Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,723
mtani mbona picha sizielewi galafu zinatishaShukrani sana Krait nafarijika mno kuona nimekuwa msaada kwako
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
sitaki mtani... haafu mtani unajua nilimpoteza my young brother mwisho wa mwezi wa pili ila sijui ni nini yani huwa najikuta namtumia whats app sms, nampigia wakati mwingine japo simu yake tumezima siamini kabisa kama hayupo,.. hivi kuna namna naweza kuongea nae nimuulize baadhi ya maswali halafu niwe na amani ?Usizitazame saa hii zitakutisha zitazame usiku ukiwa pekeyako chumbani mtani
Mmh tarejea mtanisitaki mtani... haafu mtani unajua nilimpoteza my young brother mwisho wa mwezi wa pili ila sijui ni nini yani huwa najikuta namtumia whats app sms, nampigia wakati mwingine japo simu yake tumezima siamini kabisa kama hayupo,.. hivi kuna namna naweza kuongea nae nimuulize baadhi ya maswali halafu niwe na amani ?
asante mtani
Being into another state Ya umauti ni tofauti na ujinga reincarnation.
Kama Kiarabu ambacho lugha yako ya taifa Kiswahili ina maneno kibao yaliyotokana nacho unakiita lugha ya kigeni, hicho Kingereza kitakuwaje?
Tumia kichwa chako kufikiri japo kiduchu ewe punguani.

Hata hujaeleweka maana umeleta na lugha zako za kisyria kule kwa wajomba zako Wa Isis
Kama kifo ni qif na death ni nini??![]()
Faiza foxy ukishaanza kuleta mambo yako a darsa ndipo unapokosea
Umauti ni haki na kifo sio haki??
Punguza ubashite
Neno kifo kifo linatokana na Kiarabu "qif" kwa urahisi "stop".Faiza embu tueleze tofauti kati ya kifo na mauti , ?
Ila usilete mambo yako ya darsa kwa kuwa wengine hatuamini mambo ya darsa hayo yanakuhusu wewe na wenzio msio kula vinono I mean yule mdudu mtamu mtamu nguruwe![]()
![]()
![]()
hii uliyosema utarejea .. hapa
OK kulikuwa na inbound chords Kati yako na yeye brotherly n sisterly bonds kwenye ulimwengu wa rohohii uliyosema utarejea .. hapa
okey mtani na nikitaka aje niongee nae nimuulize kilichotokea mpaka akafa.. sababu kifo chake kina utata mwingiOK kulikuwa na inbound chords Kati yako na yeye brotherly n sisterly bonds kwenye ulimwengu wa roho
Ni chords hizi zimegoma kukubaliana na uhalisia wa kilichotokea ndio maana unajikuta kila wakati unajisahau na kufanya naye mawasiliano....ni hali ambayo itapotea taratibu
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
asante mtani ila naumia sana kumpoteza at list ningeadisiwa kilimkuta nini? asante mtaniMmh hapana mwache atakuja mwenyewe muda utakapofika na atakapoamua kufanya hivyo
Hapana usiumie bali kila ulalapo mwombe kwa upole akwambie kilichotokea kuna siku atafungukaasante mtani ila naumia sana kumpoteza at list ningeadisiwa kilimkuta nini? asante mtani