Huwa Mnapata Raha gani mkipiga watu risasi ,mkiteka,mkifira na kubaka ili mbaki madarakaniHivi mnapata faida gani mkitukana matusi ya nguoni?
Amandla...
Huwa Mnapata Raha gani mkipiga watu risasi ,mkiteka,mkifira na kubaka ili mbaki madarakaniHivi mnapata faida gani mkitukana matusi ya nguoni?
Amandla...
Fundi my friend, unataka kusema kwamba hawawezi kutaka kumuachia halafu wamuwekee masharti?Tatizo lenu ni kuwa hamtaki kukoselewa. Ulisema kuwa wanataka kumuachia lakini wanashindwa kwa sababu Lissu amekataa masharti yao. Wangetaka kumuachia wasingemuwekea masharti. Wangemuachia tu na Lissu asingekuwa na namna ila kutoka lupango.
Amandla...
DuhHuyu anaweweseka,asubiri magumu yanakuja.huyu akifa badala la kufukia kaburi lake kwa udongo nashauri ndugu wa watu 10,000 aliowauwa wakanyee kaburi lake hadi lijae.
Kule Kenya iliwachukua ICC miaka miwili watu kuitwa mahakamani The HagueKwa hiyo wanaweza kukamata yeyote, naona kama hili halitotokea kwetu kwa haya yanayoendelea kwangu ni kama sioni dalili ingawa inaumiza.Acha tuvute subra!
hata chadema hawahitaji hayo maridhianoTunaomba Chadema wasiwepo kwenye maridhiano, kwasababu unapoongea na chadema unaongea na bunge la ulaya mabeberu
Ni siasa tu za kijanjajanja kufunika unyama wa Oktoba 29.Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani yuko ndani. Hayo maridhiano yatafanyika bila kuhusisha chama chake?
Amandla...
Hakuna anayepinga kuwa hii kesi ni ya kisiasa. Hapo ni kuonyeshana mabavu tu.Hii kesi ni ya kisiasa, wameingia kwenye box wenyewe. Hamna kesi pale, ni upumbavu tu ambao hakuna serious legal practioner anaweza kupeleka mahakamani.
Kama haujui Chadema ilifaidika vipi kwa Mbowe kukubali kuanza mchakato wa maridhiano tatizo ni kubwa sana. Photo opp ya Ikulu was a small price to pay ili wakina Lissu waweze kurudi nyumbani na kufanya siasa, mikutano ya hadhara ambayo Lissu aliitumia kikamilifu iruhusiwe, mamia ya wafuasi wa Chadema wafutiwe kesi zao za maghumashi n.k.Wanamuachiaje bila kuathirika politically? Hata kesi ya Mbowe ilikuwa na kipumbavu tu, lakini walitumia kisiasa mpaka kwenye kampeni za 2025. Mbowe alikaribishwa Ikulu, alienda kufanya nini na watu wanaofanya makusudi kutumia sheria kupinda haki? Ndio upumbavu uliotufikisha hapa
Wanaweza kumpa masharti wanayojua hawezi kuyakubali.Fundi my friend, unataka kusema kwamba hawawezi kutaka kumuachia halafu wamuwekee masharti?
Lissu sio Mandela. Umeona watu wangapi ughaibuni wamevaa T Shirt za Free Lissu? Na tusisahau kuwa walimshikilia kwa zaidi ya miaka 20. De Klerk ali ridhia masharti yake kwa sababu alikuwa global icon na lolote lingempata akiwa ndani serikali yake ingeathirika vibaya sana. Na Mandela alikuwa mtu pekee ambae angeweza kuiunganisha nchi yake. Unfortunately Lissu hana hiyo talent. Kushindwa kwake kuunganisha chama chake kumechangia sana kutufikisha hapa tulipo.Kumbukumbu zangu zinasema kwamba hata Mqkaburu wa Afrika Kusini walitaka kumuachia Mandela mapema lakini kwa masharti na yeye akayakataa hayo masharti yao.
Hawana nia ya kumuachia maana ana faida zaidi kwao akiwa ndani kuliko nje. Mandela alikuwa na faida zaidi akiwa nje kuliko ndani.Sasa kwa nini ishindikane kwa hawa makaburu wa CCM kutaka kumwachia Lissu lakini kwa masharti flani flani?
Kama kuna faida iliyopatikana basi ilimuhusu huyo uliyesema ni better strategist na sio chama. Nijuavyo faida ya chama chochote cha siasa ni kuungwa mkono na wingi wa wananchi kadiri iwezekanavyo. Mbowe hakuwa kwa ajili ya Umma period.Hakuna anayepinga kuwa hii kesi ni ya kisiasa. Hapo ni kuonyeshana mabavu tu.
Kama haujui Chadema ilifaidika vipi kwa Mbowe kukubali kuanza mchakato wa maridhiano tatizo ni kubwa sana. Photo opp ya Ikulu was a small price to pay ili wakina Lissu waweze kurudi nyumbani na kufanya siasa, mikutano ya hadhara ambayo Lissu aliitumia kikamilifu iruhusiwe, mamia ya wafuasi wa Chadema wafutiwe kesi zao za maghumashi n.k.
Sasa Chadema inapata faida gani kwa Lissu kuendelea kukaa lupango zaidi ya bragging rights kuwa hanunuliki?
Mbowe has always been a better strategist than Lissu. Ndio maana CCM hawakutaka aendelee kuwa Mwenyekiti. Sasa hivi Rais ni wa kwao, Bunge la kwao, Halmashauri zote za kwao, Chadema imeng'olewa meno na wanafanya lolote with impunity. Chadema hatuwaoni mitaani kama ilivyokuwa wakati wa Mbowe. Ukimuondoa Heche, hamna anayesikika. You have been played.
Amandla...
TUME YA KURIDHIA MAUAJI NA WAUAJI ... SAMIA NA WAHALIFU WENZIE WANA HAAA KUTAFUTA NJIA YA KUTAKASA MAUAJI YA WATANGANYIKA WALIYO YAFANYA KIDINI KWA KUPITIA BAADHI YA WAZANZIBARI NA WAISLAMU NA MACHAWA .... WACHA TU NIMUAMBIE UKWELI ... SAMIA UNAJIDANGANYA SANA . SHIMO ULILO WAINGIZA WENGINE NA WEWE UWEZI KUJIOKOA NALO.Kuridhiana kitu gani?
Haturidhiani na wahalifu na wauaji.Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.
Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."
“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Mnajuwa kuwa Lebanon walipigana vita ya kidini kwa siku nyingi.
Wamekaa mezani wamelata maridhiano na mambo yana songa mbele.
Ruanda vita ya wenywe kwa wenyewe wamelata maridhiano na mambo kwenda mbele.
Israel na Palestine wa meuana sana, wamekaa kutafuta suluhu na maridhiano
Nyakati zilopita watu walipigana vita sana lakini maridhiano ndio iloleta suluhu.
Hata Amerika kulikuwa na vita baina ya North and South, Maridhiano na sasa taifa kubwa.
Hata hadithi zamitume walopita kuna maelewano yalipita na kukapatikana salama.
Sasa kwanini watu wanapinga haya maridhiano yanayo zungumzwa Tanzania.
Tukubali kwa moyo wetu wote na safi tunataka maridhiano basi tutayapata na kusonga mbele.
Bila hivyo tutabaki kupigana tuu.
Bila Mbowe, Lissu angekuwa bado Belgium akipiga picha na wabunge wa Ulaya. Pasingekuwa na mikutano ya hadhara ambayo Lissu aliitumia kikamilifu kujenga hoja zake. Wafuasi wengi wa Chadema wangekuwa wanakabiliwa na kesi za ajabu ajabu mpaka leo. Chadema isingekuwa na uwezo wa kifedha kujijenga nchi nzima na hatimae kufanya Mkutano Mkuu uliomuingiza Lissu madarakani. Katibu Mkuu Mnyika alikiri wazi kuwa ni mchango wa kifedha ndio uliowezesha Mkutano huo kufanyika. Na ulifanyika kwa wazi na haki chini ya Uenyekiti wake. Hayo hamuwezi kubadilisha.Kama kuna faida iliyopatikana basi ilimuhusu huyo uliyesema ni better strategist na sio chama. Nijuavyo faida ya chama chochote cha siasa ni kuungwa mkono na wingi wa wananchi kadiri iwezekanavyo. Mbowe hakuwa kwa ajili ya Umma period.
Kwa akili zako unaamini watu wangempigia kura Mbowe kwa sababu CCM ilikuwa inampigia chapuo? Ati watu wangemuunga mkono Mbowe kwa sababu chawa wa CCM wanamuunga mkono?CCM walijua kuwa wakifanya hivyo, watu watamuona msaliti na watampigia kura Lissu. Na kampeni chafu ya kundi la Lissu iliwaunga mkono. CCM walijua kuwa chini ya uongozi wa Mbowe Chadema ni more formidable nchini. Mbowe alikuwa na resources na watu na fedha. Sasa hivi ukiondoa mitandaoni ( ambayo watu hawana access bila VPN) Chadema iko wapi? Wako wapi wale wanawake waliokuwa tayari kulala lupango kwa ajili ya chama chao? Wengi wao ama wamejitoa baada ya uongozi wa sasa kuwatenga au waliobaki wameamua kujikalia kimya. Hilo Hamlin?Kusema kwamba CCM hawakutaka Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti umetudanganya(rejea sarakasi zilizokuwa zinaendelea kwenye kampeni za uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA,rejea CCM walivyokuwa wanampigia chapuo Mbowe aendelee kuwa mwenyekiti)
Mbowe alikuwa anafanya ujasiriasiasa,ndio maana raia wengi wamemshtukia na yeye ameona ajiongeze kwa kukaa kimya ambayo nayo ni busara hasa ukiona janjajanja yako imeshtukiwa!.Bila Mbowe, Lissu angekuwa bado Belgium akipiga picha na wabunge wa Ulaya. Pasingekuwa na mikutano ya hadhara ambayo Lissu aliitumia kikamilifu kujenga hoja zake. Wafuasi wengi wa Chadema wangekuwa wanakabiliwa na kesi za ajabu ajabu mpaka leo. Chadema isingekuwa na uwezo wa kifedha kujijenga nchi nzima na hatimae kufanya Mkutano Mkuu uliomuingiza Lissu madarakani. Katibu Mkuu Mnyika alikiri wazi kuwa ni mchango wa kifedha ndio uliowezesha Mkutano huo kufanyika. Na ulifanyika kwa wazi na haki chini ya Uenyekiti wake. Hayo hamuwezi kubadilisha.
Hivi unadhani uungwaji mkono wa Chadema umeanza pale tu Lissu aliposhika uenyekiti? Wakati wote wa Magufuli na Samia Chadema ilikuwa imekaa kimya ikimsubiri Lissu aje awakomboe? Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Bila Mbowe, Chadema isingekuwa hapa ilipo. Period.
Kwa akili zako unaamini watu wangempigia kura Mbowe kwa sababu CCM ilikuwa inampigia chapuo? Ati watu wangemuunga mkono Mbowe kwa sababu chawa wa CCM wanamuunga mkono?CCM walijua kuwa wakifanya hivyo, watu watamuona msaliti na watampigia kura Lissu. Na kampeni chafu ya kundi la Lissu iliwaunga mkono. CCM walijua kuwa chini ya uongozi wa Mbowe Chadema ni more formidable nchini. Mbowe alikuwa na resources na watu na fedha. Sasa hivi ukiondoa mitandaoni ( ambayo watu hawana access bila VPN) Chadema iko wapi? Wako wapi wale wanawake waliokuwa tayari kulala lupango kwa ajili ya chama chao? Wengi wao ama wamejitoa baada ya uongozi wa sasa kuwatenga au waliobaki wameamua kujikalia kimya. Hilo Hamlin?
Amandla...
Hakuna anayepinga kuwa hii kesi ni ya kisiasa. Hapo ni kuonyeshana mabavu tu.
Kama haujui Chadema ilifaidika vipi kwa Mbowe kukubali kuanza mchakato wa maridhiano tatizo ni kubwa sana. Photo opp ya Ikulu was a small price to pay ili wakina Lissu waweze kurudi nyumbani na kufanya siasa, mikutano ya hadhara ambayo Lissu aliitumia kikamilifu iruhusiwe, mamia ya wafuasi wa Chadema wafutiwe kesi zao za maghumashi n.k.
Sasa Chadema inapata faida gani kwa Lissu kuendelea kukaa lupango zaidi ya bragging rights kuwa hanunuliki?
Mbowe has always been a better strategist than Lissu. Ndio maana CCM hawakutaka aendelee kuwa Mwenyekiti. Sasa hivi Rais ni wa kwao, Bunge la kwao, Halmashauri zote za kwao, Chadema imeng'olewa meno na wanafanya lolote with impunity. Chadema hatuwaoni mitaani kama ilivyokuwa wakati wa Mbowe. Ukimuondoa Heche, hamna anayesikika. You have been played.
Amandla...