OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,672
- 11,858
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.

Luckdube, hayo ni kweli,,
Elimu inapimwa kwa kuangalia watendaji wa serikali,
Haya, sasa angalia ofisi zote zina wahitimu wa UDSM siyo chini ya 7kwa kila 10 na hii imetokana na serikali iyo hiyo kutoa upendeleo wa wazi kwa hao wahitimu kwenye kugawa ajira (tangazo, linasema hivi, wahitimu wa UDSM wanatapewa kipaumbele)
[color]Sasa, tatizo ni utendaji wao, mfano, rushwa, wizi, kukosa weredi na hata ulevi wa kupindukia wakati wa kazi ni watu wa chuo hicho pendwa.[/color=red]
Kwenye, siasa wamekuwepo tangia miaka ya 80's na ndiyo wametufikisha hapa kwenye madeni na siasa uchwara.
Naona mleta uzi, hajakosea wengi wa wahitimu hadi wahadhiri ni vilaza.