Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Back then before October 2015, Education was the key to life. Now that someone has changed the lock, education is no longer the key, but the lock itself. You and your university doesn't matter, the only thing that does, is the degree of connectedness. Remember: The world works with the connected ones ___ Says Zubek.
 
Kijana wangu wewe unasoma Electrical apo DIT sasa wewe nakushusha vyeo unaeza vipi kupima competence yangu huku...Japo unasoma BeNG ila kwa DIT sisi wa UDSM tutawaita Nyie ma Technician tyu!
Nyie mainjinia mmevumbua nini huko Ud? Mie niko huku engine room nahangaika hii meli ya Messina iondoke asubuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,

Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.

They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.

Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Mkuu we umehitimu chuo gan,..none perfect ...kwan we ni competent???
 
Humu JamiiForum kila mtu yuko vizuri anakula matunda ya elimu yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Njoo sasa kwenye jukwaa la Kazi na Ajira,vilio chungu nzima
kweli mkuu
 
Ila nyie acheni bana kusoma Udsn raha sana.Hupati shida kujitambulisha nasoma chuo fulani popote,pale ni dhana halis ya university,hapo naongelea mliman,main campass,siongelei duce wala mkwawa.Kama hukubahatika tafuta kakozi hata ka wiki moja au nenda tuu ukatembee,UDSM ni habari nyingine,nilikaa pale miaka minne nikisoma course flan hivi ambayo haikuwa ndoto yangu,sasa hivi nasoma kwingine kozi ya ndoto yangu.Nisingesubiri ndoto nikapakosa udsm,enzi zile shule ya msingi Shitimbi katika kitabu cha kiswahili darasa la tano kulikuwa na hadithi "Atembelea Chuo kikuu cha Dar es salaam," ilitujengea ndoto ya kufika udsm.Nashukuru nilifika ingawa si kwa kozi ya ndoto yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back then before October 2015, Education was the key to life. Now that someone has changed the lock, education is no longer the key, but the lock itself. You and your university doesn't matter, the only thing that does, is the degree of connectedness. Remember: The world works with the connected ones ___ Says Zubek.
Remember,you can not get connections with illiteracy,education is a path towards connections and you can not do without.It is still a fact and it will still be that Education is a key to success.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UDSM-The home of interlectures.....nyie vyuo vyenu c mnadahili mpaka Div eleven.

what hell is that, ndo unajiita kipanga wa UDSM hahahaaaa!!! fake graduate.

Ngw'ana Kabula
 
what hell is that, ndo unajiita kipanga wa UDSM hahahaaaa!!! fake graduate.

Ngw'ana Kabula
Kakosea tuu,alikuwa na mawazo mengi.kuna jamaa alikuwa akipanda jukwaani pale Nkrumah hall wakati wa kunji akiitwa Pauline alikuwa anatia,Intellectualssss!!!!!!! Jamaa alishafariki asee,niliwahi kupiga naye kazi Mwanza.Namkumbuka Zitto Kabwe anaimbisha Kama siyo juhudi zako Nyerereee.

makosa ndiyo indicator ya ukilaza wenyewe, huwezi kuandika kitu na kukiwasilisha bila kuhariri, so sad indeed

Ngw'ana Kabula
 
Ila nyie acheni bana kusoma Udsn raha sana.Hupati shida kujitambulisha nasoma chuo fulani popote,pale ni dhana halis ya university,hapo naongelea mliman,main campass,siongelei duce wala mkwawa.Kama hukubahatika tafuta kakozi hata ka wiki moja au nenda tuu ukatembee,UDSM ni habari nyingine,nilikaa pale miaka minne nikisoma course flan hivi ambayo haikuwa ndoto yangu,sasa hivi nasoma kwingine kozi ya ndoto yangu.Nisingesubiri ndoto nikapakosa udsm,enzi zile shule ya msingi Shitimbi katika kitabu cha kiswahili darasa la tano kulikuwa na hadithi "Atembelea Chuo kikuu cha Dar es salaam," ilitujengea ndoto ya kufika udsm.Nashukuru nilifika ingawa si kwa kozi ya ndoto yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee ndio wasomii wa UDSM hao ...Haangalii ndoto yake anangalia sifa za watu.Hongera sana
 
Kwanza kabisa na declare interest mimi sijasoma Udsm.
Mimi ninaamini ubora wa chuo unapimwa vizuri zaidi na wahitimu inayotoa. Hivi ndivyo wenzetu wanavyofanya na ndio maana kwa nchi kama Marekani wana Ivy League universities kama Harvard, Stanford, Cornell na MIT na nyingine. Kuingia hapa ni lazima uwe umepasua si mchezo. Na hata graduates inaotoa wana impact kubwa kwenye jamii mf Bill Gates, Zuckerberg, Kenneth Arrow, Larry Summers, Mankiw na wengine wengi. Tunaona impact zao either in academia or in industry practices.
Pia wana Public Ivies kama University of Virginia, University of California Berkeley, Los Angeles na Santa Barbara, North Carolina Chapel Hill, University of Maryland na nyingine kibao. Na hata hizi public universities ziko highly recognized kwa highest quality of education offered na product zao zina impact kwenye industry na hapo ndipo argument ya ubora wao inapojikita.
University inapimwa na product zake kwenye industry na sio jina la chuo pekee.
Na hiki ndio kipimo sahihi hata apa kwetu tukitumie na sio kutishana, kubishana au kubezana mara mimi nimesoma UDOM,.Ardhi, Mzumbe, Udsm, SAUT, Rucu, Tumaini n.k.
Ni kweli watu waliosoma Udsm wengi wana hiyo kasma ya.kujiona bora kuliko wengine (nina associates kibao from Udsm, Sua, MU, Udom, SAUT, na kwingine so i mean what I say) lakini mimi ninaamini ubora wa graduate hupimwa na impact yake kwenye industry na sio kelele za mimi nimesoma wapi wala sijui nini. Na mwisho, competency ya graduate ni juhudi za graduate mwenyewe. Jina la chuo lipo tu lakini competency ni suala la mtu mmoja mmoja. Nina uthibitisho kwenye hili.
Mnawafahamu Shambani Graduates wa SUA?
Anyway, nitarudi one day kuwazungumzia
 
Ndio hao ambao wapo wengi ccm kumbe ujinga huu unazalishwa nilifikiri wamezaliwa nao hata yulee katokea hukohuko ona matendo yake
 
Back
Top Bottom