Sanaa ya kifo

Sanaa ya kifo

0-loQyZzGCXPIaDg0c.jpg
 
Kuna hatua ya pili amboyo pia ni nadra na bahati kwani huwapitia wachache pia.....

Hii ni hatua/njia kutokea kwa mtu ALIYEZIMIA.....

Wapo watu wa aina mbili:-
1: Ni yule mtu ambaye matendo yake...kiroho na kimwili anamtegemea MUUMBA katika kuyakamilisha/kuikamilisha siku na masaa yake 24...(pasipo shuruti)

2: Ni yule ambaye katika kuikamilisha siku ni lazima kwake kuvunja sheria (ya Mungu) na ama kufanya JINAI kwa lengo nae aweze kuikamilisha siku ya masaa 24...

Kwa namna moja (YA KUZIMIA) watu hawa wawili amini usiamini watakuwa na MAONO/MTAZAMO tofauti juu ya tukio...kwa yale watakayo yaona (kuzimia kwa mtu, bado akuzuii taarifa za kiroho na kuzimu kuweza kusafiri katika BONGO ama MACHO ya kiumbe chochote..)

Hivyo kuna Mtihani MKUBWA kukipitia KIFO.....Pia kuna MTIHANI wa majaribio kupitia KUZIMIA (kupoteza fahamu)

Omba kwa Mungu kwanza upitie MAJARIBU kabla mtihani kamili..

Maana unaweza ukaona VIASHIRI (dalili) unaelekea kundi lipi ....LA PEPO ama KUZIMU...
 
Mkuu mshanajr,au hii hali ya kua binadamu kua ndo kiumbe anaeitawala dunia ndo chanzo cha uovu wote huu?.au ni kutojua uhakika wa maisha yajayo baada ya ha haya tulionayo kwa sasa?.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
yaani mshana wewe unaongelea kifo kama vile unaongelea kwenda kwenye mechi ya yanga na simba?

biblia inasema hivi kwa siku nyingi nitakushibisha na pia inasema dhambi huleta mauti kwa hiyo kifo huletwa na dhambi.
kikristo watu hawafi ila hulala pamoja na baba zao.
BTW kwani kutuwekea picgha za mahoro?
 
yaani mshana wewe unaongelea kifo kama vile unaongelea kwenda kwenye mechi ya yanga na simba?

biblia inasema hivi kwa siku nyingi nitakushibisha na pia inasema dhambi huleta mauti kwa hiyo kifo huletwa na dhambi.
kikristo watu hawafi ila hulala pamoja na baba zao.
BTW kwani kutuwekea picgha za mahoro?
Mahoro
 
Mkuu mshanajr,au hii hali ya kua binadamu kua ndo kiumbe anaeitawala dunia ndo chanzo cha uovu wote huu?.au ni kutojua uhakika wa maisha yajayo baada ya ha haya tulionayo kwa sasa?.

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
Kiiimani mambo yote yalianzia pale Eden ishu ile ya tunda la kati
 
mshana jr ahsante kwa kunipunguzia maumivu, maana mwezi wa kwanza mwanzoni nilifiwa na Bibi yangu mzaa Mama nilikuwa nampenda kupita kiasi yaani yeye ndo alikuwa kama Baba na Mama, hii ilitokana na wazazi wangu kufariki nikiwa kwenye umri mdogo

huyu Bibi yangu alikuwa akitunzwa na Dada mpaka mauti yalipomfika, kwa kweli tulihuzunika sana ilifikia kipindi mi nilikuwa sipendi kumtembelea sister, maana nilishazoea nikienda huwa naanza kupiga stori na bibi kwanza pia alikuwa akinipa ushauri mkubwa sana na akiona kuna jambo nachelewa kulitekeleza hakuchoka kunisihi maana mimi ndo mjukuu wake wa kiume
niliye karibu nae,

pia nilikuwa na utaratibu wa kumpelekea Zawadi kila mwezi, sasa baada ya yeye kufariki ikifika zile siku ambazo huwa namtembelea( maana nilikuwa napenda kwenda siku ya jumapili ) najisikia vibaya kiasi kwamba pindi nikifika tu nikiingia ndani namwambia Dada,

"huku ntakuwa siji,maana nilitegemea kumkuta Bibi kakaa hapa",

Dada ananijibu, "mwenyewe nataka kuhama hapa maana kuna kipindi huwa namkumbuka sana"
Pia kuna mtoto wake wa kiume sasa akisikia mama yake anaenda Hospital tu anamwambia," ukirudi njoo na Bibi". Maana huyu nae alikuwa ni rafiki mkubwa wa bibi kiasi kwamba mpaka anaumwa alikuwa akimlalia bibi

ULIPONISAIDIA SASA;
1. Nikimkumbuka bibi yangu/kusikia taarifa ya msiba/nikiona maiti/nikiona majeneza sishituki yaani naona kitu cha kawaida sana kiasi kwamba najikuta nataka kutabasamu, yaani siogopi/sihuzuniki wala nini

2. Tabia ya kwenda kwa Dada imekuwa ya kawaida sa hv zawadi niliyokuwa nampelekea Bibi nampa yeye na watoto

3. Hili ni kubwa zaidi nalifanyia utafiti linahusu Recaination(sijui kama nmepatia hzo tarakimu), ntalithibitisha baada ya muda mrefu kidogo.


USHAURI;

Naomba usichoke kutupa hii elimu maana umenisaidia sana kiasi kwamba nashindwa kueleza, yaani sa hv sina tabia ya kubabaika babaika nikiona au kusikia msiba najisemea kimoyo moyo,"kafaulu mtihani huyo" kisha maisha yanaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom