PostGE2025 Samia: Hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wataridhiana na wadau gani?
yaani uuwe raia wote hao then tukae mezani turidhiane?

Anayejua maana maridhiano
Atupe muongozo yatafanyikaje?
Mnajuwa kuwa Lebanon walipigana vita ya kidini kwa siku nyingi.
Wamekaa mezani wamelata maridhiano na mambo yana songa mbele.
Ruanda vita ya wenywe kwa wenyewe wamelata maridhiano na mambo kwenda mbele.
Israel na Palestine wa meuana sana, wamekaa kutafuta suluhu na maridhiano
Nyakati zilopita watu walipigana vita sana lakini maridhiano ndio iloleta suluhu.
Hata Amerika kulikuwa na vita baina ya North and South, Maridhiano na sasa taifa kubwa.
Hata hadithi zamitume walopita kuna maelewano yalipita na kukapatikana salama.

Sasa kwanini watu wanapinga haya maridhiano yanayo zungumzwa Tanzania.
Tukubali kwa moyo wetu wote na safi tunataka maridhiano basi tutayapata na kusonga mbele.
Bila hivyo tutabaki kupigana tuu.
 
Maelezo mareefu
ok bi chura atafanya maridhiano na nani?
Na kwanini?
 
Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani yuko ndani. Hayo maridhiano yatafanyika bila kuhusisha chama chake?

Amandla...
Hiyo ndo MO ya CCM.

Wanateka watu. Wanaua watu. Wanawafunga watu kwa kesi za kubambikia.

Wanaiba kura. Wanajitangazia urais.

Halafu mwisho wa siku wanakuja na nyimbo za maridhiano.

Wanataka kuridhiana na nani ilhali unyanyasaji ni wa kutoka upande mmoja tu kwenda upande mwingine.

Polepole washampoteza. Wanataka maridhiano na nani? Mama yake Polepole?

Napinga maridhiano.
 
Mnajuwa kuwa Lebanon walipigana vita ya kidini kwa siku nyingi.
Wamekaa mezani wamelata maridhiano na mambo yana songa mbele.
Ruanda vita ya wenywe kwa wenyewe wamelata maridhiano na mambo kwenda mbele.
Israel na Palestine wa meuana sana, wamekaa kutafuta suluhu na maridhiano
Nyakati zilopita watu walipigana vita sana lakini maridhiano ndio iloleta suluhu.
Hata Amerika kulikuwa na vita baina ya North and South, Maridhiano na sasa taifa kubwa.
Hata hadithi zamitume walopita kuna maelewano yalipita na kukapatikana salama.

Sasa kwanini watu wanapinga haya maridhiano yanayo zungumzwa Tanzania.
Tukubali kwa moyo wetu wote na safi tunataka maridhiano basi tutayapata na kusonga mbele.
Bila hivyo tutabaki kupigana tuu.
Maridhiano ya nini ? Na tunaridhiana na nani Kwa madhila yapi? Aliyekosea ninani na aliyekosewa ninani?
 
According to people in the know, wanataka walete mambo kama ya Mbowe, atoke na kituo cha kwanza kiwe kwa Mama wakapige picha. Chuma kimegoma hayo masharti, kesi iendelee au aachiwe unconditionally
Na una waamini? Hivi DPP akisema hana nia ya kuendelea na kesi kama alivyosema kwa Mbowe, Lissu atagoma kutoka Mahabusu? Serikali haijataka tu kumuachia. Lissu sio Mandela.

Hayo ya vijiweni yaacheni huko huko. Mtaweza hata kudai kuwa Lissu amekataa kutoka mpaka Samia atakapojiuzuru.

Amandla...
 
Back
Top Bottom