Sarafina - Mtunzi Nyemo Chilongani

Sarafina - Mtunzi Nyemo Chilongani

SEHEMU YA 149...

“Malaika! Mungu aliyaandaa maisha haya tangu ulipokuwa katika tumbo la mama yako. Alikuwekea kitu kimoja, ili uweze kuyafikia ilitakiwa kuamini. Namkumbuka mchungaji aliposema kwamba kama kweli unataka kufanikiwa ni lazima Mungu akupitishe katika tanuru la moto, kwenye hilo tanuru la moto kuna wengine watakata tamaa, wengine watapambana, na watu watakaovuka basi ndiyo watakutana na mafanikio ambayo Mungu aliwaahidi tangu wakiwa tumboni kwa mama zao,” alisema Richard huku akimwangalia Malaika.

“Nilizaliwa kuamini, nimekuwa nikiamini kwa kipindi chote cha maisha yangu. Nilijua kwamba kuna siku haya yaliyotokea yangetokea na hakika Mungu amefanya,” alisema Malaika na kumkumbatia Ibrahim ambapo ilipofika Jumamosi ya tarehe 03/07/2017 wawili hao wakafunga ndoa katika Kanisa la Living God lililokuwa jijini Dar es Salaam.

MWISHO
The End [emoji28]
 
Hizo sehemu za mwisho mwisho mateso aliyopitia malaika zimenitoa machozi mwanaume mtu mzima mimi, hizo part utadhani kama zilikuwa ni za ukweli vile.
Thanks Shunie
Cc. Shunie
 
Hizo sehemu za mwisho mwisho mateso aliyopitia malaika zimenitoa machozi mwanaume mtu mzima mimi, hizo part utadhani kama zilikuwa ni za ukweli vile.
Thanks Shunie
Cc. Shunie
Asante sana mkuu na pole kwa sehemu zilizokugusa mpaka kutoa machozi
 
Aisee nimeuona huu uzi nikaja mbio kuja kumkosoa mtoa mada...kuwa mtunzi wa sarafina ( the movie) ni Mboni Ngema kumbe hii ni nyingine hahaaaaa
 
Safi sana...

Inahuzunisha, kusikitisha na kuelimisha...

Never give up on your faith...


Cc: mahondaw
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom