The lariat
JF-Expert Member
- May 16, 2025
- 1,351
- 1,925
RubbishThe best speech ever since our independence.
RubbishThe best speech ever since our independence.
Sawa Lissu ana mvuto. Hiyo haina maana kuwa ni kiongozi bora. Kwa imani yako ni kuwa miaka yote ya uongozi wa Mbowe alikuwa anachuma pesa tu. Mbowe alisema wazi baada ya uchaguzi kuwa anataka kupumzika na kufanya shughuli zake. Mwenyekiti Lissu akamuunga mkono. Hilo la kuzira unajua wewe. Au ulitaka mtu ambae kucha kuchwa mnamlaumu kwa kuiuza chama na kukifanya kipoteze dira aendelee kukiuza na kukivurugha?Lisu ana nyota kali ya mvuto hilo halina mjadala. Mbowe alitumia pesa zake ili apate uhalali wa kufia kwenye hicho kiti cha uenyekiti. Hata hivyo pia alifaidika na cheo hicho wala usitake kuonyesha ni hasara tu alikuwa anapata. Na kama angepata hasara nina hakika angegoma kutumia hizo pesa zake kama alivyozira sasa.
Ingekuwa hivyo Lissu asingegoma kurudi mpaka Samia amhakikishie usalama wake. Na hakurudi mpaka Samia alipofanya hivyo. Kama unayosema ni kweli angerudi tu mapema tu na kushiriki kwenye mazishi ya mbaya wake.Hiyo ya kina Lisu kurudi, wangerudi tu maana Magufuli ndio walimkimbia.
Sijachanganya. Lissu, Lema, Wanje n.k. walikimbia na kuomba hifadhi nchi za nje.Samia alikuwa anasaka sifa tu, usichanganye waliokimbia na waliofukuzwa.
Wameichafua wapi CDM. Kusema kuwa wametofautiana na uongozi wa sasa ndio kuichafua CDM? Au ulitaka wabaki kinafik. Wanaowachafua ni viongozi wenu kama Heche ambae alibeza elimu ya mmoja wao na kusema alipoingia Chadema alikuwa amepanga chumba. Wameondoka, wanewaachia chama chenu lakibi wapi. Hiyo lugha ya mamluki na msaliti ni ya kwenu kwa yeyote asuyekubali kuburuzwa. Tumeizoea.Watu waliokuwa wanashambuliwa ni mamluki, na wamejiweka wazi baada ya kuhama na kuanza kuichafua cdm.
Kwa hiyo unakiri kuwa CDM iliwatenga?Walikuwa wanataka kuleta ule upuuzi ambao Lipumba aliuigiza CUF, na cdm ya Lisu wasingesimama na hao wapuuzi waliohamia Chauma wangevuna mabua.
Maamuzi yalikuwa wajumbe wote wa Kamati Kuu wachangie ili kufanikisha zoezi la Mkutano Mkuu. Wao kama viongozi ilikuwa ni jukumu lao kuhakikisha Mkutano na uchaguzi unafanyika.Kuwa Mbowe alichangia na Lisu akagoma, kwani ulikuwa ni uchaguzi wa Mbowe na Lisu ama wa cdm?
Sishangai wewe kusema hivyo. Ni hulka ya mtu asiye na shukrani. Na asingetoa mngesema amefanya hivyo ili uchaguzi usifanyike kwa sababu alijua Lissu atashinda.Kama Mbowe alitoa hiyo 250m huo ni utashi wake.
CDM ilikataa kupokea ruzuku wakati wa utawala wa Magufuli kwa sababu walisema hawatambui matokeo yake. Walikubali kupokea ruzuku baada ya mchakato wa maridhiano. Wakatumia sehemu ya ruzuku hiyo kununua jengo walilolifanya kuwa Makao Makuu ya chama chao.Muda pekee ambao cdm haikuwa na ruzuku ni kabla ya 2010 chini ya Mbowe, bada ya hapo cdm imekuwa na ruzuku ya viwango tofauti tofauti kutokana na kiwango cha kura.
Hata angekaa wiki moja, alipaswa kutimiza ahadi ya uwazi wa mapato yote ya chama ikiwa pamoja na michango ya tone tone. Na hata sasa hivi wanapaswa kutoa maelezo ya mapato na matumizi nayo maana kufanya hivyo sio shughuli za kisiasa. Hawakulazimishwa na mtu kutoa ahadi hiyo. Waliitoa kwa kutaka kutuaminisha kuwa mapesa mengi yanaingia CDM ila wakina Mbowe walikuwa wanayatafuna. Cha kushangaza ni kuwa Mwenyekiti na Makamu wake walikuwa wajumbe wa kamati kuu kwa hiyo wanajua cash flow ya chama ilivyokuwa hasa ukizingatia kuwa hawakubadilisha Katibu Mkuu.Kuhusu kuwa na uwazi kuhusu mapato, Lisu kachaguliwa January, kaenda jela miezi miwili mbele, na miezi minne mbele chama kikazuiwa kufanya shughuli za kisiasa.
Umesahau zoezi la Tone Tone?Jambo pekee walilofanya cdm kwa kipindi hicho ilikuwa ni operesheni ya NRNE, nayo ilifanyika kwa ufanisi hadi cdm inazuiwa kufanya shughuli zake.
Kiongozi makini anaendelea kuongoza chama chake hata akiwa amefungwa. Mandela alifungwa lakini ANC ikaendelea na mpambano. Mbowe aliwekwa ndani mara nyingi tu lakini CDM haikutetereka. Hata Makamu Mwenyekiti wake alipokuwa exile chama kiliendelea kupambana. Huo ndio uongozi.Hakuna popote unaweza kuipima cdm ya Lisu nje ya hiyo miezi miwili aliyokalia kiti akiwa uraiani. Ukitaka kupima uongozi wa Lisu ni iwapo atatoka na kufanya shughuli za kisiasa, sio sasa chama kimezuiwa, na yeye yuko jela.
Mikutano ya hadhara ilizuiwa ndio maana wakatafuta njia mbadala. Waliendelea nazo hata pale walipokamatwa na kutiwa ndani. Wakina Mbowe wamekamatwa mara kadhaa wakifanya mikutano ya ndani ambayo unadai kuwa waliruhusiwa kufanya.Unasema cdm ya Mbowe ulikuwa unaona hata Bawacha wakifanya jogging, kuna utofauti wa cdm ile na sasa, wakati ule cdm haukuzuiwa na mahakama kufanya shuguli za kisiasa, bali walitakiwa kufanya mikutano ya ndani na maeneo uliyopo.
Ahadi ya uwazi walitoa CDM wenyewe na hawakulazimishwa na mtu. Wameshindwa mpaka sasa hivi kutoa tuu hesabu za ruzuku walizopata na michango ya tone tone. Waseme tu kuwa zilikuwa ahadi za kisiasa.Uwazi wa cdm, ni uwazi unapewa huku jf ama kwenye vikao vya ndani? Na je sasa hivi unatoa taarifa za mapato na matumizi kutokana na pesa gani, kama ni ruzuku ilishazuiwa, na chama hakifanyi siasa.
Kiongozi wa chama cha siasa hata anapochangiwa yeye binafsi anapaswa kutoa taarifa kwa umma. Hii ni kuepuka kushutumiwa kuwa alipewa pesa kama rushwa. Kwa logic yako, Samia akimchangia milioni 10 kwa ajili ya harusi ya mtu anayemhusu, atakaa kimya kwa sababu kachangiwa yeye binafsi? Na Trump au Putin akimpa dola milioni kumi atakaa kimya kwa sababu tu ni zake? Kwa mtaji huu mtapambana vipi na rushwa?Pesa za gari zilikuwa za umma ama za Lisu kutoka michango ya wapenzi wake? Kama ni pesa binafsi za Lisu ulitaka akupe ripoti hadharani?
Penye mgongano wa maslahi ndio integrity ya watu inapo onekana.Huwezi ukapata watu wenye integrity palipo na mgongano wa kimaslahi.
Lakini wanaoteuliwa hawalazimiki kufanya hivyo. Kuna majaji na CAG waliokataa kuburuzwa. Hii hii Katiba yetu mbovu inawapa ulinzi wa kutosha kama wataamua kutenda haki.Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Rais hawezi kuteua watu kwenye hiyo tume ambao anajua hawatalinda maslahi yake.
Hawatakubali kwa sababu wanajua wao walichofanya. Itakuwa ni wajibu wa Chadema kuhakikisha kuwa inaweka watu ambao wana julikana wana msimamo wao.Hivi unadhani CCM wanaweza kushiriki uchaguzi ambao utaendeshwa na tume ya uchaguzi ambayo imeundwa na CHADEMA/ Tundu Lissu?
Utaratibu una dosari lakini unatoa mwanya wa wale wanaoteuliwa kutenda haki.Hivyo, tatizo ni utaratibu wote unaounda hiyo tume.
Ni tatizo kwa sababu ya hao watu na sio muundo peke yake. Watu wa aina hii hata iwepo Tume huru kiasi gani wataipindisha.Na kwa vile tume ni watu na si lidubwasha flani, tume ni tatizo kuanzia juu mpaka chini, nje mpaka ndani.
Labda.Huwezi kunishawishi kwamba huyo Jaji Mwambengele hayuko beholden kwa Samia.
Kitu muhimu ni kutambua hiyo conflict na kuhakikisha kuwa haiathiri utendaji wako. Mike Pence ingawa alitaka Republican ashinde lakini alikataa kukiuka utaratibu uliokuwepo. Alikuwa na conflict ya interest lakini hakuiruhusu iishinde integrity yake.Huwezi kupata integrity palipo na conflict of interest.
Na ni vyema mkifanya hivyo. Lakini mjue kuwa juhudi zenu ni futile bila kuwa na uwakilishi ndani ya Bunge. Mpambano wa watu kama Mbowe na Chaumma ilikuwa ni kuhakikisha hilo. CDM wasingekuwa petty wangeshirikiana nao kwenye hili badala ya kuwapopoa mawe wakina Catherine Ruge.Ndo maana sisi wengine kwa muda mrefu sana sasa tumekuwa tukilipigia kelele hilo suala.
Kama wapinzani wataunda Tume ita maanisha kuwa wameshinda uchaguzi. Wakibakiza sheria hizo itaonyesha kuwa hawana tofauti na CCM. CCM wakigoma kushiriki itakuwa kwa sababu wanajua pacha wao ameshika madaraka na atawafanyia walichomfanyia. Tutakao umia ni wananchi.Na uki turn tables kwamba wapinzani ndo wawe wanaunda hiyo tume halafu sheria iwe ni kwamba neno la hiyo tume kuhusu nani kashinda ni final, na kwamba hakuna legal recourse, CCM hawatokubali kushiriki kwenye chaguzi. Jiulize kwa nini?
Hapo ulipo Hata Mavi ya Lissu Utasema PilauRubbish
Naona kushindwa kwa Mbowe kumekuumiza sana!Penye mgongano wa maslahi ndio integrity ya watu inapo onekana.
Lakini wanaoteuliwa hawalazimiki kufanya hivyo. Kuna majaji na CAG waliokataa kuburuzwa. Hii hii Katiba yetu mbovu inawapa ulinzi wa kutosha kama wataamua kutenda haki.
Hawatakubali kwa sababu wanajua wao walichofanya. Itakuwa ni wajibu wa Chadema kuhakikisha kuwa inaweka watu ambao wana julikana wana msimamo wao.
Utaratibu una dosari lakini unatoa mwanya wa wale wanaoteuliwa kutenda haki.
Ni tatizo kwa sababu ya hao watu na sio muundo peke yake. Watu wa aina hii hata iwepo Tume huru kiasi gani wataipindisha.
Labda.
Kitu muhimu ni kutambua hiyo conflict na kuhakikisha kuwa haiathiri utendaji wako. Mike Pence ingawa alitaka Republican ashinde lakini alikataa kukiuka utaratibu uliokuwepo. Alikuwa na conflict ya interest lakini hakuiruhusu iishinde integrity yake.
Na ni vyema mkifanya hivyo. Lakini mjue kuwa juhudi zenu ni futile bila kuwa na uwakilishi ndani ya Bunge. Mpambano wa watu kama Mbowe na Chaumma ilikuwa ni kuhakikisha hilo. CDM wasingekuwa petty wangeshirikiana nao kwenye hili badala ya kuwapopoa mawe wakina Catherine Ruge.
Kama wapinzani wataunda Tume ita maanisha kuwa wameshinda uchaguzi. Wakibakiza sheria hizo itaonyesha kuwa hawana tofauti na CCM. CCM wakigoma kushiriki itakuwa kwa sababu wanajua pacha wao ameshika madaraka na atawafanyia walichomfanyia. Tutakao umia ni wananchi.
Amandla...
Hapana. Kilicho niumiza sio kushindwa kwa Mbowe. Kilichoniumiza ni namna washindani wake walivyoendesha kampeni chafu dhidi yake iliyojaa innuendos. Kibaya zaidi ni jinsi wanavyoendelea kumuandama hata baada ya kukubali matokeo na kuondoka frontline.Naona kushindwa kwa Mbowe kumekuumiza sana!
Sijui ulikuwa na maslahi gani tu kwa Mbowe kuwa mwenyekiti wa CHADEMA!
Tunataka justice Kwa ndugu zetu mliowaua..Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.
Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."
“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Labda kumbukumbu zako haziko sawa... Katika uenyekiti wake, Lissu amekaa gerezani zaidi ya kukaa uraiani. Alipoanza tu ziara za kufufua chama ndio shida ikaanza na kuamua kumpa hiyo kesi ya uhaini.Tofauti na mnavyosema, Chadema ya Mbowe iliandamwa kuliko hii ya Lissu. Viongozi wake sio tu walishtakiwa bali walihukumiwa vifungo vya kukaa jela. Viongozi wake walipotea na yeye mwenyewe Mbowe aliandamwa mpaka kwenye biashara zake. Muda wote huo hakutetereka.
Mbowe alijichafua mwenyewe kwa mienendo yake sema alichelewa kushtukiwa na wengi.Hapana. Kilicho niumiza sio kushindwa kwa Mbowe. Kilichoniumiza ni namna washindani wake walivyoendesha kampeni chafu dhidi yake iliyojaa innuendos. Kibaya zaidi ni jinsi wanavyoendelea kumuandama hata baada ya kukubali matokeo na kuondoka frontline.
Mimi sina maslahi yeyote na uwepo wake. Ninachoamini ni kuwa uongozi wa sasa ulirudisha nyuma siasa za upinzani kwa kuendekeza petty vendettas kuliko kutibu majeraha na kuunganisha chama chao. Athari ya yote hayo yataonekana kabla ya mwaka kesho.
Amandla...
Huna hoja,mmezidiwaHatuwezi kushirikisha chama kinachounga mkono Ushoga! Endeleza Kizazi chako kataa CHADEMA
Ona hili chokohNa una waamini? Hivi DPP akisema hana nia ya kuendelea na kesi kama alivyosema kwa Mbowe, Lissu atagoma kutoka Mahabusu? Serikali haijataka tu kumuachia. Lissu sio Mandela.
Hayo ya vijiweni yaacheni huko huko. Mtaweza hata kudai kuwa Lissu amekataa kutoka mpaka Samia atakapojiuzuru.
Amandla...
Akaunde tume ya maridhiano na Abdul na Kikwete. Hawezi kuunda tume kwa kuwa hana moral authority ya kufanya hivyo kwani yeye sio rahisi halali wa taifa hili. Samuya anatakiwa aache kupayuka kama kinda la ndege lililotelekezwa na mamaye.Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.
Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."
“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Je ni kati ya chawa na chinja chinja ama kati ya nani na nani? Na kwa ajili ya nini?Tunaomba Chadema wasiwepo kwenye maridhiano, kwasababu unapoongea na chadema unaongea na bunge la ulaya mabeberu