miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
sawa mtani . asanteHapana usiumie bali kila ulalapo mwombe kwa upole akwambie kilichotokea kuna siku atafunguka
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
sawa mtani . asanteHapana usiumie bali kila ulalapo mwombe kwa upole akwambie kilichotokea kuna siku atafunguka
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
AminaNakuombea hili liweze kupita
Mshana jr.! Sikuweza ona huu uzi mkuu hakika kumbe hata mimi nakuwa sahihi mara ingine aisee.! Ni kweli kabisa sisi binadamu uelewa wa undani wa kile ambacho tunakisema huwa hatukitilii maanani hata kidogo kuna tafsiri hii tumezoea kuisema pale ambapo wenzetu hututoka utasikia `SISI TULIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI` binafsi huwa nawaza kama MUNGU kampenda zaidi ya nini sisi kumlilia ilihali twajua anenda kwa Muumba?!.
Lakini pia hatujikiti hasa kujua kama ni kweli wote wanapendwa! na hapa ndipo narejea kwenye somo lako la mtihani wa kifo ni sahihi kabisa hata sisi baada ya mitihani ya darasani kila mmoja anakuwa na tumaini kuwa amefaulu lakini majibu ndiyo huwa yanaweka nani kafaulu ma nani lafeli. binafsi naamini pia majibu ya mtihani yangu ya kifo ntayapata mbele ya safari yangu ambayo yatakuwa siri yangu ama wazi kama nikiamua kuyaonesha. Sawa sawa na vile ambavyo tunasoma darasa moja lakini majibu ya mtihani inakuwa siri ya kila mmoja labda aamue kuyaweka wazi.
Mungu nijaalie mtihani mwema wa kifo Amina.

Yatafute maarifa kuna mengi bado hujafunuliwa ndugu!kuna ulimwengu wa roho huu haufi na hautakaa ufe kwakuwa roho ni energyTunajihangaisha bure, kifupi ni kwamba hakuna kiendeleacho baada ya kifo, ni utupu, hakuna maisha tena. Ni mabaki ya kuoza na kupotea na kufutika kabisa. Ni sawa na kuliwa na mnyama ukasagika kabisa usiwepo popote pale, si kiroho, si kimwili. Imani zote hizi za kuwepo aina ya maisha baada ya kifo ni kujifariji tu na ubatili mtupu.
Maneno huumba maneno hutengeneza roho, mtu akishakufa kinachobaki hai ni roho yenye nguvu mno.... Kwakuwa sasa haiko ndani ya mwili uozao kwa hiyo chochote kilichonenwa na marehemu huwa na effects kubwa sanaMkuu mshana, naomba kukuuliza swali!
Unakuta mtu ni mgonjwa hasa na vile aonavyo ni kuwa muda si mrefu atafariki.
Sasa huyu mgonjwa anatoa wosia kwamba, nikifa, fulani asije kunizika!
Mgonjwa anafariki, na Fulani analazimisha kwenda kumzika marehemu. Lakini cha kustaajabisha, fulani atapata matatizo/dhoruba ktk safari yake ili asifike kuzika.
Nini hasa hufanya maneno ya marehemu yawe hai kivitendo ilhali aliyeyasema alishafariki?
LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
Hapa Kuna Somo Sana mkuu mshana jr Kuna ficho kubwa Sana katika Daraja Hilo haiwezekani mwingine aishi vizuri mpka kifo na mwingine Raha mpka kifo.uhayawani wa kiumbe kiitwacho mwanadamu, mnyama hawezi kufanya haya...nini basi maana halisi ya maisha? Sanaa ya kifo ina mengi ya kutafakari...!kwanini kwenye maisha kuwe na vitu vya kuumiza kiasi hiki ? kwanini mmoja aishi maisha ya raha kuanzia kuzaliwa mpaka kifo wakati mwingine akiishi maisha ya mateso kuanzia kuzaliwa mpaka kifo? ??![]()
Sawa Mkuu, mekupata!Maneno huumba maneno hutengeneza roho, mtu akishakufa kinachobaki hai ni roho yenye nguvu mno.... Kwakuwa sasa haiko ndani ya mwili uozao kwa hiyo chochote kilichonenwa na marehemu huwa na effects kubwa sana
Post sent using JamiiForums mobile app