Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,073
Sasa kama humjui mbona ulikua unasema nitulize mshono mana yeye ndo alikua na mshono utasema katokea leba theathre ???[emoji23] [emoji23] [emoji23] ila mkuu mbona uneReply as if mm ndiye Nyemo?, daaaahh kwa upande mmoja nakubali unaweza kuwa sawa wala sitabisha coz hata simjui nyemo wala sijawah kumuona nazionaga stori zake tu, and it's true stori zake nyingi karibu zote ni za fantasies tu sionagi reality yoyote but at kiutungaji ziko sawa kiasi, nahisi sio wote wanaopenda theme ya fantasies ktk stories. Anyway be a gentleman nenda kamwambie tu nyemo hayo yote personally kuliko kuja huku publicly tena kulipojaa fake IDs ujumbe hautomfikia vizuri. Pia hongera kwa kukaza buti now una good life but who knows abt the future?, just be humble usije ukajibeza kama alivyokuwa anafanya nyemo enzi akiwa shule na ni ww mwenyewe uliyeWitness that, usiwe kama alivyokuwa nyemo na majigambo.
Cc. Stanley mitchell
Then Siwezi kumfata personally mana unoko na umbea alikua anaufanyaga publicly akajua labda milele ataendelea kua KIRANJA yeye na mwenzake yule eric MBUTA wakaishia kutaga...
Im very humbe tena sana tu siwezi kubeza maisha ya mtu nisiyemjua sema huyo mimi sibezi maisha yake nilikua namkumbusha tu life is a roller coaster...sasa hivi anahaingaika kuna siku nilimuona Bamaga nadhani alikua ametoka kwa Shigongo kumpelekea hadithi jamaa alikua kapauka huyoo afu kakondaa kabaki kichwa fuvu na alivo mfupi sasa utasema ana marasmus ama utapia mlo nikasema Dah!
Alidhani shigongo atamlipa mamilioni kwa hadithi kumbe shigongonnaye ana hasira zake za kutapeliwa na CCM...
Aisee haya maisha haya tungekua tunaishi milele sijui ingekuaje....