Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Kama mimi uwezo wangu utakuwa mdogo jilinganishe wewe ambaye una udumavu wa akili utakuwa kwenye ngazi gani?
nina uhakika wewe ni Maskini...uwezo wako wa kufikiri ni mdogo mno kuliko ata punje la Mchele[
kwanza wewe ni Mhitimu wa kozi gani huenda nabishana na mtu wa Bachelor of arts in.......
Put off your shits i'm wasting my precious tym with nonsense i have batch of manuscripts to edit.
 
Sitaki kuamini kama wahitimu wote wa UD ni vilaza kama inavodaiwa ama ni vichwa sana kama wanavotuaminisha ila majority ya wasomi wa UD wamejaa dharau na kuona wahitimu kutoka vyuo vingine si lolote,binafsi nilihitimu TIA nilsomea Accounting na kuna vijana wenzangu walibahatika kusoma hapo UD BCOM in accounting basi ikawa shida naambiwa nasoma institute na sio chuo wao ndo wanachuo ila kila nikikaa nao kwenye discussion nagundua wana incompetence kubwa sana na tulivohitimu ndipo rangi halisi ya majivuno yao nikaijua kwenye interview ni weupe sana hadi sasa wapo kitaa wanaishia kujisifu wamesoma UD na mwenye TIA yangu nipo kwa kitengo maisha yanaendelea,,,,,uzuri huku kwenye ajira hawatupimi kwa majina ya vyuo Bali kwa competence hapo ndo pananoga sana
 
Put off your shits i'm wasting my precious tym with nonsense i have batch of manuscripts to edit.
we ni kilaza tyu unaetegemea vyeti na kibachelor chako ulchopatia st flanii.......
 
Unataka kufananisha waitimu Wa UDSM na waitimu wengine Wa vyuo vya kata? Unasema jina linawabeba ! Uku ukisahau kuwa hilo jina limejengwa na ubora wa waitimu.
My friend acha wivu , najua ata wewe ulitamani kusoma UDSM lakini alama zako azikutosha au TCU walikupeleka nje ya malengo yako, ujachelewa unaweza kuomba tena mana sasa application ni moja kwa moja chuo na wala sio kupitia TCU ili utimize ndoto zako na wivu wa kijinga utakuisha.
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,

Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.

They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.

Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Vipi mwenzetu wa Teofilo Kisanji nini kinakubeba maana wenzio tunabebwa na jina wewe je?
 
Nilifikir ni mm tu ndie mwenye kuhisi hii issue kumbe tuko wengi kiukweli hata walimu wao wamo wengine vihiyo na ndio maana wanakifanya kiwe kigumu kuingie ili kionekane kiko vizuri ila ni majanga matupu bora ukasome vyuo vidogo vidogo venye majina ya kawaida utatoka uko vizuri kuliko pale
Najua hukupata nafasi ya kusoma UDSM pole mkuu
 
Mkuu.....nipo Medicine Class....watu huki ni Bashite...Kiingereza kwao ni kama usiki na mchana....sijui mitijani wannandika nn...ila surprisingly they pass
Kwahiyo Kiingereza kwako ndio kiashiria cha uelewa? Asiyejua Kiingereza vizuri kwako ni Bashite?

Hebu eleza kidogo
 
Watanzania Wengi Wana Ugonjwa mmoja, yaani wanapokitaka au labda kuwahi kukitaka na wakakikosa basi kinachofata they Gonna Hate it..Ndivyo ilivyo hata kwa upande wa chuo kikuu cha DSM yaani UDSM unakuta wengi wao ni wale waliokuwa wanakipenda wakakikosa basi wanaamua kukichukiaa..! Jiulizeni je TZ nzima Chuo ni UDSM pekee? Basi kama sio kwanini Muda wenu Mwingi Mnapoteza Kukipondea Ichi Chuo na kwa Historia Wale Toppers Ndo wanakuja Hapa...je How wanakuja kuwa vilaza tena?? as i know hapa UDSM hakuna GPA za kupewa yaani zote unahusle wenyewe hata mimi Nipo Hapa na am very compintent...Kwahiyo Ndugu zanguni Watanzania embu Tusipoteze muda wetu katika chuki na wivu bali tuwekeze Muda wetu katika Hali na namna ya Kuiboresha elimu ya vyuo vyetu vikuu viwe katika hali na mazingira boraa Maana ata nyinyi mkidic na kuchukia udsm we are still the Best

Nawasilisha kwa Niaba ya UDSM CoEt
Unasoma course gani mkuu hapo udsm coet, nataka niipime competence yako
 
Sitaki kuamini kama wahitimu wote wa UD ni vilaza kama inavodaiwa ama ni vichwa sana kama wanavotuaminisha ila majority ya wasomi wa UD wamejaa dharau na kuona wahitimu kutoka vyuo vingine si lolote,binafsi nilihitimu TIA nilsomea Accounting na kuna vijana wenzangu walibahatika kusoma hapo UD BCOM in accounting basi ikawa shida naambiwa nasoma institute na sio chuo wao ndo wanachuo ila kila nikikaa nao kwenye discussion nagundua wana incompetence kubwa sana na tulivohitimu ndipo rangi halisi ya majivuno yao nikaijua kwenye interview ni weupe sana hadi sasa wapo kitaa wanaishia kujisifu wamesoma UD na mwenye TIA yangu nipo kwa kitengo maisha yanaendelea,,,,,uzuri huku kwenye ajira hawatupimi kwa majina ya vyuo Bali kwa competence hapo ndo pananoga sana
Wasomi wa vyuo vingine ndio hawajiamini, wanapokutana na wasomi wa UDSM wanahisi wanadharaulika kumbe wasiwasi wao tu.

Kimsingi kwa nchi yetu UDSM ndio chuo bora na hiyo iko hivyo hakuna wa kuibadilisha, wengi wanaoponda ni waliokosa nafasi ya kusoma UDSM hivyo wanakua na hasira sana.
Poleni wakuu kusoma UDSM ni ndoto za form six leavers wengi ila sio wote watapata hiyo nafasi.

Nakumbuka wakati tunahitimu mitihani ya kidato cha sita miaka ya nyuma, baada ya mtihani wa mwisho tunaagana kwa maneno haya"Wanangu tutaonana UD" ila sio wote waliingia UD.
 
Nilijua utasema mliofaulu na wanaofaulu ndo mnaenda mbinguni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Binadamu tunajisahau sana hapa duniani tunaona tumefika
Sio ufaulu tu!
hata ufanisi wetu kazini uko juu zaidi yenu wa vyuo vya kata
 
Una uhuru wa kuandika unachokifiria based on your IQ mimi nimesoma na watu waliomaliza udsm mamtoni ilikuwa aibu kupanda kwenye podium kufanya presentation ana shake mwanzo mwisho na wazungu wanaishia pardon several times and the likes. Jaribu kupata exposure don't narrow your mind.
mkuu, hiki unachokisema ni kweli kwani nami nilishashuhudia wanafunzi kibao waki-shark kwenye presentation mbalimbali za phD...Though, University huwezi ibebesha lawama sana kwa sababu zifuatazo:-
  1. Tuna mitaala ya Elimu mibovu kuanzia Primary mpaka University. kwa kuwa mwanafunzi anakuwa ameandaliwa kwenye mfumo mibovu ya elimu, miaka yake 3 or 4 atakayosoma chuo haiwezi kumbadilisha awe kipanga...as to 'what a reasonable man would interpret as intelligent"-kwa lugha nyingine, anaweza kubaki kuwa bashite (urban dictionary)..
  2. Wasomi wengi wa kitz wanasomea paper(mtihani) na haya ni matokeo ya dhana kwamba mwenye A+ ndo mwenye akili sana kuzidi wa B+ or C...na kwa kuwa wasomi wengi ni matokeo ya madesa( photocopy ya desa la mtu mmoja kwa darasa lote)...ni wachache wanasoma vitabu kwa maarifa ya ziada....ukweli mchungu, wengi wa vijana wetu kwa matendo na IQ zao havilingani na matokeo kwenye vyeti vyao...
  3. kwa upande mwingine, walimu nao ni matokeo ya jamii hiyo hiyo ambayo haina utamaduni wa kujisomea vitabu na silent enemy wa lugha (ENGLISH)...wengi wanashindwa kuelewa kuwa kufaulu mtihani na kuwa competent ni issue tofauti kabisa....though the latter may have positive influence on the former...(50/50 chances...)
  4. Nafikiri bado tuna muda wa kujitafakari sisi ni nani na tunaenda wapi...kama taifa, tuna safari ndefu ya kwenda kwa kuwa hatuna dira inayotuongoza. bahati mbaya vijana wetu na walimu wao wako usingizini na hata hawajitambui na kujielewa wanataka nini...naona meli ikizama..
 
Alafu kushake ni ishara ya lack of confidence sasa linahusiana nini na chuo, watu wengi hawajiamini wanapokua mbele ya hadhira, sio wanavyuo hata wanasiasa, wasanii yaani mpaka uzoee vinginevyo uwe kauzu kweli kweli[emoji23]
 
Pole sana kilaza wewe

UDSM ni state university, kuwa na adabu
ulifeli form six ukakimbizwa vyuo vya kata
Wewe ndio wa ajabu kweri. Ikiwa state university nitakuwa haina matatizo!. AU ndio wale watu ataki state ikosolewe?. IVI awa mliosoma zamani mlifundishwa kukosolewa ni dhambi!. Ulitaka state tu watu wainame na kuabudu?. Kizazi hiki ni huru sana cha wazi. Jifunzeni kukosolewa ndio kuendelea.sasa app adabu imekujaje?.
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,

Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.

They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.

Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Kwa nini unasema ni bomu? You have to have a base for your contention, give reasons upon which to base your contention.
 
Waambie wasomi wa udsm ivi tunaaanza mashindano ya airtel east Africa.[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]. Wengi wakiwa bar tu utawajua awa ndio wa ud.
 
Back
Top Bottom