GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,149
Wewe mwalimu unaleta kichefu kichefu hapa hilo neno mwalimu nikilisikia nahisi kutapikaWahitimu wa education UDSM na brach zake hawako vizuri. Sijui kwa nini?
Wewe mwalimu unaleta kichefu kichefu hapa hilo neno mwalimu nikilisikia nahisi kutapikaWahitimu wa education UDSM na brach zake hawako vizuri. Sijui kwa nini?
Habari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Mkuu.....nipo Medicine Class....watu huki ni Bashite...Kiingereza kwao ni kama usiki na mchana....sijui mitijani wannandika nn...ila surprisingly they passYeye kaongelea wahitimu wengi na walimu wao kwa sehemu kubwa. Sasa wewe una-support walimu na wahitimu au walimu tu. Halafu kama na wewe ni mwalimu huoni kuwa kama waweza kuwa kwenye kundi la wale walimu bomu kwa mujibu wa utafiti wa mleta mada? Halafu kama wahitimu wengi ni bomu, je huoni kama wewe kwa kiasi fulani una mchango hapo?
Huna loloteMkuu mimi kidogo nimesoma nje..nipo UDSM...hakika ulivosema ni 98% right..though kuna wengine 2% wapo vizuri
Walewale wa vyuo vya kata, floor ya gorofa ya 10 utawajua tuHabari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
UDSM chuo kinasumbua bongo huko elimu rasmi imekuja na meli. Nchi za watu hata chuo cha wilaya haijakifikia.
Chuo Kikuu kinashindwa hata kuendesha website ya kueleweka?
Kwa uzi kama huu, ni lazima wasikujibu. Maana inaonesha hata akili zako ni ndogo na ulichowaandikia ni upuuzi. Kama watu wa vyuo vingine ndio akili zenu ndogo kiasi hichi tuache UDSM kizidi kusifiwa.Kuna watu wamesoma vyuo vya kuheshimika vyenye miaka zaidi ya 200 na huwasikii wakipiga kelele.
Halafu si ajabu hao wanaojidai kuhusu kusoma UDSM ni wale walokuja Dar kwa sababu walipata udahili chuoni hapo.
Hii ni aibu kubwa sana.
Jaribu kwa mfano kuwasiliana nao kupitia anwani zao za barua pepe walizoziweka kwenye tovuti yao uone kama watakujibu...
Hovyo kabisa yaani!
Nyani NgabuKwa uzi kama huu, ni lazima wasikujibu. Maana inaonesha hata akili zako ni ndogo na ulichowaandikia ni upuuzi. Kama watu wa vyuo vingine ndio akili zenu ndogo kiasi hichi tuache UDSM kizidi kusifiwa.
We jamaa hewa kweli, usomi unapimwa kwa kujua lugha???? Dah lugha hata diamond anaijuaMkuu.....nipo Medicine Class....watu huki ni Bashite...Kiingereza kwao ni kama usiki na mchana....sijui mitijani wannandika nn...ila surprisingly they pass
Pole sana kilaza weweHabari wakuu,
Nimekuwa nikifuatilia kwa muda mrefu wanafunzi walio hitimu UDSM hasa hasa miaka ya 2000 na kuendelea katika utendaji wao na majivuno yao mtaani na mitandaoni hasa hasa humu JF,
Nilichogundua ni kwamba wengi wao ni bomu (vilaza), kinachowabeba ni jina tu.
They are INCOMPETENT , hata walimu wao nao ni bomu.
Karibuni tupigane kwa hoja, nina mawe kibao nitayatoa.
Mkuu kwani alofeli form six anaenda chuo?Pole sana kilaza wewe
UDSM ni state university, kuwa na adabu
ulifeli form six ukakimbizwa vyuo vya kata
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] u made my day mkuu si kwa kucheka mpaka kademu kangu kanashangaa ngoja nikagegede nikalale.Kuna kajamaa kamesoma Udsm kana mkwala Hatari ika kichwani keupe kama unga Wa sembe
Tuliofaulu na wanaofaulu nchi hii lazima wapite UDSMMkuu kwani alofeli form six anaenda chuo?
udsm kinacho wabeba ukongwe tuIla kusema kweli pale nilipopangiwa kwenda kwa museven kile chuo alichosomea Raisi wetu wa awamu 3, katika ile program ya kubadilishana wanafunzi niliiona doh nimekosa vinono hapo udsm, ila doh sasa najiskia poa sana, maana ukiacha kimalkia kupanda vizuri, hata bila kulewa kiasi niko na material pia, hivi hawa udsm c walikuwa wakishiriki ila mambo ya airtel University Challenge, hivi walikuwa vip, kwanza walikuwa wanatuaibisha sana kwa kweli, ni vile basi tuu.
Wonders shall never cease, and you are among of those wondersTuliofaulu na wanaofaulu nchi hii lazima wapite UDSM
Nilijua utasema mliofaulu na wanaofaulu ndo mnaenda mbinguni [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Tuliofaulu na wanaofaulu nchi hii lazima wapite UDSM