Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

Mimi simu siweki cover wala protector, protector naona kama sifaidi smoothness ya simu na cover naona kama simu inakuwa kubwa bila sababu za msingi.
Hii kitu ilianzia umatumbini , ulaya na America protector , zipo ioa kwa washamba
 
Ukiniwekea Samsung na Pixel, nitachukua pixel ,kama zote zikiwa latest. Sijali bei wala wanavyosema pixel ni niche smartphone.
Pixel design yake tu hata ukiishika unahisi umeshika simu..
Ni kweli mkuu, hasa pixel 6 pro, napenda sana kule nyuma ilivyo na kile kioo aisee ila software yake ipo simple sana ukicompare na Samsung.
 
Flagship ya Samsung ni Ultra's. Pia mkuu ukiachana na iphone 17, mbona flagship za iphone kuanzia ile 11 pro hadi 16 pro max zinafanana kwa nyuma, ni notch tu pekee ndo zilibadilishwa mkuu ila kwa nyuma macho matatu kule nyuma ni almost ziko sawa.
Mkuu Galaxy S lineup yote ni flagship family, iwe S24, S24+, S24 ultra... unaweza kuwa sawa ukisema ultra ni top flagship, lakini si kweli kwamba S series ambazo si ultra kwamba si flagship, ultra ni king flagship...

S series yote ni flagship line ,ultra ndiyo mkubwa wa line hiyo....

Kuhusu iphone zote hizo ni flagship, iwe 11, iwe 12.. tofauti na samsung A series ambayo ni midrange inafanana designing na flagship.(S series).. hapa Samsung walizingua sana... iPhone hawana midrange wao simu zao zote ni flagships..
 
Shida simu zinateleza.. ki cover flani cha kiume hakiepukiki
Ha ha ha mimi macover ndo hapana kabisaa, walau sticker, pia protector pia naweza nikaweka ila cover kama cover mimi hapana.
 
Mkuu Galaxy S lineup yote ni flagship family, iwe S24, S24+, S24 ultra... unaweza kuwa sawa ukisema ultra ni top flagship, lakini si kweli kwamba S series ambazo si ultra kwamba si flagship, ultra ni king flagship...

S series yote ni flagship line ,ultra ndiyo mkubwa wa line hiyo....

Kuhusu iphone zote hizo ni flagship, iwe 11, iwe 12.. tofauti na samsung A series ambayo ni midrange inafanana designing na flagship.(S series).. hapa Samsung walizingua sana... iPhone hawana midrange wao simu zao zote ni flagships..
A series kitengo hiki Samsung walitoa ubia kwa kampuni nyingine kutengeneza series hizi, kwenye design kimefeli aisee.
 
Afu me naona wanavunja simu sbb ile protector ni kioo chepesi kuvunjika. Me cm uwa inaangukia uso hadi sometimes nashtuka kabla sijaiokota lkn unaiokota fresh tu haipati hata mchubuko
Yani maulevini simu yangu kuvunjika haipiti siku saba , na siweki protecta , ila nikilewa nanunua simu kali zaidi yake
 
Me naonaga ukiweka protector simu linazidi uzito afu kama linakuwa baya… afu Cover naweka tu sbb simu inateleza, ilaaa ningeweza kuhimili ule mtelezo cm ingebaki zake uchi..

Tumia skin haitateleza achana na macover. Simu inabidi iwe naked.

Screenshot 2026-04-28 115002.png
Screenshot 2026-04-28 115019.png
Screenshot 2026-04-28 115030.png
Screenshot 2026-04-28 115044.png
 
Back
Top Bottom