Samahanini sana wana JF

Samahanini sana wana JF

Ni leo tu ndiyo nimegundua kuwa kuna member alianzisha thread ya debate juu ya tofauti kati ya maisha ya mjini na yale ya kijijini. Naomba nichukue fursa hii kuomba msamaha kwa mashabiki wangu wote ambao (bila shaka) mlihisi kuwa nimewaangusha.
Licha ya kwamba binafsi nimekusamehe, bado najiuliza nikusame vipi kwa kuniongopea?
 
ki ukweli mimi binafsi nilisikitika sana....kitendo cha wewe Mwita25(the famous) kuingia mitini.....
lakini kwa sababu umeomba radhi......sina hiyana.........
Aliiona thread, akaja akamwaga mitusi akatokomea, sasa eti anajidai kaiona leo, alitakiwa uomba msamaha kwa vyote, awe mkweli ili asamehewe kwa yote, yani kutukana na kuingia mitini...
 
Ni ngumu sana kubuni umri wa Mwita25....kuna wakati nadhani anafanana na avatar yake, na wakati mwingine nahisi kama ni kibabu mwenye kibiongo!
Anyway, JF is just like a fishing net...

Nimekuelewa mkuu!
 
kwa hio utarudi kwenye ile sredi au tuendelee hapa hapa?
Mbege bwana.............
Yaelekea umeipapia mkuu!
 
niko hapa meeda sinza, nala kimya kimya

Nitakuletea pamoja na mbege ya kutosha.. Kuna wazee hapa wamenipa ramani sehemu ya kupata mbege nzurii.
X-mass wewe waisherehekea wapi?
 
si tumefanya wote
sasa nimefanya peke yangu?
Inawezekana kweli?

Tumechakachua wote

Hahah...mi siyo mchakachuzi..kongosho ndiye anaongoza katika hii fani ya kuchakachua thread za watu
 
Anatamba kakuta kijijini kwao kuna umeme, maji, mtandao wa intaneti na simu 24/7, shule mpya, magari mengi, bodaboda ndiyo usiseme. Alivyoondoka aliaga utafikiri anakwenda kuzimu, kiunyonge. Mwambie ahsante Kikwete sio ulivyopaacha.
 
Ni leo tu ndiyo nimegundua kuwa kuna member alianzisha thread ya debate juu ya tofauti kati ya maisha ya mjini na yale ya kijijini. Naomba nichukue fursa hii kuomba msamaha kwa mashabiki wangu wote ambao (bila shaka) mlihisi kuwa nimewaangusha.
mbona unataka kudanganya mchana kweupe.. nimeona kule kwenye sredi yenyewe ulikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kuchangia. sas mbona unasema ndo kwanza umeiona.
hebu cheki hapa chini

Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.

Pelekeni upumbavu wenu huko nyie vilaza mnaotaka kuigilizia maneno ya kiingereza kutoka kwa wenzenu. Narudia tena wewe uliyeniweka kwenye debate yako ya kiboya una matege ya ubongo na nakushauri peleka uchafu wako kwa vichaa wenzako pale hospitali ya Mirembe. Naona unajisikia kukunwa upele wako wa kila mara unapoamua kuanzisha thread kwa kutumia jina langu siyo? Pu%@=€ffffffffff
 
tukeshe
ila niombee beseni na maji ya barafu na ice cubes niloweke miguu
Aaah..pamoja na jitihada zangu zote nimeshindwa kukukip alive! Haya dia, pumzika salama! Mimi naendelea kukesha
 
Back
Top Bottom