KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,510
- 88,975
Hivi inawezekanaje mwanafunzi wa darasa la tano hajui kusoma?
unamwambia nionyeshe W anakuonyesha R duh! Mpaka nimechoka kabisa sasa hapa mtu anasoma au anapita tu?
Hawa ndo wataalum tunaowategemea miaka ijayo kweli ama kweli waafrika tunahitaji kutawaliwa, elimu ndo inatakiwa itukomboe lakini ndo inapita kama mpita njia tupu.
Serikali hebu wajalini walimu watengeneze watu wanaostahili msipowajali ama kuijali hii sekta ya elimu tutakapofikia patakuwa hapatamaniki for sure.
Nani hajui dunia ya sasa yahitaji wasomi? Sasa kwa dizaini hii tutawapata kweli miaka 50+ sasa bado tunasuasua.
Lile shipa la aibu limetoka kabisa!