Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 16,529
- 42,832
Na anaridhiana nini?Anataka kufanya maridhiano na nani?

Maridhiano gani ya kumteka Polepole ,mdude? Kwanini mnazidi kuteka watu kila kukicha? kwanini msiruhusu uhuru wa kutoa maoni? Rudisheni miili mliyozika kwa halaiki kwa ndugu zao wakawazike wenyewe.Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.
Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."
“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Nilijua waziri mkuu tu ndio dishi limeyumba kumbe huyu naye mwezi mchangaRais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.
Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."
“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Sidhani kama atatiwa mikononi mwa ICC ingawa tunaomba hili litokee ili haki itendeke!ICC inamuita
Anataka kuridhiana na vijana toka nchi za nje?Kuridhiana kitu gani?
ICC sio mahakama za TanzaniaSidhani kama atatiwa mikononi mwa ICC ingawa tunaomba hili litokee ili haki itendeke!
Unatoa mifano isiyokuwa na ufanano na hali iliyotokea Tanzania, na inayoendelea kutokea.Mnajuwa kuwa Lebanon walipigana vita ya kidini kwa siku nyingi.
Wamekaa mezani wamelata maridhiano na mambo yana songa mbele.
Ruanda vita ya wenywe kwa wenyewe wamelata maridhiano na mambo kwenda mbele.
Israel na Palestine wa meuana sana, wamekaa kutafuta suluhu na maridhiano
Nyakati zilopita watu walipigana vita sana lakini maridhiano ndio iloleta suluhu.
Hata Amerika kulikuwa na vita baina ya North and South, Maridhiano na sasa taifa kubwa.
Hata hadithi zamitume walopita kuna maelewano yalipita na kukapatikana salama.
Sasa kwanini watu wanapinga haya maridhiano yanayo zungumzwa Tanzania.
Tukubali kwa moyo wetu wote na safi tunataka maridhiano basi tutayapata na kusonga mbele.
Bila hivyo tutabaki kupigana tuu.
Kwa hiyo wanaweza kukamata yeyote, naona kama hili halitotokea kwetu kwa haya yanayoendelea kwangu ni kama sioni dalili ingawa inaumiza.Acha tuvute subra!ICC sio mahakama za Tanzania
Wengine ilitokea vipi?Kwa hiyo wanaweza kukamata yeyote, naona kama hili halitotokea kwetu kwa haya yanayoendelea kwangu ni kama sioni dalili ingawa inaumiza.Acha tuvute subra!
Bora kuungana ma shoga lakini uhai wako ukabaki nao kuliko kuungana na chama kinacho ondoa uhai wa watuHatuwezi kushirikisha chama kinachounga mkono Ushoga! Endeleza Kizazi chako kaa CHADEMA
Sawa Ancle T tumekusikiaTunaomba Chadema wasiwepo kwenye maridhiano, kwasababu unapoongea na chadema unaongea na bunge la ulaya mabeberu
SAMIA NI MUUAJIRais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.
Katika hotuba yake ya kuaga mwaka 2025 na kuukaribisha mwaka 2026 Ikulu Zanzibar, Samia amesema "Mwaka 2025 pamoja na mafanikio tuliyoyapata tulipitia pia changamoto na mitihani iliyotugusa sote tutakumbuka kuwa mwezi octoba mwaka huu tulipitia nyakati ngumu zilizohitaji subira mshikamano na uzalendo kwa dhati kabisa ninavishukuru Vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini na Wananchi wote kwa ujumla kwa kuendelea kudumisha amani umoja na mshikamano wa taifa letu."
“Tumeweza kuuthibitishia ulimwengu kwamba Tanzania ni taifa imara, himilivu na lenye kujitahidi kushughulikia changamoto zake. Tunapouanza mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa nchini hatua za kuunda Tume ya Maridhiano zimeanza kuchukuliwa, Serikali itashirikiana na wadau wote katika kukubaliana kuhusu muundo wa tume aina ya wajumbe, majukumu yao na muda wa kazi wa tume hiyo"
Naona kusoma umeshindwa kabisa. Shida sio kuachiwa, shida ni namna gani wanataka kumwachia. Hayo masharti ya kishenzi ndio amekataa, watu wanataka waje waweke mabango kama ya Mbowe na Samia, Lissu hataki hayo maigizoNa una waamini? Hivi DPP akisema hana nia ya kuendelea na kesi kama alivyosema kwa Mbowe, Lissu atagoma kutoka Mahabusu? Serikali haijataka tu kumuachia. Lissu sio Mandela.
Hayo ya vijiweni yaacheni huko huko. Mtaweza hata kudai kuwa Lissu amekataa kutoka mpaka Samia atakapojiuzuru.
Amandla...
Karidhiane na mkundv wa màlaya Samia sio Wattanganyika ,ungekuwa mhanga wa mauaji na ukatili dhidi ya raia October 29 ,usingekuja hapa kama punga kuongea upumbavu huuMnajuwa kuwa Lebanon walipigana vita ya kidini kwa siku nyingi.
Wamekaa mezani wamelata maridhiano na mambo yana songa mbele.
Ruanda vita ya wenywe kwa wenyewe wamelata maridhiano na mambo kwenda mbele.
Israel na Palestine wa meuana sana, wamekaa kutafuta suluhu na maridhiano
Nyakati zilopita watu walipigana vita sana lakini maridhiano ndio iloleta suluhu.
Hata Amerika kulikuwa na vita baina ya North and South, Maridhiano na sasa taifa kubwa.
Hata hadithi zamitume walopita kuna maelewano yalipita na kukapatikana salama.
Sasa kwanini watu wanapinga haya maridhiano yanayo zungumzwa Tanzania.
Tukubali kwa moyo wetu wote na safi tunataka maridhiano basi tutayapata na kusonga mbele.
Bila hivyo tutabaki kupigana tuu.
Tatizo lenu ni kuwa hamtaki kukoselewa. Ulisema kuwa wanataka kumuachia lakini wanashindwa kwa sababu Lissu amekataa masharti yao. Wangetaka kumuachia wasingemuwekea masharti. Wangemuachia tu na Lissu asingekuwa na namna ila kutoka lupango.Naona kusoma umeshindwa kabisa. Shida sio kuachiwa, shida ni namna gani wanataka kumwachia. Hayo masharti ya kishenzi ndio amekataa, watu wanataka waje waweke mabango kama ya Mbowe na Samia, Lissu hataki hayo maigizo
Hivi mnapata faida gani mkitukana matusi ya nguoni?Karidhiane na mkundv wa màlaya Samia sio Wattanganyika ,ungekuwa mhanga wa mauaji na ukatili dhidi ya raia October 29 ,usingekuja hapa kama punga kuongea upumbavu huu
Hii kesi ni ya kisiasa, wameingia kwenye box wenyewe. Hamna kesi pale, ni upumbavu tu ambao hakuna serious legal practioner anaweza kupeleka mahakamani.Tatizo lenu ni kuwa hamtaki kukoselewa. Ulisema kuwa wanataka kumuachia lakini wanashindwa kwa sababu Lissu amekataa masharti yao. Wangetaka kumuachia wasingemuwekea masharti. Wangemuachia tu na Lissu asingekuwa na namna ila kutoka lupango.
Tatizo lenu lingine ni kutaka kila wakati kum vilified Mbowe. Mbowe alikaribishwa Ikulu baada ya kuachiwa. Halikuwa sharti la kuachiwa. Na alipoenda Ikulu alizungumzia haki. Mpende msipende azungumzo ya maridhiano yalipunguza sana maumivu ya Chadema.
Serikali haina mpango wa kumuachia Lissu hivi karibuni. Simply put, wanapata ahueni akiwa ndani kuliko akiwa nje. Hawana sababu ya kumuachia.
Amandla...
Ajiandaeee kuishi ICC miaka yake iliyobakia.....Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mwanzoni mwa mwaka 2026 Serikali imejipanga kujenga umoja wa kitaifa ambapo mchakato wa kuunda Tume ya Maridhiano tayari umeanza na Serikali itashirikiana na wadau wote ili kukubaliana muundo wa Tume hiyo.