Samvulachole
JF-Expert Member
- Oct 22, 2006
- 413
- 119
Samvulachole,
Unajua kweli inaweza kuonekana uchizi, lakini inaudhi sana kuona watu wamefanya mengi na wanaonesha moyo na nchi inayowapoea, lakini wengine kwa malengo yao ya ufisadi tu wanaanza kuleta mambo ya ajabu. Kimsingi ninachopinga ni siasa za kuchafuana kama alizofanya Salva dhidi ya Salim. Otherwise i do not care mtu anatoka wapi as long as anaitendea mema Tanzania na anaonesha mapenzi kwa Tanzania na kuwaheshimu watanzania , sio kutuibia watanzania kwa kutumia excuse ya uraia.
lakini wapo watanzania wengi ambao hawana nafasi kama liyonayo SALVA ambao wanaifanyia mengi nchi ya Tanzania. Ni watu wa kawaida duuu ambao ni waadilifu na watiifu na wanachokifanya ni kile ambacho kina manufaa kwa nchi ile
Personally i do care.
je unaweza kutufafanulia uhusiano wa SALVA na wale waasi wa FDD? au uhusioano wake na Jean Minani ni upi?