Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Mtoa mada yupo sahh sn. Ukiwakuta mtaani duuu njoo kazn matango pori.
 
Kwa hotuba iliyotolewa na waziri mwenye dhamana ya michezo leo inadhihirisha kuhusu elimu yetu kama taifa
kujisifia lkn hatuoni tangible projects zenye kuleta mapinduzi chanya kwenye jamii miaka 100 itafika bado wimbo ule ule chuo bora bila tangible impacts
Unataka impact gani mkuu?? Huoni CoET wanazalisha Mashine za kusaga dona na kukoboa.maana hivi ndivyo vinavyohitakika kwenye jamii yetu...nuclear tuwaachie north korea
 
Kwa uzi kama huu, ni lazima wasikujibu. Maana inaonesha hata akili zako ni ndogo na ulichowaandikia ni upuuzi. Kama watu wa vyuo vingine ndio akili zenu ndogo kiasi hichi tuache UDSM kizidi kusifiwa.
Watuache kabsa aisee mi nashangaa kila kukicha unawaza kuwasema watu wa UDSM sijui tatizo nini Kama mnnaona tuna faidi hamieni basi udsm mnakera sana
 
Wasomi wa vyuo vingine ndio hawajiamini, wanapokutana na wasomi wa UDSM wanahisi wanadharaulika kumbe wasiwasi wao tu.

Kimsingi kwa nchi yetu UDSM ndio chuo bora na hiyo iko hivyo hakuna wa kuibadilisha, wengi wanaoponda ni waliokosa nafasi ya kusoma UDSM hivyo wanakua na hasira sana.
Poleni wakuu kusoma UDSM ni ndoto za form six leavers wengi ila sio wote watapata hiyo nafasi.

Nakumbuka wakati tunahitimu mitihani ya kidato cha sita miaka ya nyuma, baada ya mtihani wa mwisho tunaagana kwa maneno haya"Wanangu tutaonana UD" ila sio wote waliingia UD.
Umenena kwel mkuu
 
Tunajikumbusha tuu

_ where ever you are remember me_
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,

Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.

They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.

Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Kama ni vilaza waliendaje UDSM?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UDSM ni chuo kizuri kwa kiasi chake, lakini kilipaswa kiwe bora zaidi maana ni cha muda mrefu na macho ya Tanzania kama nchi yalikuwa pale. Hata hivyo, siwezi ongelea ubora wa elimu ya wahitimu wa UDSM maana sina data za kutosha. Itoshe kusema, wakati mwingine ubora wa elimu anayokuwa nayo mtu hutegemea mambo mengi, mfano: uwezo wa mtu kitaaluma, bidii ya mtu, na background yake, miongoni mwa mambo mengine. Haitoshi kusema eti mtu akisoma chuo fulani mfano UDSM eti atakuwa competent. Mimi nimekutana na watu wengi waliosoma SUA na Mzumbe na wako competent sana kuliko hata wahitimu wa UDSM. Therefore, don't be obsessed by the name of the university written on one's academic certificate. One's academic competency depends on a lot of things than the university from which s/he graduated
Huo ni wivu tu unakusumbua kaka so labda hujui historia ya vyuo vikuu cha Tanzania. Nilibahatika kusoma UDSM miaka kadhaa iliyopita na nipo mtaani nakula matunda ya elimu yangu hv sasa ukweli ni kwamba huwezi kulinganisha wahitimu wa UDSM na chuo chochote kile Tanzania na itachukua miaka.
ahahahahhaaaa najua ukimaliza kutoa mawe yote uta finalize na irregular shape stone PAA LA MAGAMBA


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humu JamiiForum kila mtu yuko vizuri anakula matunda ya elimu yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Njoo sasa kwenye jukwaa la Kazi na Ajira,vilio chungu nzima
 
Back
Top Bottom