Sarakasi za CT Scanner, MRI na vipaumbele vyetu

Sarakasi za CT Scanner, MRI na vipaumbele vyetu

Hivi mgombea wa UKAWA Lowasa alikuwa waziri na mtumishi wa serikali gani ukiondoa miezi miwili ya kampeni ? Analipwa pensheni kama mstaafu wa serikali ipi? Tuliomchagua JPM tulilinganisha kubwa kuliko na ndogo kuliko. Hapakuwa na CCM vs UKAWA bali A na B. Tumechagua A. Mgombea mnayemlinganisha na yanayosahihishwa alikuwa Mtendaji Mkuu wa serikali miaka 2, hakuyaona kama hao mnaowakosoa.

tuanzie hapo, lowasa kafanyakazi miaka miwili akaacha kazi kwa hiari yake mwenyewe analipwa penseni sawa na msuya aliyetumikia serikali maisha yake yote, hapana. Wakati watumishi wengine ukiacha kazi kwa hiari yako hulipwi hata nauli.
 
Kosa lake magufuli ni kukubali kukarabati machine kwa 7billion wakati angepata mashine mpya saba kuliko mbovu mbili

sijui unatumia kalio kufukiri, hilo ni deni la miaka mingi.
 
ct scan Na MRI ni softicated machine ziko very delicate Na very senstive kwa hiyo zinataka umeme ambao upo stable full time.
...Nadhani inawezekana kuzipatia umeme mzuri wakati wote zinapotumika. Ni suala la maamuzi tu.
sasa kwa umeme wetu wa kibongo hizo machine haziwezi piga kazi miezi sita mfululizo bila kuzingua pia spare za medical equipment yoyote haipatikani kariakoo lazima kuagiza kutoka kwa manufacture.
...Ile ya Aga Khan wanaitumiaje? Haiwezekani kujifunza toka kwao?
pale hospital ya ikonda makete mkoani njombe wamefunga ct scan mwaka jana uliza imeshaharibika mara ngapi. na hata hivi sasa haifanyi kazi tena imeharibika ni miezi mitatu sasa wanasubiri spare.
...Iliponunuliwa, ilikuwa mpya? Tatizo ni nini? Je, haliwezi kutatuliwa?
 
acha uongo Ct scan zipo kibao huku arudha ipo aga khan ipo seliani ipo Kcmc pia. iyo MRI ipo ocen road. wala hujui kilicho tokea. wala hujui gatama za izo machine kulingana na kampuni zinazo install na slices ya picha inazo weza fanya. na mikataba ya kampuni na hospitali inayo ingia nao nimigumu hairuhusiwi kampuni nyengine kufanya service. sasa ulizia OC itakuja lini hospitali?

Uandishi wako ni kiboko Kelvin X
 
Last edited by a moderator:
Kwa suala la matengenezo ya vifaa karibia hospitali zote nchini kuna mashine nyingi hazifanyi kazi Kwa kukosa matengenezo Na zimeshut down zaidi ya mwaka mmoja. ukifuatilia utagundua tatizo ni kushindwa kuwalipa wazabuni. miaka kadhaa kule mikoa ya Nyanda za juu kusini kulikuwa Na shirika moja la kidini linashughulika Na utengenezaji wa vifaa tiba wanazunguka kwenye mahospitali kufanya service Na maintenance ambapo hospitali husika wanachangia gharama kidogo sana Kwa ajili ya uendeshaji lile shirika lilikuwa linapiga sana kazi . sasa mwezi uliopita nilikuwa kikazi mkoani ruvuma hospitali ya rufaa ya mkoa nilishangaa kuona mashine ya kuchemshia vyombo vya theatre haifanyi kazi Na wanalazimika kuchemsha hospitali jirani. nilipouliza Kwa nini haifanyi kazi nikaambiwa ni mbovu muda mrefu Na wale mafundi wa lile shirika hawaji tena kisa madeni
 
ct scan Na MRI ni softicated machine ziko very delicate Na very senstive kwa hiyo zinataka umeme ambao upo stable full time.
...Nadhani inawezekana kuzipatia umeme mzuri wakati wote zinapotumika. Ni suala la maamuzi tu.

sasa kwa umeme wetu wa kibongo hizo machine haziwezi piga kazi miezi sita mfululizo bila kuzingua pia spare za medical equipment yoyote haipatikani kariakoo lazima kuagiza kutoka kwa manufacture.
...Ile ya Aga Khan wanaitumiaje? Haiwezekani kujifunza toka kwao?

pale hospital ya ikonda makete mkoani njombe wamefunga ct scan mwaka jana uliza imeshaharibika mara ngapi. na hata hivi sasa haifanyi kazi tena imeharibika ni miezi mitatu sasa wanasubiri spare.
...Iliponunuliwa, ilikuwa mpya? Tatizo ni nini? Je, haliwezi kutatuliwa?
 
Anayefahamu pesa walizolipwa ilikuwa ni kwa sababu ya deni au kutengeneza mashine zilizoharibika?

Pesa walizolipwa ni za kupunguza deni ili waendelee na kazi yao ya kuzikarabati, hivyo deni litaongezeka kwa kadri watavyokuwa wakizikarabati.
 
Jamani mafundi nchi hii ni tatizo, mfano vifaa vya majumbani unaita fundi kufunga mixer ya maji bafuni inamshinda, mie nasinki la kunawia imebidi ninunue beseni funga funga na wewe linavuja. Maofisini photocopy na printa ni shida.

Hebu tuambizane mafundi wa vifaa hivi vya mionzi wanasomea wapi? Kuanzia camera fotocopy ctscan etc?
 
...Nadhani inawezekana kuzipatia umeme mzuri wakati wote zinapotumika. Ni suala la maamuzi tu. ...Ile ya Aga Khan wanaitumiaje? Haiwezekani kujifunza toka kwao? ...Iliponunuliwa, ilikuwa mpya? Tatizo ni nini? Je, haliwezi kutatuliwa?

Haya ni majibu murua kabisa, nadhani atakuwa kaelewa sasa.
 
kipaumbele cha taifa letu ni fujo.ndio maana kikwete aliagiza magari ya washawasha. na Land cruiser kwajili ya polisi lakini nashangaa kwa mini wanakataza mikurano na maandamano?? sasa waache ili matumizi yafantikee
 
Jamani mafundi nchi hii ni tatizo, mfano vifaa vya majumbani unaita fundi kufunga mixer ya maji bafuni inamshinda, mie nasinki la kunawia imebidi ninunue beseni funga funga na wewe linavuja. Maofisini photocopy na printa ni shida.

Hebu tuambizane mafundi wa vifaa hivi vya mionzi wanasomea wapi? Kuanzia camera fotocopy ctscan etc?

Sijui kwa vifaa vingine, ila kwa ct scanner mfano hiyo ya muhimbili, kampuni ya Phillips ndio wenye tenda ya ukarabati ambao ndio watengenezaji wa hizo mashine.
 
tuanzie hapo, lowasa kafanyakazi miaka miwili akaacha kazi kwa hiari yake mwenyewe analipwa penseni sawa na msuya aliyetumikia serikali maisha yake yote, hapana. Wakati watumishi wengine ukiacha kazi kwa hiari yako hulipwi hata nauli.

Aliacha kazi kwa shinikizo na si kwa hiari maana hakuwa na namna aliona hana cha kujitetea baada ya kuonekana alihusika na kutumia madaraka yake kuingiza kampuni hewa kwa maslahi yake na marafiki zake. Na Mungu sasa anamlipa kwa dhulma aliyowafanyia watanzania wanaokosa umeme hadi leo chanzo akiwa ni yeye. Hili halihitaji PhD mtu kuelewa.
 
Aliacha kazi kwa shinikizo na si kwa hiari maana hakuwa na aliona hana cha kujitetea baada ya kuonekana alihusika na kutumia madaraka yake kuingiza kampuni hewa kwa maslahi yake na marafiki zake. Na Mungu sasa anamlipa kwa dhulma aliyowafanyia watanzania wanaokosa umeme hadi leo chanzo akiwa ni yeye. Hili halihitaji PhD mtu kuelewa

Hii elimu yetu inawalakini sana, inatusaidia kutumia keyboard na kuweka pembeni ubongo.
 
Aliacha kazi kwa shinikizo na si kwa hiari maana hakuwa na namna aliona hana cha kujitetea baada ya kuonekana alihusika na kutumia madaraka yake kuingiza kampuni hewa kwa maslahi yake na marafiki zake. Na Mungu sasa anamlipa kwa dhulma aliyowafanyia watanzania wanaokosa umeme hadi leo chanzo akiwa ni yeye. Hili halihitaji PhD mtu kuelewa.

halafu tunaendelea kumlipa pensheni hadi atakapokufa? Hapana.
 
Tunasababu gani ya kumtunza sumayi wakati ananguvu ameweza kumnadi lowasa nchi nzima, kwanini asilime akajipatia kipato? Mie nadhani rais na waziri mkuu mstaafu akiwa chini ya miaka sabini atafute shamba alime tu.
 
Ngabu uliona ile ishu ya Ethiopia ku intruduce train za umeme Addis Ababa?
dola milion 480 tu kilometa 32....
imagine that.....huku Tanzania inatumia dollar milion 800 kwa ohospitality wizarani kila
mwaka

Viongozi wa tz ni wa ajabu sana
 
Ngabu uliona ile ishu ya Ethiopia ku intruduce train za umeme Addis Ababa?
dola milion 480 tu kilometa 32....
imagine that.....huku Tanzania inatumia dollar milion 800 kwa hospitality wizarani kila mwaka
The Boss wakenya wanavyotuita ni wajinga lazima tukubali...... hii nchi ina wapumbavu wengi kulko watu waelewa!!

kibaya zaid kuna wasomi waliovaa 'ujinga' kwa maksudi...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom