Hilo ni kosa lako mzazi kumpeleka mtoto st.kayumba..Upuuzi wa namna hyo school bus hamna.Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah!
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
hivi zinakutosha kweli wewe..? binafsi sina hata mtoto huko za skul bus unadhani watz wote wanaweza kustahimili hizo bei? yani we mbipi kabisa weweHilo ni kosa lako mzazi kumpeleka mtoto st.kayumba..Upuuzi wa namna hyo school bus hamna.
Watoto wote wa wakubwa wanasoma shule ya FEZA&the likes.Ukiona mwanao hajui kusoma na kuandika ujue tatizo ni wewe mzazi
Wewe unakuwa unafanya nini hadi mtoto wako anashindwa kutofautisha kati ya R na W?
Shule ni sehemu ya kumsogeza mwanafunzi asonge mbele zaidi lakini mtu anayetakiwa kuhakikisha mtoto anajua kusoma na kuandika ni mzazi. Kwa mzazi aliye makini na anayependa elimu kweli mtoto huanza kufunzwa nyumbani na husimamia hilo na uzuri kuna vitabu vinauzwa mitaani ambavyo vinaweza kumsaidia mtoto kusoma na kuandika.
Mzazi ndio mwalimu wa kwanza wa mtoto na mtoto anapo feli lazima uanze kwanza kujiangalia wewe kama kweli unatimiza wajibu wako ipasavyo.
Mtoto unampeleka kuanza shule hajui hata kusoma a,e,i,o,u halafu umpe lawama mwalimu? hivi unafikiri kuna wanafunzi wangapi wa namna hiyo? Mzazi umechukua jitihada gani?
Mkuu elimu bora ni gharama inanunuliwa bei ghali. Hali itakuwa MBAYA zaidi na hii elimu bure iliyijaa siasa za kipuuzi. Mkuu mwenyewe anakiri kuwa "Mzee bure" alifariki halafu upande wa pili anakufanyia sanaa kuwa suala nyeti kama ELIMU ni bure. Elimu ni gharama.Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma..?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! mpaka nimechoka kabisa!! sasa hapa mtu anasoma au anapita tu..?!
hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa!! elimu ndo inatakiwa itukomboe lkn ndo inapita kama mpita njia tupu!
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure..
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi..? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua dah!
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!.
Hili swali iulize serikali kama inajua ni nini maana ya mwalimu!!!? Kama serikali haijui hiyo kitu basi jibu ni hicho ulichokiona kwa huyo mtoto.mkuu me kwanza sina mtoto badobado haya nimeyaona kwa mtoto wa fulani...
ndio mzazi lzm amuangalie mtt lkn mkuu nini maana ya mwalimu..?
Basi nasi tulipwe mshahara, maana tunalipa adaWazazi tupate muda wa kukaa na watoto kuwafundisha walimu ilikuwa zamani sa hivi asipoelewa mwanao atajijua
ha hahaha mkuu mwanao huyo wewe jiendekeze tuBasi nasi tulipwe mshahara, maana tunalipa ada
Uko wapi huo mgomo????ha ha ha! kwaiyo huo sio mgomo..?