Watanzania Wengi Wana Ugonjwa mmoja, yaani wanapokitaka au labda kuwahi kukitaka na wakakikosa basi kinachofata they Gonna Hate it..Ndivyo ilivyo hata kwa upande wa chuo kikuu cha DSM yaani UDSM unakuta wengi wao ni wale waliokuwa wanakipenda wakakikosa basi wanaamua kukichukiaa..! Jiulizeni je TZ nzima Chuo ni UDSM pekee? Basi kama sio kwanini Muda wenu Mwingi Mnapoteza Kukipondea Ichi Chuo na kwa Historia Wale Toppers Ndo wanakuja Hapa...je How wanakuja kuwa vilaza tena?? as i know hapa UDSM hakuna GPA za kupewa yaani zote unahusle wenyewe hata mimi Nipo Hapa na am very compintent...Kwahiyo Ndugu zanguni Watanzania embu Tusipoteze muda wetu katika chuki na wivu bali tuwekeze Muda wetu katika Hali na namna ya Kuiboresha elimu ya vyuo vyetu vikuu viwe katika hali na mazingira boraa Maana ata nyinyi mkidic na kuchukia udsm we are still the Best
Nawasilisha kwa Niaba ya UDSM CoEt