Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
- Thread starter
- #221
Simulizi: Namtaka mpenzi wangu arudiNdiyo mkwe nishamalia, ngoja niicheki
Simulizi: Namtaka mpenzi wangu arudiNdiyo mkwe nishamalia, ngoja niicheki
Inasikitisha sana lakini endelea tu mpaka mwisho halaf na hii umeshaisoma Penzi bila maumivuDuuh, Shunie.! This is very sad story, natamani kutoendelea kuisoma. It pains a lot.!! Kwa nn David akamfanyia hv binti ya watu, tena aliyemtoa usichana wake. Poor Sarafina.!!
Kama hupendi ulipaswa kupita kushoto, hata kuComment tu hukustahili, tuliza mshono na uache wenge. Usichokipenda ni burudani kwa wengine.Uyo nyemo chilongani hizo hadithi za abunuasi zilimfanya akafeligi form 4 haha alitaga afu alikuaga mnoko huyo yani kiherehere ila kwenye judgment day akaishia kutaga nadhani alipata 4 ile ya zero....
Saivi nani ana muda wa kusoma hadithi za abunuasi
Nimeongea fact.....kile kiheherehere chote na unoko unoko umbea na kujifanya mjuaji ukiwa shuleni mwishowe akaishia kutaga form 4 ndo kimekufikisha hapo muone unavohangaika kutafuta wateja wa kusoma hadithi zako za abunuasi...Kama hupendi ulipaswa kupita kushoto, hata kuComment tu hukustahili, tuliza mshono na uache wenge. Usichokipenda ni burudani kwa wengine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mkuu mbona uneReply as if mm ndiye Nyemo?, daaaahh kwa upande mmoja nakubali unaweza kuwa sawa wala sitabisha coz hata simjui nyemo wala sijawah kumuona nazionaga stori zake tu, and it's true stori zake nyingi karibu zote ni za fantasies tu sionagi reality yoyote but at kiutungaji ziko sawa kiasi, nahisi sio wote wanaopenda theme ya fantasies ktk stories. Anyway be a gentleman nenda kamwambie tu nyemo hayo yote personally kuliko kuja huku publicly tena kulipojaa fake IDs ujumbe hautomfikia vizuri. Pia hongera kwa kukaza buti now una good life but who knows abt the future?, just be humble usije ukajibeza kama alivyokuwa anafanya nyemo enzi akiwa shule na ni ww mwenyewe uliyeWitness that, usiwe kama alivyokuwa nyemo na majigambo.Nimeongea fact.....kile kiheherehere chote na unoko unoko umbea na kujifanya mjuaji ukiwa shuleni mwishowe akaishia kutaga form 4 ndo kimekufikisha hapo muone unavohangaika kutafuta wateja wa kusoma hadithi zako za abunuasi...
mamayo life is a roller coaster...
Wenzio tuna carrier za maana sasa hivi ulizani ukituletea unoko hatutatusua ????
Ungetuliza mshono kipindi kile ungekuta saivi una carrier ya maana na sio kuja kuhangaika na vihadithi uchwara!