HIvi viongozi wa CCM husoma maoni HAYA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HIvi viongozi wa CCM husoma maoni HAYA?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Feb 7, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  wana Jf hebusomeni haya maoni kutoka gazeti mwananchi,yanayoonyesha uchungu wa wananchi wanaomgozwa na rais wetu mtukufu Kikwete,
  nachojiuliza hawa viongozi wa CCM wakishilikiana na Mkulu wa nchi husoma maoni haya?


  +5 #27 konambaya 2011-02-07 10:25
  jamani huyu ni Rais kweli? mbona kila anapotoa kauli tata kuna kiongozi wa dini ya kiisilamu anamuunga mkono katika CHANEL TEN usiku au anamaanisha kuwa rais ni waisilamu pekee? tunamwonya aache kutuchafua waisilamu mbele ya umma kwa kuunga mkono madudu......Jamani haya ndio madhara ya kanga na fulana eti rais mzima hajui hata katiba kuwa maandamano ni haki ya watanzania!!!!! !!!!Rais hawajui wezi wa nchi? Huyu jk ni dalili anahusika mojakwamoja na dowans
  Quote


  +4 #26 Angelo 2011-02-07 10:21
  Poleni sana Tanzanians!.. U really have a ****ing prosidential symbol!.. In reality guys u ve no President!... The whole cost belays Usalama wa Taifa Ndo wahenzi waliotuletea takataka Hii!. Kama wao kweli ni watu wanaoangalia usalama wa Taifa mbona hawalikomboi wakati Huu ambapo Dalili zote haziashirii Amani!... ****ing You, watu wote wa Usalama wa Taifa!.. For whose Interest are u Working?... Mbona mnaangalia usalama wa Kikwete na Mafisadi tu! &ku+*#m&&a+-m%~a(yo$%z!e*+n_=u... Nyie!.. I Hate You from the bottom of my Heart!.... Mnatuletea matatizo badala ya Usalama!.... Step down at ONCE!!!.... I LL KEEP HATING U FOREVER!.....
  Quote


  +4 #25 Johnq 2011-02-07 10:16
  Mheshimiwa Raisi wa Tanzania TUMECHOKA NA COMEDI KATI YAKO NA MAWAZIRI WAKO, ILA UJUE KWAMBA SIKU ZAKO ZA URAISI ZIMEHESABIWA....
  Quote


  +6 #24 Nyawale 2011-02-07 10:13
  Kikwete ondoka unasubiri nini unataka tukutoe kwa barungu?
  Quote


  +4 #23 farao 2011-02-07 10:05
  sijawahi kuona rais mweupe na bomu kama huyu!baada ya kuangalia matatizo na kuona kuwa mikataba ya kimataifa ni madhara kwa nchi yetu na kutoa kauli ya kukataa mikataba ya kimataifa na kujitoa kuwa wanachama wa ICC kama walivyofanya Brazil, yeye anashabikia siasa za ki[NENO BAYA], utafikiri ana imba taarabu, rais gani anacheza mziki anaacha masuala mazito na muhimu kama afya, elimu,maji, miundo mbinu na maadili na kulida rasilimali. jamani imedhirihisha kuwa huyu JK hawezi na hana uwezo wa kuendesha nchi, hivi ndio anayo degree ya uchumi huyu? au alipewe tu? mswahili na anadhani urais ni ubishow! na sifa. urais ni kazi. ningekuwa na rifle ningeshamlenga ktkt ya paji la uso. bomu la nyuklia kabisa huyu.
  Quote


  +3 #22 ikingili ntuware 2011-02-07 10:02
  ni very stupid huyu kikwete, anaongea pumba gani huyu pimbi, angali anajua anahusika katika dowans,aachane na huyu mshauri wake lowasa siyo mtu ni shetani kabisa, yuko radhi amalize kizazi kizima abakie mwenyewe, Mungu ndo anamwonyesha matunda ya kuchakachua matokeo ya urais,watanzani a tushakuwa na akili za kutosha kabisa. laiti nyerere angefufuka sasa hivi aone huo uchafu wako, unaongoza nchi kanakwanba unaongoza ngombe wasio na akili.
  Quote


  +3 #21 malanya 2011-02-07 09:52
  Rais wa nchi si mtu anayepaswa kulalamika bali ni mtu wa kuchukua hatua. JK hawajui Dowans, Ngeleja anawajua, inashangaza.
  Quote


  +6 #20 elibariki yerald 2011-02-07 09:49
  AONDOKE MADARAKANI HAFAI KUWA RAISI BALI NI MNAFIKI NA ASIYE JUA KAZI NA WAJIBU WAKE KUTOKANA NA WADHIFA ALIONAO.

  KWANINI TUNONGOZWA NA MTU AMBAYE HAMTAKI? TULIMKATAA MWAKA JANA KWENYE SANDUKU LA KUPIGIA KURA AKAIBA AKISHIRIKIANA NA TUME YA UCHAGUZI ,WAKATUPA RAISI WA MATOKEO NA SIYE WA MOYONI MWETU NA TULIYEMCHAGUA.

  NAFKIRI ANATAKA YA TUNISIA YAMFIKIE NA YEYE!! HUYU JAMMAA ANANICHOSHA KWELI HIVI TUNA KIONGOZI HAPO? KAULI ZINAPISHANA KILA MTU.


  HAFAI, YEYE NI MWENYEKITI WA CHAMA, MWENYEKITI WA BARAZA LA MAWAZIRI, NI YEYE ALIYEMTEUA NGELEJA NI NYEYE ALIYEMTEUA WEREMA KTE KWA HAO WAMEKUBALI KUILIPA DOWANS HUYU NI MNAFIKI SI ANGEKUZUIA NA ANGEWAZUIA HAO WOTE KUWA DOWANS HAILIPWI KAMA KWELI NI MTU WA NIA YA DHATI ASITUFANYE SIE WA[NENO BAYA] AU NI ROSTAM NDIO ALIYEWATEUA?

  NCHI IMEKUSHNDA AMUA MOJA KUONDOKA KWA HIARI AU UKIWA MKAIDI KAMA AKINA MUBARAKA NA BEN ALI WANANCHI WATAAMUA..SITAKI HILO LITOKEE JIFIKIIRIE MARA MBILI .......HEEEE TUSHACHOKA MIPASHO YENU
  Quote


  -9 #19 unkown 2011-02-07 09:46
  The story and authors are stupid rats just paid for their hunger to write connection of stories.
  Quote


  +7 #18 ISANGO 2011-02-07 09:44
  Niliwahi kuwaambia watanzania tuwe tunapokea kauli za Kikwete kwa umakini. Maana anachosema leo, sicho anachosema kesho. kwa kifupi sio mkweli. atasemaje tusilipe Dowans, wakati katika vikao vyote vya kusema tulipe, au hata kile walichosema tulipe nusu alikuwepo? Je yeye kutowafahamu wezi ndani ya nchi yake ni dalili gani kwa Rais? hawezi huyu aachie madarakaka
  Quote


  +6 #17 Chris 2011-02-07 09:42
  Inashangaza, kama ni kweli Rais hawajui Dowans basi amefanya jitihada gani kuwajua? Ni kweli ktk deni hilo kubwa ni halali kweli kusema kuwa yeye hawahitaji na nawale wao hawamuhitaji? Strange!
  Quote


  +7 #16 PMN 2011-02-07 09:18
  Kuna mambo mawili Rais Kikwete ameyasema ambayo yanamtaka aondoke madarakani:

  1. Rais amesema: Siwajui Dowans, sihitaji kuwajua, na hata wao hawanihitaji.

  Hoja yangu: Rais aliapa kuilinda Katiba ya Tanzania, Mipaka yake, Raia wake na Rasilimali zake zote, kwa kutumia akili zake zote na kuongeza.. Ee Mwenyezi Mungu nisaidie.

  Swali: Rais amekiuka kiapo kwa kusema hahitaji kuwajua Dowans, ambao tayari wameshakwapua zaidi ya Bilioni 100 kwa gharama za capacity charges ya mitambo yao bila kufua umeme. Wame;lipwa na sasa wanataka kuchukua kwa wizi make ni Feki company Bilion 94, lakini bado Rais anasema hahitaji kuwajua???? Tafakari!!!

  2. Rais amesema, siwezi [NENO BAYA]liza matatizo ya watanzania. Nyerere alituachia umaskini, Mwinyi na hata Mkapa. Hivyo, umaskini wenu hauwezi kuisha kwa kipindi cha miaka hii 10.

  Maoni: Rais amekata tamaa ya kuongoza, ameshindwa kuwa Dira yetu. Hatufai.

  Swali: Tunahitaji kuendelea na Rais kama huyu??? Kwa kazi gani??? Tafakari!!!
  Quote


  +2 #15 AUN BABUU 2011-02-07 08:40
  BIBLE LUKE26 He replied, 'I tell you that to everyone who has, more will be given, but as for the one who has nothing, even what he has will be taken away
  Quote


  +2 #14 AUN BABUU 2011-02-07 08:39
  Please refer to the bible LUKE 26 He replied, 'I tell you that to everyone who has, more will be given, but as for the one who has nothing, even what he has will be taken away
  Quote


  +4 #13 Dickson 2011-02-07 08:37
  Jamani ni masikitiko makubwa kwa Rais wetu kuwajali na kuwabeba wachache (wamiliki Dowans) na kutuacha sisi watanzania tukiteseka na kiza kinene,eti kisa pesa za kuilipa Dowans.Rais kumbuka watanzania sasa hivi wanapata tabu ya mgao wa umeme pasipo sababu maalumu,tunahis i hilo ni shinikizo toka kwa wamiliki dowans ili walipwe pesa nyingi za walalahoi wa tanzania,jamani mungu anawaona mwogopeni mungu.
  Quote


  0 #72 Nicholas 2011-02-07 15:33
  kimsingi kikwete anatutania kwenye vikao vyao vya ccm walilibariki kuwa lazima Dowans ilipwe inamaana alijua mlipwaji ni nani. Leo anatuambia hamtambui mlipwaji (ilhali waziri wake aliwataja walipwaji) yeye anawazungumziaj e.ifike mahali atambue kuwa yeye ni kiongozi mkubwa wa nchi hii afikiri kabla ya kutenda nahofia tuendako ya misri na tunisia yanakuja sipendi sana yaje ila usanii hasa kwa kiongozi mkuu wa nchi haupendezi hata kidogo
  Quote


  0 #71 Mtanzania 2011-02-07 15:27
  OYAAAA!!! MNAONAJE TUKIANDAMANA NCHI NZIMA? KIKWETE ATOKE!!!!REDET WAKO WAPI?
  Quote


  0 #70 RWECHUNGURA 2011-02-07 15:17
  NAKUUNGA MKONO 100%, HUYU RAIS NCHI IMEMSHINDA, NA AMESHAKIRI MWENYEWE KUWA HAWEZI KUONDOA WALA KUPUNGUZA MATATIZO YA WATANZANIA WAKATI AKIJUA FIKA KUWA NCHI HII INA UTAJIRI WA KUTOSHA. AMEAMUA KUTUMIA RASILIMALI ZA NCHI YETU KUJINUFAISHA YEYE, FAMILIA YAKE NA MARAFIKI ZAKE. ANATAKIWA KUONDOKA SASA TUMEMCHOKA
  Quoting PMN:
  Kuna mambo mawili Rais Kikwete ameyasema ambayo yanamtaka aondoke madarakani:

  1. Rais amesema: Siwajui Dowans, sihitaji kuwajua, na hata wao hawanihitaji.

  Hoja yangu: Rais aliapa kuilinda Katiba ya Tanzania, Mipaka yake, Raia wake na Rasilimali zake zote, kwa kutumia akili zake zote na kuongeza.. Ee Mwenyezi Mungu nisaidie.

  Swali: Rais amekiuka kiapo kwa kusema hahitaji kuwajua Dowans, ambao tayari wameshakwapua zaidi ya Bilioni 100 kwa gharama za capacity charges ya mitambo yao bila kufua umeme. Wame;lipwa na sasa wanataka kuchukua kwa wizi make ni Feki company Bilion 94, lakini bado Rais anasema hahitaji kuwajua???? Tafakari!!!

  2. Rais amesema, siwezi [NENO BAYA]liza matatizo ya watanzania. Nyerere alituachia umaskini, Mwinyi na hata Mkapa. Hivyo, umaskini wenu hauwezi kuisha kwa kipindi cha miaka hii 10.

  Maoni: Rais amekata tamaa ya kuongoza, ameshindwa kuwa Dira yetu. Hatufai.

  Swali: Tunahitaji kuendelea na Rais kama huyu??? Kwa kazi gani??? Tafakari!!!
  Quote


  +1 #69 mabuwe 2011-02-07 15:15
  maandiko yanasema " ufalme ukifitinika hufanyika ukiwa na hauwezi kusimama" waziri kuwatambua dowans, mawaziri wengine kuwakataa, Rais naye, akaleta mpya kuwakataa dowanas . Baba hajui kinachoendelea ndani ya nyumba wakati analala humo humo. mh hadithi za kusadikika na safari saba za sindbad.
  Quote


  0 #68 Omtemi Nyamranga 2011-02-07 15:10
  Wadau wenzangu naomba mnisaidie.

  Kilichoamuliwa na mahakama ya Kimataifa ni kulipa Dowans. Na kwamba kuchelewa kuilipa riba itaongezeka. Hata Mwanasheria Mkuu wa Serikali amesema hivyo kwamba kuchelewa kuilipa kutaongeza gharama ambayo ni riba!!

  Hivi itakuaje, Rais anasema kwamba yeye naye anaungana na wale wanaotaka Dowans isilipwe na Waziri Wake ambaye ni Mwanasheria (Mhe. Ngeleja) na Mwanasheria Mkuu wake (Mhe. Werema) wamesema tulipe.

  Je, Mhe. Rais anataka tuahirishe kulipa ili Riba iongezeke!! Nani atanufaidika na hiyo Riba!! Maana sijui mahakama za Kimataifa na Mahakama za ndani nguvu zake zinatofau[NENO BAYA] au kuoani vipi?

  Kwa kweli hili la riba na tunavyoendelea kubishana silielewi madhara yake nini. Hiki ni Kitendawili.
  Quote


  0 #67 RWECHUNGURA 2011-02-07 14:48
  KOKU LAZIMA UTAKUWA MTOTO WA SALVA, MANAKE LUGHA ULIYOTUMIA HAPA NI YA KISALVA SALVA. POLE SANA DADA YANGU WA BK, UNAFIKIRI KWA KUMTETEA Mr PRESD UTAPEWA KITI MAALUM, POLE SANA.
  Quoting Koku:
  TATIZO LA HILI GAZETI LIMESHAKUWA LA UDAKU NA USHABIKI, JAMANI KILA KITU SIO LAZIMA MPINGE AU MKOSOE NYINYI WANAFKI MLITAKA RAISI ASEME TUWALIPE DOWANS? MAANA KILA KITU MMEKUWA KAMA MAHASIDI MAANA HASIDI HAKOSI SABABU.

  HALAFU MMEKUWA WASHABIKI WAKI[NENO BAYA] KABISA SIJUI WAANDISHI WENU NI WATOTO WADOGO, KILA ATAKACHOSEMA SLAA AU MBOWE MNAKICHUKUA NA KUKIPAMBA HATA KAMA NI PUMBA.
  PIA PUMBA ZA KINA SLAA NA MBOWE HUWA HAMUONDI KUWAHOJI NA KUANDIKA CRITIKSI ZA WANASIASA WA VYAMA VYENGINE.

  NI VIZURI MNGEWEKA WAZI KUWA HILI NI GAZETI SHABIKI LA MASLAHI BINAFSI YA CHADEMA, MNAQJIKOSHA CHADEMA
  Quote


  0 #66 elibariki yerald 2011-02-07 14:27
  [quote name="Koku"]TATIZO LA HILI GAZETI LIMESHAKUWA LA UDAKU NA USHABIKI, JAMANI KILA KITU SIO LAZIMA MPINGE AU MKOSOE NYINYI WANAFKI MLITAKA RAISI ASEME TUWALIPE DOWANS? MAANA KILA KITU MMEKUWA KAMA MAHASIDI MAANA HASIDI HAKOSI SABABU.

  HALAFU MMEKUWA WASHABIKI WAKI[NENO BAYA] KABISA SIJUI WAANDISHI WENU NI WATOTO WADOGO, KILA ATAKACHOSEMA SLAA AU MBOWE MNAKICHUKUA NA KUKIPAMBA HATA KAMA NI PUMBA.
  PIA PUMBA ZA KINA SLAA NA MBOWE HUWA HAMUONDI KUWAHOJI NA KUANDIKA CRITIKSI ZA WANASIASA WA VYAMA VYENGINE.

  NI VIZURI MNGEWEKA WAZI KUWA HILI NI GAZETI SHABIKI LA MASLAHI BINAFSI YA CHADEMA, MNAQJIKOSHA CHADEMA[/qu

  ndio maana unaitwa koku unajua maana yake, maana yake ni isiyofikiri ,isiyodadavua na -enye mihemko.
  toa hoja kilichosemwa ni kweli au uwongo acha kuleta ukada wako na chama chenu cha chakachua matokeo.

  na subiri sio muda mrefu mnapigwa chini ,siku zote binadamua napofikwa na ugumu huangaika kukabiliana na changamoto ili kujinasua na adha, sasa watanzania wana matatizo mengi ikiwemo ubovu wa mfumo wa elimu.ukosefu wa ajira,mishahara midogo ,magonjwa ,umaskini wa kutupwa na zaidi kubwa la sasa gharama kubwa za maisha kutokana na mfumuko wa bei

  na historia iko wazi binadamu hushinda dhidi ya changamoto hizi, je, tanzania tatizo ni nani na chanzo ni ni? suala li;o wazi ni viongozi walafi na watafuna rasilimali za nchi..


  kilichobaki ni kuwafurumusha..na vita hii watanzania watashinda nakuombea uwe mzima(hai) ili ushuhudie mwenyewe..sio muda, uwe na uvumilivu kidogo tusiwe mashabiki bali tambizane ukweli ili tukombolewe...
  Quote


  +2 #65 JANE 2011-02-07 14:13
  NAKUMBUKA MH RAIS ALISEMA DOWANS LAZIMA ILIPWE KWA KUWA JAMBO HILO LIPO KISHERIA.NA WAZIRI MKUU AKAKOMELEA MSUMARI KWA KUSISITIZA KAULI YA RAIS,SASA LEO HII TENA RAIS ANATOA TAMKO JINGINE LA KUSEMA KUWA HAITAMBUI DOWANS KWA NAMNA YOYOTE NA HATA WAHUSIKA HAWAJUI.AU AMESAHAU KAMA KAULI HIYO ALIITAMKA?AU NDO NIKUBALIANE NA KAULI YA NDUGU MAKAMBA KUWA WATANZANIA HATUNA KUMBUKUMBU TUKIAMBIWA JAMBO TU WASAHAULIFU?KAMA TANZANIA INA PESA NYINGI KIASI HICHO ZA KUMWAGAMWAGA HOVYO NA TUSIZIULIZE KWANINI WASIWALIPE WANAFUNZI PESA WANAZODAI PAMOJA NA MADAI YA WALIMU ILI MIGOGORO NA MIGOMO ISIENDELEE KUWEPO?.
  Quote


  0 #64 elibariki yerald 2011-02-07 14:11
  Quoting Angelo:
  Na Waheshiwa wamiliki Wa Gazeti kwa maoni yangu naona hiki kichwa cha habari 'wabaya wa Dowans' si sawa... Sisi si wabaya wa Dowans.. Nadhani mesemwa mara kadhaa kuwa dowans hakuna kitu kama hiki... Ni kampuni hewa kama hivi ndivyo sisi ni wabaya wa Kampuni Mamluki, ambayo tafsiri yake ni kwamba sisi ni [NENO BAYA]!... Lakini sisi ni Watu wenye Uchungu na Nchi hii hivyo mngesema "Kikwete aamsha Hasira ya Wazalendo Wenye Uchungu na Tanzania"


  sure.
  Quote


  +1 #63 baba ubaya 2011-02-07 13:54
  Nimesikitishwa sana na watanzania wenzetu wasemao eti hii pesa ya Dowans ilipwe kwani ni vijisenti tu ambavyo havifikii hata pesa ya kumsajili Tores huko Chelsea. Jamani tuonee uchungu pesa za wavuja jasho
  Quote


  0 #62 Evarist 2011-02-07 13:50

  Quote


  0 #61 Angelo 2011-02-07 13:40
  Na Waheshiwa wamiliki Wa Gazeti kwa maoni yangu naona hiki kichwa cha habari 'wabaya wa Dowans' si sawa... Sisi si wabaya wa Dowans.. Nadhani mesemwa mara kadhaa kuwa dowans hakuna kitu kama hiki... Ni kampuni hewa kama hivi ndivyo sisi ni wabaya wa Kampuni Mamluki, ambayo tafsiri yake ni kwamba sisi ni [NENO BAYA]!... Lakini sisi ni Watu wenye Uchungu na Nchi hii hivyo mngesema "Kikwete aamsha Hasira ya Wazalendo Wenye Uchungu na Tanzania"
  Quote


  0 #60 muhammed 2011-02-07 13:38
  chanzo cha mapato ya serikali hichooooooo itseems mikataba mikubwa yupo wakala mfano tumeona kwenye kesi ya Dowans ameibuka TRA fuatilieni mikataba yote mikubwa
  Quote


  0 #59 Angelo 2011-02-07 13:35
  @Hellen pole inaonekana uelewa wako ni mwembamba!.. Hapa wenye uelewa mkubwa wanazungumzia Serikali iliyo chini ya Uongozi wa Kikwete Kama Raais au Hujui Jukumu la Urais na Mapana yake?... Hivi Leo Maafa Yeyote yakitokea watu watamtazama Kikwete, nchi Ikivamiwa mathalani, watu watamtazama Kikwete hawata tazama Wanajeshi!.. Maana ya Jukumu la Kuwa Rais ndiyo hiyo kimapana, jaribu kuwa Open and Broad Minded!...
  Quote


  +1 #58 muhammed 2011-02-07 13:30
  binafsi nash-tuka kidogo jinsi mh rostam aziz alivopata uwakala wa hao Dowans maana sikuona tangazo la tenda hiyo alipata vipi hii kazi ina elekea alikwenda kuitafuta kwenye nchi ambayo ni controversial mpaka kupata kazi hii ina maana huyu mh alikaa nao hao watu wakapanga yakapangika huyu mtu ni mtuhumiwa aburuzwe mahakamani iangaliwe hii kazi alipata vipi kama ni kweli na kodi ya mapato kama analipa lazima kodi alipe yeye binafsi kama rostam maana mkataba alipata yeye binafsi kwanza sijui kama alipeleka return yake tra kama hajapeleka hilo ni kosa tosha la kumpeleka rupango sababu amefanya makusudi kabisa wakati akijua anayo mapato wanasheria angalieni na upande huu ili huyu mtu apelekwe mahakamani na ahukumiwe haraka sababu upande wa kukwepa kodi ushahidi upo wazi tra mpo wapi?
  Quote


  -5 #12 Angelo 2011-02-07 08:12
  The whole story and the whole presidency Is MOTHER****INGAS SHOLE!.....
  Quote


  +5 #11 nelson kaserwa 2011-02-07 08:00
  sina la zaidi ila wanaccm mnajionea wenyewe kwa jinsi gani kanga na kofia na fulana zenu zilizomchagua raisi wetu mtukufu mpendwa dr.jk
  Quote


  +7 #10 sauti ya umma 2011-02-07 07:30
  mbona kikwete unajikaanga kwa mafuta yako mwenyewe achia ngazi mapema maana siku zinavyoendelea unazidi kudhihirisha huna nia nzuri kwa watanzani na unakaribia kutamka wazi kuwa wewe ndio mmiliki wa dowans.
  Quote


  +18 #9 Zinga 2011-02-07 07:28
  Mh. Rais Kikwete. Mpendwa wetu na chaguo la Mungu wetu. Nimesikitishwa sana na kauli zako. Inabidi utuombe samahani watanzania kwani inajulikana wazi kabisa kwamba umetudanganya. Mpendwa Rais, Chaguo la Mungu wa kweli alisemi uongo hivyo udanganyifu huu unanifanya niamini kuwa wewe ni chaguo la Mungu wa Kuzimu. Mpendwa Rais, kwa kutimiza matakwa ya Mungu wako umeamua kuipeleka Tanzania yote kuzimu bila kujali kuwa bado tupo watanzania wachache tunao mtii na kumcha Mungu wa kweli. Tafadhali tusikie ugeuke ili uponye nafsi yako na zetu pia. DOWANS unawajua!!
  Quote


  +11 #8 yusuf 2011-02-07 07:21
  Rais wetu hiyo Dowans hawezi kuikwepa.Hebu jaribu hili zoezi dogo,piga namba yako ya simu kwenye hiyo hiyo simu,halafu sikiliza kama itaita.Kikwete hawezi kujipigia mwenyewe,ndiyo haijui Dowans.Kanuni ya kawaida ya kinga ya mwili ni kwamba hiyo kinga haiwezi kupingana na mwili ambamo hiyo kinga imo.Dowans ni ya ikulu,kwa hiyo ikulu haiwezi kujipinga yenyewe.
  Quote


  +16 #7 Mwanaweja 2011-02-07 06:34
  ukweli utabakia hapalele maana kauli za jk,ngereja, warema, zinakinzana.je, tz tumwamini na nani? cha ajabu sana naomba kumuuliza jk maswali yafuatayo
  1.alipokuwa anaomba kura alihandaa wananchi au alijua hatunaakili?
  2. CC ilipokuwa ina kaa yeye alikuwa mwenyekiti kwa hiyo hakujua mmiliki halali wa Richmond/Dowans na kuanzia kusainiwa yeye kama mkuu wa nchi hajui mmiliki wake je walikujaje tz bila yeye kujua basi naamini yeye ndiye Dowans
  3.utueleze unajihuzuru lini maana umesha sema hauwezi kuendeleza wala kututoa hapo tulipo kwenda sehemu nyingine kimaendeleo maana uwezo wako wa kufikiria umefikia mwisho.
  4. nakutaka usijilinganishe na watangulizi wako Nyerere, mzee wa ruksa, mkapa hawakutoa malighafi yetu kwenda nje kama wewe unavyo tuibia bila huruma
  5. je lini tutajitegemea kila siku unajisifu kupewa misaada ndio kusema watanzania wote ni akina matonya? hao wanakupatia misaada ndio hao wanasababisha kuendelea sisi kuwa maskini.
  mwisho naomba tu usome nyakati maana kila siku hadhi yako inashuka tena kwa kasi kubwa chunga hao washauri wako maana ninamashaka na bongo zao wanakushauri uongo na wala siukweli nchi iliko.
  Quote


  +7 #6 daniel shirima 2011-02-07 05:30
  ninashindwa kuamini nilichokisoma kama kweli kimetolewa na RAIS wa nchi, hivi alitamka mwenyewe haya kwa kinywa chake au kuna mtu alitamka kwa niaba yake? Kwa namana yeyote ile kama ametamkiwa au ametamka mwenyewe amejidhalilisha na kuidhalilisha nafasi hiyo kubwa kuliko zote katika utawala wa nchi. Ni vema rais akumbuke hata akiwa kuwa rais ni rais tu haijlishi yuko kwene sherehe ya harusi, kwene sherehe ya chama, kwene, msiba au kwene ukumbi wa burudani. Taunataka tamko rasmi kuhusu dowans na siyo hoja za kukinzana kutoka kwa waziri huyu na yule.
  Quote


  +9 #5 Ralp J. Kimbisa 2011-02-07 03:31
  Kamati kuu ya CCM ambayo Kikwete ndiye mwenyekiti wake ilikwishasema DOWANS walipwe. Waziri wake wa madini na mwanasheria wake mkuu walikwisharidhi a malipo hayo. Baraza lake la mawaziri lilikwishagawan yika kwa sababu ya Dowans. Ni mazingaombwe gani haya! Ama kweli rais wa Tanzania!
  Quote


  +9 #4 paka shume 2011-02-07 02:11
  Tuna rais ambaye uwezo wake wa kuelewa mambo nimdogo sana na alikurupukia tu kazi ya urai hakujua ugmu wake sasa anantapatapa tu anaonekana tu kwenye misiba akiingia tu ofisini cha kwanza kuuliza leo nani kafa
  Quote


  +15 #3 laggosa mwamba 2011-02-07 02:09
  JK ANAWADANGANYA WADANGANYIKA,RA IS WA NCHI KUDAI KWAMBA HAWAJUI WAMILIKI WA DOWNS NI UONGO WA MCHANA KWEUPE.SASA KAMA HAWAJUI KWANINI WAZIRI WAKE NA MWANASHERIA MKUU,PAMOJA NA CHAMA CHAKE WAMESEMA DOWNS ILIPWE..HIVI CC ILIPOKUWA INAKUTANA NA KUFIKIA UAMUZI WA KULIPA DOWNS NANI ALIKUWA MWENYEKITI? MWONGO HUSAHAU HARAKA.JK YOU ARE TRYING TO CONFUSE PEOPLE SO THAT YOU CAN GET FAVOR DON'T EXPECT THAT.
  Quote


  +10 #2 msemakweli 2011-02-07 01:51
  "Huyu ndiye kiwete wa CCM ambaye walisema ni chaguo la mungu. Anauwezo mdogo saaaaana kiuongozi. Jamani nchi inaangamia.Hatuna rais tena. Mungu tusaidie.
  Quote


  +10 #1 Najaribu 2011-02-07 01:24
  Huyu ndiye Rais wa nchi ya Tanzania. JK huwajui wamiliki wa Dowans? Ngeleja anafanya kazi aliyotumwa na nani basi kama si wewe? Mbona yeye anawahamu? Jamani, tumefika hapo? Tuna Rais kweli? Rais asiyefahamu nchi inakwenda wapi? Rais ambaye hahitaji kuwafahamu wamiliki wa kampuni inayosadikiwa kuiibiwa nchi mchana kweupe? Ushauri wa bure - kama JK unashindwa mwenyewe kuondoka Ikulu kwa sababu ya aibu, basi itisha kura ya maoni ili angalau usingizie wananchi walikuondoa.
  Quote

  msema ukweli hapwendwi daimaaaaaaaa:bump:
   
 2. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  inawezekana kuwa wananchi wengi hawampendi Rais....lakini pia inawezekana kuwa wale wanaompenda hawapost comments zao, ndio maana inaonekana kama vile wengi ndio hawampendi.

  ni jambo la kawaida.....kukiwa na watu 100, halafu 70 wanapenda ugali wakapewa ugali wakakaa kimya, wale 30 wakianza kupiga kelele unaweza kuishia kudhani kuwa ni wote 100 ndio wanapiga kelele.
   
Loading...