Mimi naweka ushahidi wangu hapa
Mwaka jana zilianza tetesi samsung ana outsource production ya simu zake za low end na midrange kwa Wintech kampuni inayotengeneza simu za xiaomi
Samsung reportedly in talks with Xiaomi's Wintech to manufacture Galaxy phones for China - Gizmochina
Tetesi zikawa kweli na A6 ikawa simu ya kwanza
Baada ya hapo simu nne zaidi wakapewa na tetesi za kuongezewa simu mbili zikawepoThe Galaxy A6s is the first Samsung phone not made by Samsung
It’s manufactured by Chinese company Wintech, which also produces Xiaomi phones.www.theverge.com
Samsung’s ODM strategy boon for China’s Wingtech
Na wewe pinga na ushahidi wako.
mie ninataka kununua S7 edge lakini naona version yake ya android ni ya mudaHizi simu ziko vizuri sana..mapungufu hayakosekani kwa kila product. Hakuna simu inayojitosheleza.hata hizo s10+ ama iPhone x.bado zina mapungufu sana..back to the point hizi simu series ya A..huwezi kujilaumu..mi nilichukua A 20.ubora wake na wepesi wake sijutii..kuhusu uimara hilo mtu asikudanganye mara gorilla glass..hapa ni utunzaji tu wa mtu..nunua simu weka glass protector..then cover case..sio unanua simu unaitumia ilivyo naked ..unategemea nini ikidondoka..hilo limenitokea kwa s7edge..upuuzi wa gorilla glass..kumbe mbwembwe tu..hii A20 ipo faster kwangu kuliko s7 edge niliyokuwa natumia.
Kama ni hivyo basi haifaiHaiwezi kukubali maana simu haina uwezo huo mkuu. No built in miracast ability.
AngaliaView attachment 1129134
M30 features zake nzuri ni.
-battery kubwa la 5000mah, nimeona video moja youtube inacheza pubg masaa 7 mfululizo,
-kioo kizuri super amoled Full HD
-processor yenye nguvu na ram/storage ya kutosha.
Ila pia vitu hivi vinazingua
-gpu isiyo na nguvu sana inaiangusha processor nzuri
-camera sio nzuri kivile compare na competition.
Ni simu nzuri kama unataka simu ya mishe mishe ya kutumia kila siku, ila kama kucheza games ni priority angalia A50 ama xiaomi redmi note 7.
kiasi chake ipo vizuri kwenye games ila haifikii note pro series kama redmi note 8/7 pro.Chief mkwawa vipi Mi A3 kwa upande Wa games iko poa??
kiasi chake ipo vizuri kwenye games ila haifikii note pro series kama redmi note 8/7 pro.
note 8 isio na pro haina utofauti sana na mi A3,Na vipi ukiicompare na redmi note 8 kavu
kwasababu Kioo ndo simubei ya kioo ni sawa na bei ya simu
330k usije ukaibiwa a30 ni 450k A50 550k
Chief-Mkwawa,Simu yangu niki charge inaweza kufika 80% ikasimama baadae ikafika 100 ghafla tu lakini ukiizima uka connect charge tena inarudi 80% ileile ya charge nini tatizo.note 8 isio na pro haina utofauti sana na mi A3,
Huu mzigo naupata kwa shngapi hapa tz naona una kidhi vigezo vyote ninavyo vitakaNiliisahau tu mkuu ila na yenyewe imo na kuna A90 pia.
mbona tatizo halipo hapo.Chief-Mkwawa unachomeka cable charging
Charging 90% (Approximately 1 minutes until full charged) hili tatizo ni nini.
Wakuu habari,
Nimekutana na hizi simu sokoni (Samsung A10, 20, 50, 90), ni toleo jipya la Samsung. Vp kuhusu ubora wake kwa ambao wanazifahamu au ambao tayari wanzitumia.
Nimevutiwa na bei ya A10 iko reasonable sana nataka nivute moja.
Msaada kwa wajuzi wa hii kitu.
Cc: wana jukwaa wote wa technology.
Kuna Samsung m30s hii ikoje kiongozi sababu inaonekana ina specifications nzuri kiasi. Inafaa kununua na bei zake kwa bongo zikojeMkuu jaribu kutumia 3rd party camera yoyote search play store camera.
Pia angalia Kama hujaziba camera na protector
Hii haiuzwi huku kwetu ni ya kuagizishia nje. Ukiikuta huku ni mtu ameitoa nje na bei zake zinakuwa kubwa.Kuna Samsung m30s hii ikoje kiongozi sababu inaonekana ina specifications nzuri kiasi. Inafaa kununua na bei zake kwa bongo zikoje