Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 53,052
- 132,002
Unaposema na kwa ios ni iphone kwani kuna brand gani tofauti na iPhone kwenye OS ya iOS?Natumia samsung kali tu ni flagship nzuri,samsung haina maajabu bwana mi naoona ni kama watu wanaipa sifa ambazo hazina maana.
Simu kwa android ni pixel na kwa ios ni iphone kuanzia 13 kwenda juu.