Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 178,671
- 196,374
Ya kwako usije ukaipasua kioo hahaha..."Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa"
Mwisho wa kunukuu
Ya kwako usije ukaipasua kioo hahaha..."Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa"
Mwisho wa kunukuu
Nikiipasua bosi kubwa upoooo lo🕺Ya kwako usije ukaipasua kioo hahaha...
My opinion,mkuu haha 😄Mhhh mkuu, Samsung ikose maajabu google pixel iwe na maajabu?
Japo sijui simu ila hii chai mwanetu.
Me too broUkiniwekea Samsung na Pixel, nitachukua pixel ,kama zote zikiwa latest. Sijali bei wala wanavyosema pixel ni niche smartphone.
Pixel design yake tu hata ukiishika unahisi umeshika simu..
Bwashee bora umetokea
Hakika, ondoa shaka...Nikiipasua bosi kubwa upoooo lo🕺
Sio mbaya kwa kuwa utaendelea kuwa mteja wa sumsungNazivunja kwenye pombe dakika sifuri
leta uzi wake sasa tufanye uchambuz!Hivi unaijua tecno vizuri wewe? Hii ndio simu sasa.
Mpaka inakeraKweli kabisa. Kwa ndani ina features nzuri sana ila kwa nje imejaa kama tablet
Ujinga wa hii Misimu ya Tecno na Ndugu zake Specs zilizoandikwa sio halisi.Wazee wa brands bana😀
Tuko era ya kununua bidhaa kwa kuangalia quality za specs na siyo brand.
Mfano simu yenye specs za hali ya juu kwa sasa duniani ni Oppo Find X9 Ultra.
Hiyo ndiyo Peak Smartphone kwa sasa duniani.
Ukiweka mezani haikai, ina bend kama inataka kudondoka kwa sababu ya hizo lens kubwa kwa nyuma😅Mpaka inakera
Nitaifatilia hii.. me napenda ule wembamba wa cm 🥰
Huo ni mtego wa kibiashara ambao wengi wanaingia mkenge.
Samsung wameamua kugeuza kioo cha simu kuwa ndo kitega uchumi chao.
Ni masuala ya kawaida sana upande wa biashara
Unaweza kunipa sababu mbili za msingi nje ya kuwa ni kizuri, niambie mantiki ya kioo cha Samsung kuwa ghali ni nini hasa?Siyo kitega uchumi mkuu Samsung kioo ni kizuri hakuna mfano iPhone mwenyewe haoni ndani
Bwashee kupiia huu uzi wa simu ,
nimegundua huwa napoteza mda wangu kubishana na digidigi waliopoa chini ya doka 300 kwa siku