Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Salva Rweyemamu SIYO Mtanzania(?)

Monday, February 12, 2001
-----------------------------------------------------------------
Swali:

Je, Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu Bw.Salva Rweyemamu ni raia wa Tanzania.

Ndiyo ni Mtanzania na ataendelea kuwa Mtanzania hadi hapo atakapotofautiana kifikra na kimsimamo na Watawala!
 
Nchi nyingi duniani wana vitambulisho pengine baadhi ya WTZ hawaelewi ndio sababu wanaona huu ni ubaguzi. serikali ilipoamua kuwe na vitambulisho ni katika kuona keki ya taifa inagawanywa kwa haki kwa raia wake wote.

Hatuwezi kuwanyima WTZ haki yao ya kujiamulia mambo yao na kuwaendekeza wageni ati tusiwe wabaguzi. Kama Salva ni Mtanzania then well and good. Lakini kama sio Mtanzania ni lazima tujiulize kulikoni? Leo hii MTZ hawezi kupewa baadhi ya nafasi katika mataifa mengine kama yeye sio raia wa nchi hizo. Alipochaguliwa Dr. Migiro UN nchi za jirani walikuja juu na kuuliza kwa nini TZ inapata kazi nyingi kule kwenye umoja wa mataifa hawakujali kama ni mweusi au la walikuwa na shauku kama raia wao angechaguliwa. Leo hii hakuna hata anayeonyesha uzalendo wakati shillingi yetu inaposhuka value kila kukicha na kuna tetesi kuwa wengi kwenye maamuzi sio WTZ, Je huo uchungu wataupata wapi? Sio hawa ambao baada ya kufaidi wanakwenda kwao na kutucheka ujinga?

Mfano hai upo kwenye artical ya kwanza ya the East African Je, tuendelee kulifumbia macho hili?

Ninafunga Ramadhani na naogopa kumuhukumu mtu kwa jambo nisilo na uhakika nalo kwa sababu itakuwa Dhambi kubwa isiyo na kipimo!!!. Kaka Dua hayo maneno yako hapo Juu,ndio yaliyomsukuma mwanzilishi wa Hoja hii.Tuwe makini,vinginevyo tutakuwa shamba lisilo na mwenyewe ,kwani wajanja watavuna kwetu na kwenda kutumia kwao!!!Tumeyaona haya na wala sio Udaku!,wapo wapi wale walimu waliojazana IFM na Mzumbe?
 
Nchi nyingi duniani wana vitambulisho pengine baadhi ya WTZ hawaelewi ndio sababu wanaona huu ni ubaguzi. serikali ilipoamua kuwe na vitambulisho ni katika kuona keki ya taifa inagawanywa kwa haki kwa raia wake wote.

Hatuwezi kuwanyima WTZ haki yao ya kujiamulia mambo yao na kuwaendekeza wageni ati tusiwe wabaguzi. Kama Salva ni Mtanzania then well and good. Lakini kama sio Mtanzania ni lazima tujiulize kulikoni? Leo hii MTZ hawezi kupewa baadhi ya nafasi katika mataifa mengine kama yeye sio raia wa nchi hizo. Alipochaguliwa Dr. Migiro UN nchi za jirani walikuja juu na kuuliza kwa nini TZ inapata kazi nyingi kule kwenye umoja wa mataifa hawakujali kama ni mweusi au la walikuwa na shauku kama raia wao angechaguliwa. Leo hii hakuna hata anayeonyesha uzalendo wakati shillingi yetu inaposhuka value kila kukicha na kuna tetesi kuwa wengi kwenye maamuzi sio WTZ, Je huo uchungu wataupata wapi? Sio hawa ambao baada ya kufaidi wanakwenda kwao na kutucheka ujinga?

Mfano hai upo kwenye artical ya kwanza ya the East African Je, tuendelee kulifumbia macho hili?

Dua,

Sikatai unayosema wewe katika hoja yako. Lakini hujaelewa hoja yangu. Soma tena maswali yangu sita hapo juu.

Lakini ukumbuke pia kuwa vitambulisho si dawa. Ni makaratasi kama mengine. Vinatengenezwa na vinaweza kuharibiwa. Vinagawiwa na vinaweza kunyang'anywa. Anayekupa cheo leo hawezi kushindwa kukupa kitambulisho cha uraia. Na anayefoji noti au pasipoti leo hawezi kushindwa kufoji kitambulisho cha uraia.

Wanaotaka kujadili uraia wajadili KIINI cha uraia. Katika mada hii TUNAMJADILI SALVA. Swali langu la msingi: nini msukumo wa awali wa aliyeanzisha mada hii? Hilo ndilo litatufikisha katika hitimisho la mada yenyewe, maana lengo la mwanzilishi litakuwa limetimia au la. Hapa katikati tunaweza kujadili mengi tu kuhusu uraia. Lakini mzizi ni upi? Hoja ni ipi?
 
Swali:

Je, Mkurugenzi mpya wa Mawasiliano Ikulu Bw.Salva Rweyemamu ni raia wa Tanzania.[/QUOTE]

Who cares you,me or JF? I think the one who need to care is his employer for that matter IKULU and they dont give a dame if he is banyamlenge or not
 
Wamezaliwa sehemu inaitwa Ahabirabo, Kimbugu, Izigo, Muleba, Kagera, Tanzania.

Nadhani hili ndio Mwanakijiji amekuwa akitaka alijue. Badala yake watu wamekuwa wana jaribu kupindisha mada na kuleta mambo yasiyo husiana na thread.

Well, shukran Ilongo kwa jibu lako murua, imechukua zaidi ya page 11 za thread, na maelfu ya mistari ya maneno, lakini Ilongo ametoa mstari mmoja na una majibu.

Nadhani kama kuna suala la kujadili sasa ni je hayo aliyotueleza Ilongo ni sahihi? Na kama ni sahihi then case closed lets move on.

Tuwe na utamaduni wa kujadili facts presented badala ya kuongeza maswali irrelevant to the core issue.
 
Ndugu lazima uelewe kila anayehoji urai wa mwingine ana motivate yake wengine ni kwaajili ya kuwatenga wengine wengine ni kwaajili ya kuharibiana biashara wengine ni kwaajili ya kuharibiana nafasi za siasa wengine ni kutetea maslahi ya nchi na wengine ni gele tu mimi naona mzee mwanakijiji anatetea maslahi ya nchi ila nimemuonya kwamba isije ikawa ni gele tu maanayake Salva siku zote tuko naye lakini baada ya kupata cheo ndio anaulizwa uraia

Kwa hiyo hutaki watu wahoji uraia wa wengine

au sivyo?
 
Haya wakuu, kama ni message tayari imefika inakolengwa, sasa tuturudi kwenye real ishus!

sijakuelewa

real issues si ndio hizi tunazozidiscuss au?

Je wale CNDD-FDD waBurundi walioweka kambi pale barabara ya Shurimoyo, Kariakoo ana uhusiano nao gani?

au hata wafanya vetting siku hizi hatuna?
 
"Swali, Salva Rweyemamu alizaliwa wapi? na wazazi wake walizaliwa wapi, je ni raia?"[/QUOTE]


Mkjj, kwa swali hilo nadhani unamajibu au walau una speculation. Ebu tusaidie hizo data ili waungwana waanze kujadili hizo badala ya kutaka kujenga hoja hewani. Maana kwa maelezo yako ya sheria ya uraia ni mpaka tu kama wazazi wake hawakuwa Tganyika kabla ya muungano. Sasa tu saidie wewe habari ulizonazo
 
...wakale walisema mtumikie kafir upate mradi wako..
hapa salva ametuweza na sijui kama ikithibitika kuwa si raia itakuwaje?? maana ameshaingia ktk mizizi
 
Mwanakijiji nadhani nitapunguza speed. Ukweli it is really stupid kuanza kutafutana uraia. I would not care uraia wa Ulimwengu kwa sababu there is alot he had offerd to the nation, so is Salim, so is Kinana, lakini what about Salva? Unajua hizi siasa ni wao wenyewe wamezileta ili kuwasideline watu wanaofaa kwa maslahi yao binafsi, nadhani haitakuwa dhambi, kama kisu alichotumia kumkata mwenzie asiye na hatia, kimkate mwenyewe.


Yaaani watu wasiquestion uraia wa hawa watu kisa there is alot walioletea taifa...whats wrong with you?

Mbona huwasemi waTanzania wazalendo ambao kila kukicha wanaifayia mengi nchi hii lakini hakuna anayewapa Credit?

Acha hiyo elitist mentality unayotaka kuleta hapa...whats so special kwa Salva ambacho ndugu zangu kule Mafia ambao kila kukicha wanachimba visima,wanachonga barabara na kisha wanajenga majengo ya shule kwa jasho lao bila msaada wowote wa watawala hawana?
 
Hivi ni nchi gani ulimwenguni inayoweza kuwapa nafasi nyeti watu wasiokuwa raia wake? Hapa ndipo mambo ya background check come into play...

tukumbuke..."ubaguzi haukomi"...(sijui na hii ni M.M. original...)...lol

to tell the truth i've had it with this 'huyu siyo raia'..'huyu sio mzawa'..na 'huyu sio mweusi' bs. it is so outdated and it is not us. and now i wonder when did we become like this?

Ukisikia ufinyu wa mawazo ndio huuu. Leo EU imeungana lakini kwa nini kila nchi in passport zake na bado suala zima la citizenship linatiliwa maanani kuliko wakati wowote ule?

Sasa leo sisi kuquestion citizenship ya Salava ishakuwa OUTDATED? what a load of crap!

Nikuulize wale waNyarwanda waliojifanya wa Tanzania tuliosomesha pale Mzumbe wako wapi baada ya Kagame kuwataka warudi ?


Please dont play with our intelligence kusema eti mamabo haya yako outdated.
 
mie raia wa Marekani tuone mtanifanya nini? nakuja bongo kila wakati na kura ya nilipiga vilevile

huko pekeyako

BARAKA SHELUKINDO mtoto wa mbunge SHELUKINDO ni raia wa Uingereza

NAMBUA MLAKI mtoto wa mbunge RITA MLAKI ni raia wa Uingereza

Yule mtoto wa KAMBONA yuko ofisi za EU Dar ni raia wa Uingereza

RUGE MUTAHABA ambaye ni mkurugenzi wa Clouds FM ni raia wa USA na analo ganda la kijani

JACKI PEMBA aliukana uraia wa Tanzania akapewa uraia wa Uingereza na sasa hivi antutukana...latest nilizonazo ni kuwa ana front sana UZAZI NA VIFO siku hizi sababu sijui lakini mwenye macho haambiwi tazama

hao ni wachache tuu ambao nitawataja kwa sasa, lakini usisahau kuwa Mtoto wa Kambona anataka kuingia kwenye siasa kama Baba yake

usije shangaa Nambua naye akaja kombea Udiwani au Ubunge

Ruge anapiga kura kama ambavyo wewe unapiga kura ukishuka Bongo

Je hawa wanafanya kati Tanzania kama ma foreigners au? je wanalipia hizo work permits? Je Tanzania tunayo dual citizenship?


Ndio maana mimi nimebadilisha msimamo kuhusu haya mamabo ya dual citizenship...siyataki na hata hayo ya pasi moja ya East Africa siiitaki. kwanini tunalazimishwa ambo ambayo sisi hatuyataki?

Yote ni sawa lakini la muhimu ni kuwa TIME WILL TELL. Faili la Salva lililopo Ikulu lina gaps nyingi tuuu lakini inawezekana ikawa huyo aliyepewa kazi ya kumfanyia vetting naye si mtanzania vile vile
 
Baada ya kufikiri kwa makini sana. Ninadhani kama tunataka tupunguze tatizo la maziwa matatu, basi Rwanda na Burundi ziunganishwe na Tanzania. Watu wa Rwanda na Burundi wengi sana wanajisikia nyumbani wawapo Tanzania, tatizo lao huja tu washakirudi Burundi au Rwanda. Kwa vile mipaka ya mwaka 1884 iliziweka nchi hizi zote pamoja kama Germany East Africa, nadhani muungano wa 1964 ulikosea sana kuwaacha pembeni Rwanda na Burundi. Nina imani kuwa tukishaondoa ile mipaka na kuwaweka chini ya mamlaka moja inayotoka Dodoma, basi Bujumbura na Kigali hakutakuwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe tena.

Hayo mawazo yangu tu, inawezekana yakawa pumba.

sawa lakini kwanza lazima wafanye CITIZENSHIP TEST kisha wawe NEUTRALIZED then WALE KIAPO kisha ndio tuwape hizo TRAVEL DOCUMENTS lakini syo kirahisi rahisi tuu eti mtu alikuwa akanaa kwenye makabi ya wakimbizi tangu 90's leo hii naye anjiita Mtanzania
 
Ze Dataz ziko wapi?

Mkuu bila dataz za Salva na uraia wake, topic inageuka udaku!

naomba urudi nyuma usome maelezo yangu katika posti za nyuma jinsi nilivyomfahamu Salva katika kipindi cha 1997-2000 na uhusiano wake na wale CNDD-FDD nyuma ya jengo la Sukita,kariakoo
 
Sambulachole,

Una points za kudiscuss.. bado hatuna data za kutosha lakini.

Asante

FD
 
Mh! Tunakoelekea, Mungu ndiye anajua!

Hivi, ngoja niulize. Aliyeanzisha mada hii alisukumwa na nini? Na ameanza lini kupata msukumo huo? Alihisije utata wa uraia wa Salva kulingana na sheria ya uraia ya Tanzania? Na kwanini salva? Na kwanini sasa?

Mimi nilidhani watu wanamjadili Salva kama mwandishi wa habari, uwezo na udhaifu wake kitaaluma. Hiki ni kitu alichonacho Salva. Hili la uraia tumelichomoa wapi?

Maswali 6. Majibu?

Swali la kumuuliza Salva mbona na yeye alisubiri mpaka wakati wa mbio za urais ndio akaibua issue ya uraia wa Salim.


Salva ananyolewa kwa kiwembe alichotumia kumnyolea Salim.
 
What next it will be any body who hold residents Allian card of any other country, he/she is not Tanzanian. So, green card holder, blue card holder and all other cards older kaa mkao wa kula. Your government try to slash off as many knowledge Tanzanian as posible
 
Samvulachole,
Unajua kweli inaweza kuonekana uchizi, lakini inaudhi sana kuona watu wamefanya mengi na wanaonesha moyo na nchi inayowapoea, lakini wengine kwa malengo yao ya ufisadi tu wanaanza kuleta mambo ya ajabu. Kimsingi ninachopinga ni siasa za kuchafuana kama alizofanya Salva dhidi ya Salim. Otherwise i do not care mtu anatoka wapi as long as anaitendea mema Tanzania na anaonesha mapenzi kwa Tanzania na kuwaheshimu watanzania , sio kutuibia watanzania kwa kutumia excuse ya uraia.
 
Back
Top Bottom