Samsung siyo simu ya kawaida, Msiichukulie poa

Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini.

Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa uliyonunulia simu,

Kwa hiyo kama unamiliki simu aina ya samsung jipige kifuani sema mimi ni shujaa,

Wale wa infinix na Tecno mtupishe kidogo hamuwezi kuelewa kinachoendelea humu.

Ukibisha uwe na hoja

Nb uzi tayari
alaf wale walikuwa wanacoment then,,,,,,,,,
Sent from my Tecno F1/ pop2
Sijui iliishiaga wapi !
 
Hicho kioo cha bei licha bei kuwa kubwa ujue tu ukikiweka baada ya muda sio mrefu kitaanza kukudumbua.

Hapo ndio utajua mwanzo wa mwisho wa matumizi ya simu za Samsung ni pale kioo cha mwanzo kinapopasuka.
 
Yani maulevini simu yangu kuvunjika haipiti siku saba , na siweki protecta , ila nikilewa nanunua simu kali zaidi yake
😂 mnaziangusha juu ya mawe au?

Sijapasua simu nina miakaa.. ya mwisho iliyopasuka ni haikuwa na cover ikaniteleza ikapasuka vibaya sana.. ndio sababu cover bado naweka weka ila protector kuna mtu hapo juu kasema ni za mafundi😂😂
 
Uhakika umatumbini tuna konsida sana protector kwenye simu
 
Kama unadhani simu aina ya Samsung ni simu ya kawaida subiri kioo kipasuke ndo utanielewa namaanisha nini.

Kioo kikipasuka na ukataka kuweka kingine, bei inaweza kuwa nusu ya au zaidi pesa uliyonunulia simu,

Kwa hiyo kama unamiliki simu aina ya samsung jipige kifuani sema mimi ni shujaa,

Wale wa infinix na Tecno mtupishe kidogo hamuwezi kuelewa kinachoendelea humu.

Ukibisha uwe na hoja

Nb uzi tayari
Hivi unaijua tecno vizuri wewe? Hii ndio simu sasa.
 
Back
Top Bottom