Sarakasi za CT Scanner, MRI na vipaumbele vyetu

Total rubbish,siku nyingine usiendike vitu usivyo vijue, kwanza kabisa wewe sio technician ,pili wewe sio medical personel .
rubbish ,rubbish ,rubbish

Hebu weka ukweli wake, naona povu linakutoka! Hivi, hata quotation inahitaji hao uliowataja?
 
Hivi mgombea wa UKAWA Lowasa alikuwa waziri na mtumishi wa serikali gani ukiondoa miezi miwili ya kampeni ? Analipwa pensheni kama mstaafu wa serikali ipi? Tuliomchagua JPM tulilinganisha kubwa kuliko na ndogo kuliko. Hapakuwa na CCM vs UKAWA bali A na B. Tumechagua A. Mgombea mnayemlinganisha na yanayosahihishwa alikuwa Mtendaji Mkuu wa serikali miaka 2, hakuyaona kama hao mnaowakosoa.

Back to topic,
 
A sixteen slice scanner will cost between $95,000-$165,000 installed with a ?first scan? warranty. Your manufacture preference is a key component. While popularity can be disputed to all hours of the night - GE, Siemens, Philips, and Toshiba are without a doubt the major players in the CT scanner market
 
acha uongo Ct scan zipo kibao huku arudha ipo aga khan ipo seliani ipo Kcmc pia. iyo MRI ipo ocen road. wala hujui kilicho tokea. wala hujui gatama za izo machine kulingana na kampuni zinazo install na slices ya picha inazo weza fanya. na mikataba ya kampuni na hospitali inayo ingia nao nimigumu hairuhusiwi kampuni nyengine kufanya service. sasa ulizia OC itakuja lini hospitali?

Hivi mgombea wa UKAWA Lowasa alikuwa waziri na mtumishi wa serikali gani ukiondoa miezi miwili ya kampeni ? Analipwa pensheni kama mstaafu wa serikali ipi? Tuliomchagua JPM tulilinganisha kubwa kuliko na ndogo kuliko. Hapakuwa na CCM vs UKAWA bali A na B. Tumechagua A. Mgombea mnayemlinganisha na yanayosahihishwa alikuwa Mtendaji Mkuu wa serikali miaka 2, hakuyaona kama hao mnaowakosoa.

Mbona mnakuwa vilaza sana mpaka kwenye insu ambayo haihitajiki siasa au ndiyo Elimu zero sasa mnazani bado tupo kwenye kampeni ? Akiri zenu finyu sana pia msizani hii Maada ina lenga MTU ila ina linga Taiga zima bila kuangaria huyu ccm na huyu ni ...........
 
Wapo madarakani ila hawajiamini, kila kitu kwao siasa.
 
Mkuu gollocko
Wanabodi umetuchanganya na hizo figure zako hebu fafanua please $150-250 & $250-300 are in which term hundreds,thousands or millions tunaomba mchanganuo ilikupata bei za hizo mashine.
 
Mtebetini, nimeshaziweka sawa, heshima kwako.
 
Kwenye hizo USD weka K eg.150k _ 250k yaani sh.Mil 300 _ 500 za kitanzania

Mtoa mada nimekuelewa sana....Mungu akubariki wewe ni great thinker ,najua kuna WACHAWI(wafia vyama) watakuja kuloga humu ila wameshindwa kwa jina la Yesu....
 
Eng. Nimeshaweka sawa, shukrani
 
Mimi nashindwa kabisa kuelewa kwa kweli!

Ndo maana nasema Tanzania majuha ni wengi mno.

I mean, kama tunavyoambiwa kwamba Tanzania nzima kwenye hospitali za serikali hivyo vifaa vipo Muhimbili tu, nani hapo anawajibika?

Kama hivyo vifaa vimekuwa havifanyi kwa sijui miezi miwili, well, nani alikuwa anaongoza serikali miezi miwili iliyopita?

Yaani watu wanachotwa tu na mihemuko ya Magufuli as if yeye hakuwepo kabisa kwenye serikali miaka 20 iliyopita.

Kosa lake magufuli ni kukubali kukarabati machine kwa 7billion wakati angepata mashine mpya saba kuliko mbovu mbili
 
acha uongo Ct scan zipo kibao huku arudha ipo aga khan ipo seliani ipo Kcmc pia. iyo MRI ipo ocen road. wala hujui kilicho tokea. wala hujui gatama za izo machine kulingana na kampuni zinazo install na slices ya picha inazo weza fanya. na mikataba ya kampuni na hospitali inayo ingia nao nimigumu hairuhusiwi kampuni nyengine kufanya service. sasa ulizia OC itakuja lini hospitali?
Wewe uko dunia gani!! Kcmc ct-scan imekufa week ya tatu sasa na haina mwaka tangu kununuliwa!! Hata Xray haifanyi kazi!! ocean road hakuna MRI, seliani na Agakhan sio government hospitals!! Na costs zao ziko juu sana!!
 
Aisee kama ulichoongea kina ukweli ndani yake basi hili litakuwa ni tatizo kubwa sana ktk serikali iliyopita. Yaani wanapeleka magharama yasiyo ya msingi ktk vitu ambavyo ni none sense.
Ni vizuri kununua magari ya washawasha maana vichwa Maji mpo wengi , nchi ikiingia maachafuko ni gharama kubwa zaidi
 
acha uongo Ct scan zipo kibao huku arudha ipo aga khan ipo seliani ipo Kcmc pia. iyo MRI ipo ocen road. wala hujui kilicho tokea. wala hujui gatama za izo machine kulingana na kampuni zinazo install na slices ya picha inazo weza fanya. na mikataba ya kampuni na hospitali inayo ingia nao nimigumu hairuhusiwi kampuni nyengine kufanya service. sasa ulizia OC itakuja lini hospitali?

no kasema hospital za serikali Na sio za binafsi . kama ni hospital za serikali hizo machine ziko muhimbili tu. rejea maandiko yake kwa upole
.alafu pia contract inakuwa kipindi cha warrant tu baada ya hapo unaweza kutafuta kampuni yoyote kwa ajili ya matengenezo na ppm. iko kampuni ya pacific diagnostic inafanya pia hizo shughuli. tatizo la serikali ni mfumo wa malipo
 
Wewe uko dunia gani!! Kcmc ct-scan imekufa week ya tatu sasa na haina mwaka tangu kununuliwa!! Hata Xray haifanyi kazi!! ocean road hakuna MRI, seliani na Agakhan sio government hospitals!! Na costs zao ziko juu sana!!

ct scan Na MRI ni softicated machine ziko very delicate Na very senstive kwa hiyo zinataka umeme ambao upo stable full time. sasa kwa umeme wetu wa kibongo hizo machine haziwezi piga kazi miezi sita mfululizo bila kuzingua pia spare za medical equipment yoyote haipatikani kariakoo lazima kuagiza kutoka kwa manufacture . pale hospital ya ikonda makete mkoani njombe wamefunga ct scan mwaka jana uliza imeshaharibika mara ngapi. na hata hivi sasa haifanyi kazi tena imeharibika ni miezi mitatu sasa wanasubiri spare.
 
Ndugu edit ulichoandika $400 sio million 840 za tanzania $300 sio million 600 au unatumia rate gani
Umenisikitisha zaidi, yaani badala ya kuchangia mada tajwa we unakosoa hesabu kwa rate alotumia wakati wewe umeshindwa hata kugoogle ukajua rate sahihi, unadhani hizo tfiti alizoandika mleta uzi angeshindwa kujua rate sahihi kwa wakati uliopo?
 
Anayefahamu pesa walizolipwa ilikuwa ni kwa sababu ya deni au kutengeneza mashine zilizoharibika?
 
Back
Top Bottom