Samahanini sana wana JF

Mwita25

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
3,831
1,164
Ni leo tu ndiyo nimegundua kuwa kuna member alianzisha thread ya debate juu ya tofauti kati ya maisha ya mjini na yale ya kijijini. Naomba nichukue fursa hii kuomba msamaha kwa mashabiki wangu wote ambao (bila shaka) mlihisi kuwa nimewaangusha.
 
Kumbe unapenda ligi?
Kukaa kwako kimya tulidhani umeamua kuwa na busara. Lakini sasa hapa unaleta tena hisia tofauti.
 
ki ukweli mimi binafsi nilisikitika sana....kitendo cha wewe Mwita25(the famous) kuingia mitini.....
lakini kwa sababu umeomba radhi......sina hiyana.........
 
Ni leo tu ndiyo nimegundua kuwa kuna member alianzisha thread ya debate juu ya tofauti kati ya maisha ya mjini na yale ya kijijini. Naomba nichukue fursa hii kuomba msamaha kwa mashabiki wangu wote ambao (bila shaka) mlihisi kuwa nimewaangusha.
Unaomba msamaha kwa kukacha kushiriki mdahalo au kwa ile lugha uliyokuwa unaitumia, hasa kwenye posts za mwanzo mwazno kwenye ule mjadala?
 
This was then...

Wewe uliyeanzisha thread kwa kutumia jina langu ni mpuuzi, mjinga na punguwani. Una mawazo mgando yaliyochanganyika na chembechembe za uwendawazimu. Ni kinara wa wodi ya vichaa ya hospitali ya Mirembe na hustahili kukabidhiwa kutunza hata kijiko kwasababu utakitafuna.


This is NOW!

Ni leo tu ndiyo nimegundua kuwa kuna member alianzisha thread ya debate...

Ok, bye!
 
Ni ngumu sana kubuni umri wa Mwita25....kuna wakati nadhani anafanana na avatar yake, na wakati mwingine nahisi kama ni kibabu mwenye kibiongo!
Anyway, JF is just like a fishing net...
 
nilitaka unisemeshe
nimekuchokoza makusudi

uru hawajambo?
Kisusio usisahau kuniletea
Nitakuletea pamoja na mbege ya kutosha.. Kuna wazee hapa wamenipa ramani sehemu ya kupata mbege nzurii.
X-mass wewe waisherehekea wapi?
 
kumbe Rejao = Mwita25
wanajuana kwa vilemba hao,,,hapa wanataka kuleta ligi ya udini tumewashtukia hatuchangii...ukitaka kuwajua kuwa ni ndugu moja anzisha thread ya kukandia magamba utawaibua fasta na ami yao ff,balantanda ,kishongo ,waberoya etc
 
Back
Top Bottom