Samahanini sana wana JF

Samahanini sana wana JF

Rejao,
Kafiri ni derogatory,
Kakuita Muislam, kwani nalo ni jiba baya lisilopendwa?
Kafanya vibaya kuona hawezi kufananishwa nami kutokana na imani yangu. Nimejaribu kumwambia kama atajisikia vizuri nikimuita kwa hilo jina cuz yeye kataja iman yangu kabisa!! Kwa mtizamo wangu naona anastahili kuitwa Kafiri!
 
ngoja niende machinjioni nikanunue kongoro za supu

Aaah..pamoja na jitihada zangu zote nimeshindwa kukukip alive! Haya dia, pumzika salama! Mimi naendelea kukesha
 
Back
Top Bottom