na slices ya picha inazo weza fanya. na mikataba ya kampuni na hospitali inayo ingia nao nimigumu hairuhusiwi kampuni nyengine kufanya service. sasa ulizia OC itakuja lini hospitali?
agakhani, Seliani na kcmc ni hospital za selikali? kweli kwenu arudha!