Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

iPhone kiukweli kabisa zamani nilikuwa nadhani ni habari za uongo, zimegaribu wadada vibaya mno
Kijana wakiume unapata wapi nguvu ya kuitetea iphone je huoni kama unaweka malinda yako lehani? (kuna uhusiano mkubwa wa watu waliopoteza malinda na kupenda,kusifia au kua na iphone}
 
Hicho kioo cha bei licha bei kuwa kubwa ujue tu ukikiweka baada ya muda sio mrefu kitaanza kukudumbua.

Hapo ndio utajua mwanzo wa mwisho wa matumizi ya simu za Samsung ni pale kioo cha mwanzo kinapopasuka.
Umenena mkuu,Samsung ukishaibadilishia kioo tu ubora kwenye display kwishney!
 
Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini.

Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa uliyonunulia simu,

Kwa hiyo kama unamiliki simu aina ya samsung jipige kifuani sema mimi ni shujaa,

Wale wa infinix na Tecno mtupishe kidogo hamuwezi kuelewa kinachoendelea humu.

Ukibisha uwe na hoja

Nb uzi tayari
Kumbe? Ndiyo maana huwa mnazishika kwa nguvu na umakini kama mnavusha wanafunzi barabara.
 
Ziko 2 hapa,na zote zimepasukapasuka vioo pesa ya kuzitibu ni zaidi ya kununua ingine.
Inakuja tar 4 tu hapo.
 
Back
Top Bottom