Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,315
- 8,754
hahaaa waambie kuna rafiki yangu anasoma chuo fulani jina nahifadhi ananiambia ana 4.8 GPA mm huku 3.5 nmepata kwa mbinde nkamuliza huko vepee akasema huku maksi easy hafu wanakuja wanajilinganisha na UDSM home of VipangaUDSM-The home of interlectures.....nyie vyuo vyenu c mnadahili mpaka Div eleven.