Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Sarakasi na majigambo ya wahitimu wa UDSM

Udsm ndio nini jamani?
Au ndio pale PhD ya maganda ya korosho against rust ilipochukuliwa na kuwekwa fent ford...!?
 
tunaichukulia elimu kama sehemu ya fashion,
walio wengi wanasoma ilimradi tu, hawajui kwanini wapo chuo.
 
6deb80118cfb879bc3b5cdd1c6aa31a9.gif
 
Mental slavery ni pamoja na kusoma sekondari na chuo kikuu kwa kutumia lugha ya kikoloni.

Hata kusema 'mental slavery' nayo ni mental slavery!

Si ajabu hata wewe mwenyewe hapo ulipo jina lako moja ni la kikoloni.

Na si ajabu, kama una watoto, basi majina yao yote ni ya kikoloni.

Who's a mental slave now?
Pole sana....!!!???

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mleta mada, wewe umesomea wapi? (chuo gani? )
Tuanzie hapo kwanza, hahaaah...!
 
Habari wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,

Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.

They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.

Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
ahahahahhaaaa najua ukimaliza kutoa mawe yote uta finalize na irregular shape stone PAA LA MAGAMBA
 
Hiyo ni dunia nzima kila nchi lazima iwe na chuo bora katika nchi na wale wenye ufaulu wa juu kabisa katika elimu ya sekondari ndiyo watasoma katika chuo hicho .mimi sijasoma pale ila kumbukumbu zangu zinanionesha wale waliokuwa wanatuongoza madarasani huko shule za msingi na sekondari wapo pale udsm na sisi wengine tukasoma vyuo vingine pia kumbuka 90% ya wahitimu kidato cha sita wanataka chuo udsm.pia nchi lazima iwe na watu wenye iq kubwa kwa kuchuja na kuwatafutia sehemu ya kulea vipawa vyao udsm sehemu sahihi. tuache majungu udsm wapo safi ingawa wenye uwezo mdogo wapo lakini ni wachache.
 
Luckdube, hayo ni kweli,,

Elimu inapimwa kwa kuangalia watendaji wa serikali,

Haya, sasa angalia ofisi zote zina wahitimu wa UDSM siyo chini ya 7kwa kila 10 na hii imetokana na serikali iyo hiyo kutoa upendeleo wa wazi kwa hao wahitimu kwenye kugawa ajira (tangazo, linasema hivi, wahitimu wa UDSM wanatapewa kipaumbele)

Sasa, tatizo ni utendaji wao, mfano, rushwa, wizi, kukosa weredi na hata ulevi wa kupindukia wakati wa kazi ni watu wa chuo hicho pendwa.

Kwenye, siasa wamekuwepo tangia miaka ya 80's na ndiyo wametufikisha hapa kwenye madeni na siasa uchwara.

Naona mleta uzi, hajakosea wengi wa wahitimu hadi wahadhiri ni vilaza.
 
Wabongo bhana ni sheeedah....kuna watu utasikia wazungu kitu gani!...tumesoma na wazungu vyuoni huko kwao tulikuwa tuna waburuza tu na kuwaacha kwa mbali na GPA zetu kali tena na za sayansi....kesho unasikia hao wazungu anao waita kitu gani wamegundua kurusha ndege bila rubani au wameunganisha dozi ya vidonge 15 v TB ambavyo mgonjwa alikuwa anameza kila siku kuwa kidonge kimoja na matokeo yake ni kama kumeza vidonge 15......wakati msomi wetu huyo aliye na GPA kali kuliko mzungu hata kurekebisha bulb tu anashindwa...elimu itusaidie kuadvance ktk knowledge kama taifa na sio sifa za kuwa vyeti vikali kuliko fulani...wakati hata njiti ya kiberiti hatuwezi tengeneza..elimu yetu ya msingi bado sana..hata kama wote tunatumia vitabu vilevile vyenye principles za sayansi wanazotumia wajerumani, wajapani, wakorea au wamarekani.
 
Wabongo bhana ni sheeedah....kuna watu utasikia wazungu kitu gani!...tumesoma na wazungu vyuoni huko kwao tulikuwa tuna waburuza tu na kuwaacha kwa mbali na GPA zetu kali tena na za sayansi....kesho unasikia hao wazungu anao waita kitu gani wamegundua kurusha ndege bila rubani au wameunganisha dozi ya vidonge 15 vya mgonjwa wa TB ambavyo alikuwa anameza kila siku kuwa kidonge kimoja na matokeo yake ni kama kumeza vidonge 15......wakati msomi wetu huyo aliye na GPA kali kuliko mzungu hata kurekebisha bulb tu anashindwa...elimu itusaidie kuadvance ktk knowledge kama taifa na sio sifa za kuwa vyeti vikali kuliko fulani...wakati hata njiti ya kiberiti hatuwezi tengeneza.
 
idadi kubwa ya wahitimu wa UDSM ndio wameliweka taifa hili kwenye hizi critical mess,wamesaini mikataba mibovu,waiba kupitia EPA account,ujenzi wa BOT twin tower,radar,Escrow account,meremeta,mikataba ya migodi kuwapa wawekezaji kwa miaka mia,walishindwa kupinga au kukubali kusimamia misingi ya Azimio la Arusha leo hii nchi haina dira ya kiuchumi,privatization walipo iintroduce imezalisha bourgeoisie wameshindwa kutetea je huu ndio msimamo wao nchi au laa,walianzisha na kushiriki katika mchakato wa katiba mpya lakini wameshindwa kuyakubali maoni yao yaani wanaamini tunaweza kuongozana na katiba ya 1977 iliyokuwa ya mpito kutoka kwenye ukoloni mpaka wakati huu nchi iki experience muundo wa vyama vingi kwa zaidi ya miaka ishirini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] , si walikutana na baadhi vilaza wa vyuo vingine ambao hawawezi kuhoji utendaji wa wafanyakazi waliosoma UDSM? kwanini wasiibe kujinufaisha?.. wizi na tamaa ni tabia ya mtu wala hauwezi ukapima uwezo wa mtu kichwani kupitia wizi.

Sent from my HUAWEI MT7-L09 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom