GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,700
- 14,641
Utakuwa umesoma vyuo hivi. CBE, SAUT,MUSLIM UNIVERSITY, UTUMISHI WA UMMA. nawajua watu wengi walisoma vyuo hivyo wanajihisi inferior sana.
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.