Sarakasi za CT Scanner, MRI na vipaumbele vyetu

Sarakasi za CT Scanner, MRI na vipaumbele vyetu

Mkuu umekurupuka! Mtoa uzi kabla ya ku - edit aliweka hesabu hizi $400 kwa million 840 za tanzania, $300 kwa million 600 ndio mana akaulizwa ni rate gani ametumia. Next kuwa makini kabla ya kudandia treni ambayo tayari iko kwenye motion, sawa sawa?

Sasa hapa kati yangu na wewe sijui nani kakurupuka!
 
Sio mbaya, lakini zote 777 za nini? Hizo washawasha 100 zingetosha nchi nzima, hayo mengine ni ya urembo huku wakipishana angani kufata matibabu india.

Unauhakika na ukiandikacho? Au unakisia tu. Tuwekee ushahidi kama kuna "washa washa" 777.

Au ni muongo wa asili?
 
Unauhakika na ukiandikacho? Au unakisia tu. Tuwekee ushahidi kama kuna "washa washa" 777.

Au ni muongo wa asili?

Usijitie ukichaa hapa, hii taarifa ni kwa mujibu wa vyombo vya habari siku ile ya 20 october, wakati akipokea haya magari!
 
Tatizo la wana ccm ni kupitiliza kwa mahaba yao kwa chama, hadi kwenye mambo muhimu amabyo yana athali pande zote mbili (upinzani na tawala) wao wanaweka ushabiki...! Haya rabda ukitaka huduma katika nchi hii ukionesha kadi ya chama tawala ndio unapata huduma nzuri kuliko yule ambae hana kadi
 
Usijitie ukichaa hapa, hii taarifa ni kwa mujibu wa vyombo vya habari siku ile ya 20 october, wakati akipokea haya magari!

inataka moyo sana kujadili vitu vya msingi na watanzania wenzetu,wameendekeza vyama hata sehemu ya kutumia akili ya kawaida tuu,ila nadhani umeeleweka vyema.
 

Attachments

  • Screenshot_2015-11-14-11-06-00.png
    Screenshot_2015-11-14-11-06-00.png
    49.2 KB · Views: 134
  • Screenshot_2015-11-14-11-08-23.png
    Screenshot_2015-11-14-11-08-23.png
    55.9 KB · Views: 128
inataka moyo sana kujadili vitu vya msingi na watanzania wenzetu,wameendekeza vyama hata sehemu ya kutumia akili ya kawaida tuu,ila nadhani umeeleweka vyema.

Heshima kwako big baba, nadhani umekata mzizi wa fitna.
 
Pesa walizolipwa ni za kupunguza deni ili waendelee na kazi yao ya kuzikarabati, hivyo deni litaongezeka kwa kadri watavyokuwa wakizikarabati.

Akhsante mkuu, shukrani. Naona wameondoka kitufe cha thanks.


BTW hii kampuni ambayo deni limefika hadi kiasi hicho, wanalipa kodi ya kiasi gani kwa mwaka? Je, ni kampuni ambayo inamilikiwa 100% kutoka nje au vipi? Je, mapato yao kwa mwaka ni kiasi gani? Imelipa kodi kiasi gani tangu ianze kufanya kazi Tanzania? Je, imeajiri watanzania wangapi?

Natumaini kuna watu kutoka Revenue ambao wanaweza kutusaidia pamoja na registrar of companies.
 
Hivi ni chama gani ambacho kimekuwa madarakani nchi hii?

Ni kosa la nani kutokuwepo kwa hizo mashine kwenye hospitali zote za serikali nchini?

Ni kosa la UKAWA? CHADEMA? CUF? TLP?

Chama kilichopo madarakani kwa Tanzania sio issue. Swala hapa ni la serikali usichanganye nyama na maharage. BTW JS ambaye ulikuwa unamtegemea I presume naye alikuwa huko huko. labda tuwafuate kina Mzee rukhsa na Chenkapa et al.


Tugange yajayo yaliyopita si ndwele.
 
Akhsante mkuu, shukrani. Naona wameondoka kitufe cha thanks.


BTW hii kampuni ambayo deni limefika hadi kiasi hicho, wanalipa kodi ya kiasi gani kwa mwaka? Je, ni kampuni ambayo inamilikiwa 100% kutoka nje au vipi? Je, mapato yao kwa mwaka ni kiasi gani? Imelipa kodi kiasi gani tangu ianze kufanya kazi Tanzania? Je, imeajiri watanzania wangapi?

Natumaini kuna watu kutoka Revenue ambao wanaweza kutusaidia pamoja na registrar of companies.

Nadhani wapo wataokuwa na ufahamu kuhusu hili na waje watusaidie.
 
Chama kilichopo madarakani kwa Tanzania sio issue. Swala hapa ni la serikali usichanganye nyama na maharage. BTW JS ambaye ulikuwa unamtegemea I presume naye alikuwa huko huko. labda tuwafuate kina Mzee rukhsa na Chenkapa et al.


Tugange yajayo yaliyopita si ndwele.

Chama gani kinaunda serikali?
 
Sasa hapa kati yangu na wewe sijui nani kakurupuka!

Wewe ndio umekurupuka, issue hapa ulitakiwa kuweka rekodi zako sawa - huwezi kuwa na USD 400 ukapata TSHS milioni 840, hesabu ulijifunzia wapi wewe? Mtandao upi unakupa rate hiyo?
 
Wewe ndio umekurupuka, issue hapa ulitakiwa kuweka rekodi zako sawa - huwezi kuwa na USD 400 ukapata TSHS milioni 840, hesabu ulijifunzia wapi wewe? Mtandao upi unakupa rate hiyo?

Haya Dogo1! Nafikiri ulielewa nilimaanisha nini!
 
Mipago ya wizara husika. Utoa makadirio ya mwaka, na waziri kusimamia, kufuatilia, Kama hilivyo kwa wizara ya ujenzi na ulinzi/usalama.
 
Back
Top Bottom